Hongera sana Pascal Mayalla, Ndio Mwandishi Pekee Uliyemuuliza Swali Rais Magufuli

Majibu ya Mwandishi Pascal mayalla yanapatikana katika katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania sura ya pili ukisoma zile ibara ndogo utaona mamlaka ya Rais
 
Ulijitahidi
 
Pasco mayala anafaa kuwa mwandishi wa kimataifa maana maswali kama haya ni ya kiwango cha juu.
 
Kwanza hakujibu swali na pia sikupenda alipoamua kukukejeli kuhusu jina lako na kicheko chake kilichofuata cha kinafiki.
Mkuu BAK, ni kawaida mtu ukipigwa ngumi ya uso, mbele ya kadamnasi ya public ya watu tena live on TV, ili ku contain adrenaline, kitu cha kwanza kufanya is to hit back. That is understandable. Baada ya Kushindwa kujibu, moderators wangenirudisha for a second blow, jamaa ange break down. Technic hii hutumiwa sana na mawakili kumb break down witness ili kum discredit, fortunately jina hilo sio langu bali ni sir name yangu that has nothing at all to do with swali husika.

Paskali
 
MAYALA au NJAA hutaalikwa tena IKULU kwa swali ulilouliza utakaa na njaa yako MUSINGWA anpenda kibarua chake.
 

Kiongozi mimi sikujui lakini siku hiyo ndiyo ulikuwa mwandishi pekee wa habari mwengine walikuwa ni wasanii wa habari, kiukweli walitia aibu Taifa zima. Hongera sana kaka
 
Pasco mayala anafaa kuwa mwandishi wa kimataifa maana maswali kama haya ni ya kiwango cha juu.
Mkuu Nyamnini, kama uliwahi kukiangalia kipindi cha Kiti Moto, maswali yale ni maswali ya kawaida kabisa kwenye Kiti Moto.

Nimefanya internacional reporting za kutosha ikiwemo kuripoti UN GA kutokea New York kwa Tanzania kwa miaka 4 mfululizo, pia nimeripoti G.8 na several UN conferences ikiwemo kuajiriwa na Foreign Commonwealth Office (FCO) as a political advisor kwenye Ubalozi wa Uingereza, Dar es Salaam.

Ila niliamua kuacha kazi za kuajiriwa na kulitumikia Taifa nikiwa Mwandishi na Mtangazaji wa kujitegemea.

Paskali.
 
Safiiii paskali
 
Si ya kawaida bwana
 

Pascal bado unafanya nini Tanzania? nenda BBC huko wanakusubiri uwezo unao.
 
Na hicho kipindi kimeenda wapi
 
Kiongozi mimi sikujui lakini siku hiyo ndiyo ulikuwa mwandishi pekee wa habari mwengine walikuwa ni wasanii wa habari, kiukweli walitia aibu Taifa zima. Hongera sana kaka
Mkuu Babati, asante ila kiukweli sikuwa mimi pekee, tulikuwa wengi na kulikuwa na maswali mengi ya msingi likiwemo la udikiteta, demokrasia, Zanzibar, katiba etc ila Mkuu alichomoa kiaina kwa kuyakwepa.

Hii dhana ya kusema ni mimi pekee, sii kweli na sio kuwatendea haki wengine waliouliza maswali mazuri.
Pasco
 
I love this humbled reply!

You are simply great!
 
Pascal bado unafanya nini Tanzania? nenda BBC huko wanakusubiri uwezo unao.
BBC Bush House nilikwenda, so does VOA na Deutsche Wella ila niliamua, East, West, Home is the Best, mpaka leo familia yangu iko US na Bongo kama jadi yetu Wasukuma we have no limit.
Paskali
 

Kaka kweli unadegree unauliza Mhe unapenda nini? wakati kuna matatizo mengi kama masoko, mikopo, promotion kwa watumishi, ajira mpya, hali mbaya mtaani, mikutano ya kisiasa maana ndiyo kazi yao, mambo kibao. Ni kweli Rais wetu namkubali sana mimi binafsi na amefanya mengi mazuri lakini kuna mengine anatakiwa kukumbushwa.
 
[HASHTAG]#nguzo[/HASHTAG] zinaweza zikawa zinalingana kimo kwenda juu, ila zikatofautiana kwenda chini#
 
Leo kuna mdau kapiga simu EAST AFRICAN RADIO akimpa pongeza Mayalla
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…