Apronary Maligisa
New Member
- Nov 2, 2016
- 1
- 0
Majibu ya Mwandishi Pascal mayalla yanapatikana katika katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania sura ya pili ukisoma zile ibara ndogo utaona mamlaka ya Rais
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UlijitahidiMkuu Chakaza, kwanza asante kwa kuniona hivyo, ila kiukweli, sii mimi pekee niliyeuliza maswali ya maana, kuna maswali mengi na ya maana zaidi hata ya swali langu kama lile la Zanzibar, lile la Katiba na lile la udikiteta, ila mimi nimepaishwa zaidi kwa sababu tuu niliitaja JF.
Kuna wengi wanasifu swali langu kwa sababu ni new generation hawakuwahi kukiona kipindi changu cha Kiti Moto, hivyo wala hawamjui Pasco Mayalla ni nani, ila wale wa zamani waliotazama Kiti Moto, maswali yale ni maswali ya kawaida kabisa kwenye Kiti Moto, tofauti ya Press Conference ya Rais na kipindi cha Kiti Moto, kwenye Press Conference, rais amepewa an easy ride na moderators, hivyo amejipatia mteremko, kwenye Kiti Moto rais angepewa hard time, hakuna mteremko, ni mlima tuu. Kuna watu walikuwa wakisikia wamealikwa Kiti Moto, walikuwa wanakimbia na wengine wanaomba Po! .
Kufuatia majibu ya juzi ya rais Magufuli yasiyokidhi, kiukweli kabisa kuna haja ya kuanzishwa kipindi kama Kiti Moto ili kuwafunza viongozi wetu namna ya kujibu maswali ya waandishi makini, sio kiongozi anaulizwa hivi, anajibu vile au hajibu kabisa lakini anaachwa.
Kwenye Kiti Moto, no stone is left unturned! .
Paskali.
Mkuu BAK, ni kawaida mtu ukipigwa ngumi ya uso, mbele ya kadamnasi ya public ya watu tena live on TV, ili ku contain adrenaline, kitu cha kwanza kufanya is to hit back. That is understandable. Baada ya Kushindwa kujibu, moderators wangenirudisha for a second blow, jamaa ange break down. Technic hii hutumiwa sana na mawakili kumb break down witness ili kum discredit, fortunately jina hilo sio langu bali ni sir name yangu that has nothing at all to do with swali husika.Kwanza hakujibu swali na pia sikupenda alipoamua kukukejeli kuhusu jina lako na kicheko chake kilichofuata cha kinafiki.
Mkuu Domokaya, kwanza asante kutuletea vifungu vya katiba. Tanzania ni nchi ya kidekrasia inayofuata katiba na sheria. Katiba ndio sheria mama, hakuna mtu yoyote aliye Juu ya katiba, hata rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania yuko chini ya katiba, kila kitu rais anachokifanya, anafanya kwa majibu wa katiba ambayo kuna vifungu maalum vinavyompa rais mamlaka ya kufanya maamuzi yoyote. Kwa vile Katiba ndio imetoa haki ya kufanya mikutano, rais ametumia mamlaka gani kutoa amri inayokwenda kinyume cha Katiba? .
Hapa ndipo dhana ya udikiteta ilipoibukia. Chadema walipotaka kuandamana kwenye maandamano ya UKUTA, niliwabeza kuwa udikiteta wa rais Magufuli ni jambo la kisheria na sio jambo la kisiasa, hivyo uvunjifu wa katiba, hauwezi kupingwa kwa maandamano na mikutano ya UKUTA nchi nzima bali hupingwa kwa kufile petition Mahakama Kuu .
Kufuatia Umuhimu wa Maandamano ya UKUTA: Nimehamasika, Nitashiriki, Tujitokeze kwa Wingi! Ila...!
Paskali.
Mkuu Nyamnini, kama uliwahi kukiangalia kipindi cha Kiti Moto, maswali yale ni maswali ya kawaida kabisa kwenye Kiti Moto.Pasco mayala anafaa kuwa mwandishi wa kimataifa maana maswali kama haya ni ya kiwango cha juu.
Safiiii paskaliMkuu BAK, ni kawaida mtu ukipigwa ngumi ya uso, mbele ya kadamnasi ya public ya watu tena live on TV, ili ku contain adrenaline, kitu cha kwanza kufanya is to hit back. That is understandable. Baada ya Kushindwa kujibu, moderators wangenirudisha for a second blow, jamaa ange break down. Technic hii hutumiwa sana na mawakili kumb break down witness ili kum discredit, fortunately jina hilo sio langu bali ni sir name yangu that has nothing at all to do with swali husika.
