Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kawaida ya Watanzania. Hatupendi kusikia criticism. Rais kaulizwa swali anatumia almost 20 min kujibu!? Hiyo ni hotuba!? Alitakiwa kujibu maswali siyo kuconvince watu!! Kwenye international media hatapata hiyo nafasi!!Kama kawaida yenu, hamuishi kuropoka!
Jibu alilopewa na Rais limedhihirisha ni jinsi gani mayala alivyomtupu kichwani na wale walio mtuma......mayala....tafsiri yake njaa.....mwishon akamalizia mayala(njaa)oyeeee!tafakari hii[emoji28][emoji38]Kama swali lake lilikuwa ni la kipuuzi naomba unitajie aliyeuliza swali la maana.
Kwa hiyo swali zuri ni yule anayemuomba rais aende China kuwaomba waje kutushauri jinsi ya kuendesha viwanda vidogo wakati yeye mwenyewe anaishi Dar es Slaam ambapo Wachina wamejaa hadi uswahilini wakitafuta fursa za uwekezaji na SIDO ilo hapo hapo!Kama kuna mtu anafagilia maswali ya mayala...yafaa naye apimwe akili!mayala amedhihirisha jinsi alivyomweupe kichwani japo alijambulisha kama mwanasheria....mwanasheria gani hajui katiba ya nchi yetu!unamuuliza Rais...nani amekupa mamlaka/kwa mamlaka gani unafanya haya......kichwani yuko vizuri huyu?hujui mamlaka ya Rais?hujui Rais anapewa mamlaka na nani?ni dhahiri taaluma hii imevamiwa!
Hatuulizi mtukufu asiyejaribiwa. Yeye akamuuliza.It's enough already,mbona pasco anapewa macredit utafikiri hilo swali tulikuwa hatuliulizi humu kila siku...mnamsifia sana mpaka inaboa,pasco mwenyewe sometimes anakuwa wa hovyohovyo humu!!!
Umechanganya mkuu.. akiwemo ndo linaitwa national assembly au legislature,asipokuwepo ndo linaitwa parliament..
Mimi sio journalist na sina hiyo nafasi..pasco has done his work ethically...kuna jinga linaitwa manyerere limeulizia ubwabwa...aisee!!Hatuulizi mtukufu asiyejaribiwa. Yeye akamuuliza.
Wewe ungemuuliza Juma ungekutana naye kweli?
Waandishi uchwara wanajipendekeza, japo kuna tetesi kuwa maswali yaliandaliwa kwa waandishi wengine.Mimi sio journalist na sina hiyo nafasi..pasco has done his work ethically...kuna jinga linaitwa manyerere limeulizia ubwabwa...aisee!!
Mbona swali la Pasco lilikuwa la kipuuzi tu, yaani mpaka sasa namchukia sana huyu kiumbe. Huwezi kuuliza swali ambalo unajua jibu lake ni kuwa katiba ya nchi yetu inampatia rais mamlaka ya mwisho ya maamuzi. Pasco anatumika maana kama alideki ili lowasa awe rais sishangai ile kuendelea kutumikaAmani kwenu wana JF,
Katika mkutano wa Mh. Rais na Waandishi wa habari tar 04.11.2016 mwandishi Pasco Mayalla ndo mwandishi pekee aliyeonekana kujipanga na kumuuliza Rais swali lenye tija kwa Taifa bila woga, ingawa hakupewa jibu linalostahili, Pasco alijaa ujasiri na kujiamini ktk kazi yake ukilinganisha na waandishi wengine waliojaa wonga kwa kumwogopa Mh. Raia wetu, aina 10 ya akina Pasco inatosha kabisa kuleta MABADILIKO ktk tasinia ya uandishi wa habari, Hongera sn Pasco Mayalla.