Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu yangu acha fikra zilizo lala wakati wewe ni muelewa. Kwa mitano hiyo, tunaona mawaziri na viongozi wengine wanaapa utii mbele ya Rais kwa vile ndio bosi wao. Sasa mbona na Rais anaapa utii mbele ya Jaji mkuu?Swali la Pascal halikuwa na mashiko ndio maana Rais naye kalijibu kwa swali. Rais ndiye anazindua Bunge, Rais anasaini miswada kuwa Sheria, Rais anateua majaji, Rais anaweza kufuta hukumu ya mahakama yoyote.
Angeanza Pascal kuuliza nadhani wengi wangeuliza maswali ya maana wengine wametupotezea wakatiKujiamini ni kitu kizuri kwani ndiyo inayokiwa chachu ya Maendeleo hongera sana kwa maswali ya kijasiri brother.
tena ataingia kwa feki IDPasco ametaja sasa nadhani magu ataanza kusoma humu
Unajua pia kwamba anaweza kulivunjilia mbali?na unajua kuwa bunge linaweza kumimpeach rais?
Siyo yeye...Ni pasco huyu huyu wa humu au ni mwingine?
Umenena vyama. Waanzilishi wa hii dhana na separation of powers amina Jeremy Bentham walitamani iwe hivyo yaani kila muhimili uwe kivyake bila kuingiiliana lakini wakagundua kwamba hakuna separation of powers isiyo na kuingiliana ndio wakaja na kitu inaitwa checks and balances. Rais anaweza kusamehe na anaweza kubadili hukumu. Mkuu wa Dola anakuwa na upper hand dhidi ya wakuu wengine wa mihimili. Hutaki basi sikulazimishi ila unaona mwenyewe nani ni namba 1 wa nchi...mtiririko uko hivi:
1. Bunge linapitisha sheria.
2.mahakama inatafsiri sheria hiyo, au inatoa hukumu.
3.serikali inatekeleza hukumu hiyo.
..Raisi anapotoa msamaha haimaanishi kwamba amefuta hukumu.
..mimi sijawahi kusikia mtu amehukumiwa halafu Raisi akataa kutekeleza hukumu hiyo na kuamuru mhusika asitumikie adhabu. Huko ndiyo kufuta hukumu kwa mtizamo wangu.
..hata mamlaka aliyonayo Raisi ya kutoa msamaha kwa wafungwa amepewa na sheria iliyopitishwa na bunge. Hili siyo suala ambalo Raisi anajiamulia tu kwa utashi wake.
..pia umezungumzia Raisi kuteua mahakimu na majaji. Sasa nikuulize: Mbona Raisi huapishwa ktk nafasi hiyo na Jaji Mkuu?
..Tukijenga dhana kwamba Raisi hana mipaka ktk madaraka yake tunaweza kuiingiza nchi ktk matatizo.
Wenyewe waoga wameshindwa kuliuliza ndo waje kumkumbusha!Ila swali la mikutano ya vyama vya siasa hajalijibu na kina tido na lyoba hawajamkumbusha....
Hadi mwana wa Adam arudi huwezi kupata jawabu ya hili swali lako.Tatizo kifanya akili yako kutokua huru ni sbb ya kushindwa kumuelewa jpm.kuna vipengele vya katiba tulio wengi hatuvifaham mafuhum yake.naomba nipatiwe mfano wa hata nchi moja inayoongozwa na mahakama au bunge