Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo ndipo paliponikera mimi na pia nadhani na wenzangu wengi sana! Kama ni kutoa tuzo ya aliyeuliza maswali bora Pascal Mayalla angeibuka mshindi akifuatiwa na Sammy wa BBCTido ni mzoefu alishaona kuwa JPM angepata shida sana kulijibu hilo swali la pili la Pasco na ndio maana akaingilia kati na kulipotezea!!
Si kwamba halijajibiwa ipasavyo bali halijajibiwa kabisa .huyu ndo pekee alijua nini kimempeleka japo swali halijajibiwa ipasavyo na swali la pili ndo kabisaaa.
MUNGU AMBARIKI KWENYE KAZI YAKE
Mbona hamtaji ni swali gani hilo aliluoliza?Pascal Mayala swali zuri sana sana pamoja na katibu wa waandishi wa habari
Kweli jamaa kauliza swali moto mnoo afu raisi majibu yake teh siri yangu sijaridhishwa nayo
Na wewe umeruka swali la pili la kifungu kinachozuia MIKUTANO YA KISIASANimemsikia Pasco Mayalla akiuliza swali kwamba Rais amepata wapi mamlaka ya kuwaambia Wabunge (legislature) na Mahakama (Judiciary) waombe ruhusa kwake watakapo kusafiri?
Hoja ya Pasco ni kwamba kuna separation of powers yaani Executive, Judiciary na Legislature ambazo zinatakiwa zifanye kazi bila kuingiliana. Hilo ni sawa ila Pasco kweli hafahamu kwamba Rais wa Jamhuri ni mkuu wa dola na chini ya dola ndio unapata executive arm, judiciary arm na legisleture?
Hajui kwamba Rais wa Jamhuri ni Head of Government na wakati huohuo ni Head of the State?
Mkuu swali limepotezewa kiana na utani wa kejeri na kitendo cha watu kucheka ndio kikaondoa kabisa tension ya swali.Hivi swali la Mayalla "lilijibiwa'' maana umeme kwangu una shida