Paskali
Si ya kawaida bwanaMkuu Nyamnini, kama uliwahi kukiangalia kipindi cha Kiti Moto, maswali yale ni maswali ya kawaida kabisa kwenye Kiti Moto.
Nimefanya internacional reporting za kutosha ikiwemo kuripoti UN GA kutokea New York kwa Tanzania kwa miaka 4 mfululizo, pia nimeripoti G.8 na several UN conferences ikiwemo kuajiriwa na Foreign Commonwealth Office (FCO) as a political advisor kwenye Ubalozi wa Uingereza, Dar es Salaam.
Ila niliamua kuacha kazi za kuajiriwa na kulitumikia Taifa nikiwa Mwandishi na Mtangazaji wa kujitegemea.
Paskali.
Mkuu BAK, ni kawaida mtu ukipigwa ngumi ya uso, mbele ya kadamnasi ya public ya watu tena live on TV, ili ku contain adrenaline, kitu cha kwanza kufanya is to hit back. That is understandable. Baada ya Kushindwa kujibu, moderators wangenirudisha for a second blow, jamaa ange break down. Technic hii hutumiwa sana na mawakili kumb break down witness ili kum discredit, fortunately jina hilo sio langu bali ni sir name yangu that has nothing at all to do with swali husika.
Paskali
Na hicho kipindi kimeenda wapiMkuu Nyamnini, kama uliwahi kukiangalia kipindi cha Kiti Moto, maswali yale ni maswali ya kawaida kabisa kwenye Kiti Moto.
Nimefanya internacional reporting za kutosha ikiwemo kuripoti UN GA kutokea New York kwa Tanzania kwa miaka 4 mfululizo, pia nimeripoti G.8 na several UN conferences ikiwemo kuajiriwa na Foreign Commonwealth Office (FCO) as a political advisor kwenye Ubalozi wa Uingereza, Dar es Salaam.
Ila niliamua kuacha kazi za kuajiriwa na kulitumikia Taifa nikiwa Mwandishi na Mtangazaji wa kujitegemea.
Paskali.
Mkuu Babati, asante ila kiukweli sikuwa mimi pekee, tulikuwa wengi na kulikuwa na maswali mengi ya msingi likiwemo la udikiteta, demokrasia, Zanzibar, katiba etc ila Mkuu alichomoa kiaina kwa kuyakwepa.Kiongozi mimi sikujui lakini siku hiyo ndiyo ulikuwa mwandishi pekee wa habari mwengine walikuwa ni wasanii wa habari, kiukweli walitia aibu Taifa zima. Hongera sana kaka
Kilifutwa na serikali ya Mkapa, ila sasa kinaweza kufufuliwa.Na hicho kipindi kimeenda wapi
I love this humbled reply!Mkuu Babati, asante ila kiukweli sikuwa mimi pekee, tulikuwa wengi na kulikuwa na maswali mengi ya msingi likiwemo la udikiteta, demokrasia, Zanzibar, katiba etc ila Mkuu alichomoa kiaina kwa kuyakwepa.
Hii dhana ya kusema ni mimi pekee, sii kweli na sio kuwatendea haki wengine waliouliza maswali mazuri.
Pasco
BBC Bush House nilikwenda, so does VOA na Deutsche Wella ila niliamua, East, West, Home is the Best, mpaka leo familia yangu iko US na Bongo kama jadi yetu Wasukuma we have no limit.Pascal bado unafanya nini Tanzania? nenda BBC huko wanakusubiri uwezo unao.
Mkuu Babati, asante ila kiukweli sikuwa mimi pekee, tulikuwa wengi na kulikuwa na maswali mengi ya msingi likiwemo la udikiteta, demokrasia, Zanzibar, katiba etc ila Mkuu alichomoa kiaina kwa kuyakwepa.
Hii dhana ya kusema ni mimi pekee, sii kweli na sio kuwatendea haki wengine waliouliza maswali mazuri.
Pasco
BBC Bush House nilikwenda, so does VOA na Deutsche Wella ila niliamua, East, West, Home is the Best, mpaka leo familia yangu iko US na Bongo kama jadi yetu Wasukuma we have no limit.
Paskali