Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini Rais si mfalme na wala si Waziri Mkuu ambae ndie kiongozi wa serikali kikatibaKwa ujumla ni namna tu ya kujionyesha kuwa Pascal anajiamini lakini wakati mwingine ni ukosefu wa kufikiri kwa kina.Rais ndiye kiongozi wa nchi anayetambulikana na wote.Mwenye mamlaka.Hiyo mihimili mingine ipo kweli lakini kwenye karatasi.Sisi wananchi tunamjua Rais ,mambo ya bunge na mahakama ni baadaye.Rais ana uwezo,ana mamlaka hata ya kunyonga.Anaweza vilevile kuacha kutia saini ya kunyongwa kwa aliyehukumiwa na mahakama ya juu. Kumuuliza rais uwezo kaupata wapi ni utovu wa nidhamu wa hali ya juu na ukosefu wa adabu vilevile.
Sasa lile swali la tido angejibiwaje, Rais hakuwahi kuzungumzia sio tu kwenye Kampeni bali hata baadhi ya hotuba zake, Kitendo cha Tido kumlisha maneno ilikuwa sio sahihiDah nimejisikia vibaya sana Tido alivojibiwa vibaya na no. 1