Hongera sana Pascal Mayalla, Ndio Mwandishi Pekee Uliyemuuliza Swali Rais Magufuli

Hongera sana Pascal Mayalla, Ndio Mwandishi Pekee Uliyemuuliza Swali Rais Magufuli

Katika wote nimependa swalli la mayala ila wengine wameuliza maswali ya kitoto sana hayakumpa mtukufu wakati ngumu
 
Na mimi nina swali kwa wanajF wenzangu wakati mna shangilia maswali ya Pasco kwa Rais, nini mantiki au tuseme the reason behind ya Mh Rais ya kutujulisha maana ya Jina Mayala kuwa ni njaa. Pili ile dhana iliyoletwa hapa ya maswali ya kumuuliza Rais kupangwa na majibu yake bado iko?

Na washawasha!
 
Safiiiiihhh!!! SafiiiiiHHH sanaaaHHHHH!!!!
Mwalimu Nyerere alikuwa na utani sana lakini alikuwa anaingizi utani baada ya kutoa hoja iliyoshiba,huyu anaanza na utani ili kuchekesha hadhira utafikiri braza k wa futuhi.
Maana ya Mayala ni "njaa" kwa kisukuma,amesema Magufuli
 
Wakuu JF Amani iwe Nanyi.

Sina mengi ya Kuongea, ila Hongera sana Mwana JF kwa Pascal kwa Maswali yako Mujarabu Kabisa
Wangepatikana watu kumi kama wewe Leo Pale Pangechimbika, Ki Msingi swali lako halikuwa na Majawabu.
JF Mubashara leo ilikuwa Bora kuzidi Vituo vyote vya Habari including kile kinachoendeshwa kwa PAYE zetu.
Nimefuatilia Live Coverage through JF Bila Chenga, kwingine ilikuwa ni Full Chenga.
JF is everywhere, imetisha Mpaka ndani ya Jumba Jeupe

Muwe na Siku Njema

Note

Mods Naomba huu uzi usimame kama ulivyo, Huu ni Uzi wa Pongezi
 
laking Raisi kalikwepa kujibu swala la uhuru wa vyama vya siasa.. sijui ni kwa makusudi!!!!
Mwili ulishajifia ganzi na siasa za Tanzania sina tena mwamko kama niliokuwa nao awali wa kuangalia na kufuatilia sijui kwa nini.
 
Inavyooneka [HASHTAG]#Pasco[/HASHTAG] wa JF sio [HASHTAG]#Pascal[/HASHTAG] Mayalla wa JF, inaonyesha kabisa hawa ni member wawili tofauti...

Anyway, napenda kutoa pongezi zangu za dhati kwa kaka Pascal Mayalla, shikamoo kaka Pascal!

Ila jibu alilolipata sasa!! hiiiiii!!!
Kaaaazi kweli kweli!
Kwa hiyo kwasababu serikali ndio inatoa pesa basi rais anauwezo wa kwenda kinyume na katiba na kufanya analolitaka na maamuzi yoyote anayoyataka juu ya hiyo mihimili mingine?
 
Kweli Mayalla ameuliza maswali ya msingi sana na bahati mbaya rais amekwepa kujibu swali kuhusu kuzuia shughuli za kisiasa na Tido kachangia kwa kulipotezea swali hilo na kukimbilia kwenye swali jingine
 
Nilitegemea wandishi watauliza vitu vya msingi kama, mikopo kwa wanafunzi, promotion kwa watumishi, ajira mpya, bei ya mazao, mikutano ya vyama vya siasa maana ndiyo kazi yao, hali ya uchumi wetu nk. Hongera Pascal umeuliza vizuri wengine sijui walifuata nini hapo?
 
Back
Top Bottom