Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 15,773
- 32,431
Nakubaliana nawe 100%. Dhana ya separation of power haielewi kabisa..inaelekea jpm haelewi dhana ya separation of powers ya hii mihimili mitatu.
..yes, serikali ndiyo yenye vyanzo vya fedha. Lakini serikali haiwezi kutumia fedha hizo bila bajeti kupitishwa na BUNGE.
..Vilevile bunge linatunga sheria. Lakini mhimili wa MAHAKAMA ndiyo unaotafsiri sheria hizo na kutoa haki kwa wananchi.
..matatizo mengine yanatokea kwa kutokuelewa taratibu za kikatiba na kisheria. Kwa hili tunapaswa kumuombea.
Cc Pasco, Nguruvi3
Sheria anazotumia Rais zimetungwa na Bunge, na zinatafsiriwa na Mahakama ili zitumike na serikali. Huu ni mfano wa utatu huo. Dhana kwamba mhimili wa serikali ndio mkubwa ni mpya kabisa na inaondoa maana ya separation of powers kabisa
Separation of powers haina maana mwenye 'mpini' katika eneo moja ndiye mkubwa
Kwa kweli hili nimesikitika