Hongera sana Pascal Mayalla, Ndio Mwandishi Pekee Uliyemuuliza Swali Rais Magufuli

Hongera sana Pascal Mayalla, Ndio Mwandishi Pekee Uliyemuuliza Swali Rais Magufuli

Hv Tanzania kwanini waandishi wengi wa habari ni waoga na hawajiamini wala hawawezi au niseme hawajui hata kuuliza maswqli hii ni aibu kubwa sana
 
Kama kawaida yenu, hamuishi kuropoka!
Kawaida ya Watanzania. Hatupendi kusikia criticism. Rais kaulizwa swali anatumia almost 20 min kujibu!? Hiyo ni hotuba!? Alitakiwa kujibu maswali siyo kuconvince watu!! Kwenye international media hatapata hiyo nafasi!!
 
Kama kuna mtu anafagilia maswali ya mayala...yafaa naye apimwe akili!mayala amedhihirisha jinsi alivyomweupe kichwani japo alijambulisha kama mwanasheria....mwanasheria gani hajui katiba ya nchi yetu!unamuuliza Rais...nani amekupa mamlaka/kwa mamlaka gani unafanya haya......kichwani yuko vizuri huyu?hujui mamlaka ya Rais?hujui Rais anapewa mamlaka na nani?ni dhahiri taaluma hii imevamiwa!
 
Kama swali lake lilikuwa ni la kipuuzi naomba unitajie aliyeuliza swali la maana.
Jibu alilopewa na Rais limedhihirisha ni jinsi gani mayala alivyomtupu kichwani na wale walio mtuma......mayala....tafsiri yake njaa.....mwishon akamalizia mayala(njaa)oyeeee!tafakari hii[emoji28][emoji38]
 
Kama kuna mtu anafagilia maswali ya mayala...yafaa naye apimwe akili!mayala amedhihirisha jinsi alivyomweupe kichwani japo alijambulisha kama mwanasheria....mwanasheria gani hajui katiba ya nchi yetu!unamuuliza Rais...nani amekupa mamlaka/kwa mamlaka gani unafanya haya......kichwani yuko vizuri huyu?hujui mamlaka ya Rais?hujui Rais anapewa mamlaka na nani?ni dhahiri taaluma hii imevamiwa!
Kwa hiyo swali zuri ni yule anayemuomba rais aende China kuwaomba waje kutushauri jinsi ya kuendesha viwanda vidogo wakati yeye mwenyewe anaishi Dar es Slaam ambapo Wachina wamejaa hadi uswahilini wakitafuta fursa za uwekezaji na SIDO ilo hapo hapo!
 
Amani kwenu wana JF,
Katika mkutano wa Mh. Rais na Waandishi wa habari tar 04.11.2016 mwandishi Pasco Mayalla ndo mwandishi pekee aliyeonekana kujipanga na kumuuliza Rais swali lenye tija kwa Taifa bila woga, ingawa hakupewa jibu linalostahili, Pasco alijaa ujasiri na kujiamini ktk kazi yake ukilinganisha na waandishi wengine waliojaa wonga kwa kumwogopa Mh. Raia wetu, aina 10 ya akina Pasco inatosha kabisa kuleta MABADILIKO ktk tasinia ya uandishi wa habari, Hongera sn Pasco Mayalla.
 
It's enough already,mbona pasco anapewa macredit utafikiri hilo swali tulikuwa hatuliulizi humu kila siku...mnamsifia sana mpaka inaboa,pasco mwenyewe sometimes anakuwa wa hovyohovyo humu!!!
 
Ni kweli mkuu. Swali lake lilipata jibu la swali jingine alilojiuliza Juma na kujijibu mwenyewe kwa ujasiri mkubwa.
Yote haya yana mwisho wake.
 
It's enough already,mbona pasco anapewa macredit utafikiri hilo swali tulikuwa hatuliulizi humu kila siku...mnamsifia sana mpaka inaboa,pasco mwenyewe sometimes anakuwa wa hovyohovyo humu!!!
Hatuulizi mtukufu asiyejaribiwa. Yeye akamuuliza.
Wewe ungemuuliza Juma ungekutana naye kweli?
 
Hatuulizi mtukufu asiyejaribiwa. Yeye akamuuliza.
Wewe ungemuuliza Juma ungekutana naye kweli?
Mimi sio journalist na sina hiyo nafasi..pasco has done his work ethically...kuna jinga linaitwa manyerere limeulizia ubwabwa...aisee!!
 
Mimi sio journalist na sina hiyo nafasi..pasco has done his work ethically...kuna jinga linaitwa manyerere limeulizia ubwabwa...aisee!!
Waandishi uchwara wanajipendekeza, japo kuna tetesi kuwa maswali yaliandaliwa kwa waandishi wengine.
 
Amani kwenu wana JF,
Katika mkutano wa Mh. Rais na Waandishi wa habari tar 04.11.2016 mwandishi Pasco Mayalla ndo mwandishi pekee aliyeonekana kujipanga na kumuuliza Rais swali lenye tija kwa Taifa bila woga, ingawa hakupewa jibu linalostahili, Pasco alijaa ujasiri na kujiamini ktk kazi yake ukilinganisha na waandishi wengine waliojaa wonga kwa kumwogopa Mh. Raia wetu, aina 10 ya akina Pasco inatosha kabisa kuleta MABADILIKO ktk tasinia ya uandishi wa habari, Hongera sn Pasco Mayalla.
Mbona swali la Pasco lilikuwa la kipuuzi tu, yaani mpaka sasa namchukia sana huyu kiumbe. Huwezi kuuliza swali ambalo unajua jibu lake ni kuwa katiba ya nchi yetu inampatia rais mamlaka ya mwisho ya maamuzi. Pasco anatumika maana kama alideki ili lowasa awe rais sishangai ile kuendelea kutumika
 
Hongera sana BW.Pasco.
Uliniwakilisha vizuri jana.
 
Kumekuwa na dhana kuwa mtu pekee aliyeuliza swali la msingi kwa Mh. Rais ni Mayalla pekee. Ni kweli anastahili pongezi kwa swali lake bora kabisa.

Lakini pia kuna mtu mmoja aliuliza swali ambalo ukikaa na kufikiri zaidi ni suala ambalo ndilo lililo hot kwa sasa, na wapinzani pamoja na wanaharakati wamekuwa wakilipigia kelele. Swali liliulizwa na mwandishi wa BBC "SAMI AWAMI" Lilikuwa liki dai "INAONEKANA RAIS ANATUMIA KUKANDAMIZA DEMORASIA KWA EXCUSE YA MAENDELEO, HASA BAADA YA KUZUIA MIKUTANO YA WAZI YA VYAMA VYA SIASA"

Leo hii tumesahau na huku tulikolalamika kila kukicha kuwa rais anakandamiza uhuru na haki ya kufanya siasa, uhuru wa kujieleza, Uhuru wa kutoa maoni.

Mimi kwa upande wangu nilimuelewa sana huyu mtu. Nadhani Pasco amekuwa popular kwa kuwa tu alijinasabisha kuwa ni member wa JF, ndio maana leo tumesahau watu wengine makini kama hawa kuwapa credit na kutoa airtime zaidi kujadili hoja zao.

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom