Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Hakika nimefurahishwa sana na Mwandishi huyu Pascal Mayalla wa kipekee aliyemuuliza swali Rais lenye msingi na hata rais kajibu kwa ubabaishaji. Natafuta clip au mwenye nayo aiweke.
View attachment 429403
Kwanza kaanza kwa kuitaja JamiiForums kwa kusema ni mwanachama mwandamizi wa JamiiForums.
Mkuu Chakaza, kwanza asante kwa kunianzishia uzi, kwa vile sasa tunakwenda kwenye utangamano wa nchi za Afrika Mashariki, mwanzo zilikuwa 3, Tanzania Kenya na Uganda, baadaye zikaongezeka mbili, Rwanda na Burundi, zikawa 5!, baadaye Sudani ya Kusini ikaingia, zikawa 6!. Juzi kati, DRC imeingizwa!. Ethiopia, Somalia na Eritrea zimeomba!. Hivyo sasa kunahitajika watu wenye maswali crical ya kihivi kwenda kuitetea nchi yetu na sio kuendelea kupeleke mabubu mule!. Bunge lile sio Bunge la kisiasa la kupiga blah blah, ni Bunge linalohitaji watu makini wa sample za maswali haya!.
Nina jambo langu, wale wenye mapenzi mema na nchi yangu, naomba mniunge mkono!.
Wana JF, niko mbele yenu kwa unyenyekevu kuomba baraka zenu & moral support yenu jambo langu hili liwe! Mniombee Mungu asaidie, awezeshe liwe!
Wana JF wenzangu, Kuna msemo wa lugha ya Kilatini usemao "Vox Populi is Vox Dei" kumaanisha "Sauti ya Wengi ni Sauti ya Mungu" Hili ni Bandiko la kukusanya sauti za wengi ili kutumia sauti hizo ziwe ni sauti ya Mungu. Mimi mwana jf mwenzenu Pascal Mayalla, nina jambo langu ambalo mimi mwenyewe...