Hongera sana Pascal Mayalla, Ndio Mwandishi Pekee Uliyemuuliza Swali Rais Magufuli

Hongera sana Pascal Mayalla, Ndio Mwandishi Pekee Uliyemuuliza Swali Rais Magufuli

Yaaap Bro Pasco nakupa hongera! Waandishi wote nilitegeamea wangemuuliza maswali ya msingi,hofu yangu kutokana na maswali yako mapesi unaeza usipewe mwaliko kaka! Usikate tamaa komaa tu
 
Mimi binafsi nakupongeza kwa kuthubutu kuwaita waandishi.kiukweli unajiamini hii ni kutokana na kufanya kwako kazi kwa uadilifu.kilichonifanya nicheke sana nilipokumbuka ,mayala oyeeeee .kiukweli swali lake ulijibu kwa ufasaha sana.wenye kuelewa walielewa.hapa kazi tu.nyoosha mpaka tunyooke
 
Ningemuuliza kwamba yeye kama Rais ambae sera yake nikupinga ufisadi, analizungumziaje Swala la IPTL ambalo Tanzania tunatakiwa tuwalipe hao jamaa zaidi ya bilioni 300 wakati walogawana fedha hizo wapo na wanafahamika?
 
Na wakati huo huo ni mjumbe wa Bunge - Rais akiingia bungeni linaitwa parliament, akiwa hayumo linaitwa national assembly!
Umechanganya mkuu.. akiwemo ndo linaitwa national assembly au legislature,asipokuwepo ndo linaitwa parliament..
 
Mayalla umesema uko humu hebu nipm kaka maana inaonekana wewe kidogo zimooooo sio kama wale waliokaa front line
 
Yaaap Bro Pasco nakupa hongera! Waandishi wote nilitegeamea wangemuuliza maswali ya msingi,hofu yangu kutokana na maswali yako mapesi unaeza usipewe mwaliko kaka! Usikate tamaa komaa tu
Mkuu, muuliza swali siyo Pasco, aliyeuliza swali na ambaye anasifiwa hapa ni Pascal Mayalla, na siyo Pasco. Pascal na Pasco ni watu wawili tofauti, japo wote wapo JF
 
Akiacha kuchukia waislam bas he gets my votes
 
Kweli huyuu mkuu ni nyota wa mchezo
Niliona yule jamaa wa BBC sema akakatishwa baada ya kuumix lugha
Japo Mzee wetu still anamda kuna picha nzuri mbele ya safari kama hawata muangusha
 
Back
Top Bottom