Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
RightSidhani kama wametafakari vya kutosha, vyuo vina option ya ku-award postgraduate degree based on dissertation/thesis submitted, kuna baadhi ya vyuo ambavyo vinataka uambatanishe publications zako ndani ya thesis, lakini bado vinakubali unpublished thesis.
Swala la publication ni motivation ya mtu husika, huwezi kulazimisha kila mtu a publish maana wakati mwingine kuna gharama zinatakiwa na ni swala linalohitaji muda.
Ni uonevu kumkwamisha mtu kuwa awarded wakati ameshakamilisha thesis.......awe awarded publication libaki kuwa swala lake binafsi kuamua ndani ya ratiba zake mwenyewe.
Ni ujinga, Masters ni ku complicate tu.Hata masters?
Watanzania hawajawahi kuwa serious hata mara moja mkuu.Sidhani kama wametafakari vya kutosha, vyuo vina option ya ku-award postgraduate degree based on dissertation/thesis submitted, kuna baadhi ya vyuo ambavyo vinataka uambatanishe publications zako ndani ya thesis, lakini bado vinakubali unpublished thesis.
Swala la publication ni motivation ya mtu husika, huwezi kulazimisha kila mtu a publish maana wakati mwingine kuna gharama zinatakiwa na ni swala linalohitaji muda.
Ni uonevu kumkwamisha mtu kuwa awarded wakati ameshakamilisha thesis.......awe awarded publication libaki kuwa swala lake binafsi kuamua ndani ya ratiba zake mwenyewe.
Huo ndio muongozo mpya wa TCU unaosumbua vichwa vya young academicians. Ni kimbunga. Na publication ifanyike kwenye reputable journals.Sidhani kama wametafakari vya kutosha, vyuo vina option ya ku-award postgraduate degree based on dissertation/thesis submitted, kuna baadhi ya vyuo ambavyo vinataka uambatanishe publications zako ndani ya thesis, lakini bado vinakubali unpublished thesis.
Swala la publication ni motivation ya mtu husika, huwezi kulazimisha kila mtu a publish maana wakati mwingine kuna gharama zinatakiwa na ni swala linalohitaji muda.
Ni uonevu kumkwamisha mtu kuwa awarded wakati ameshakamilisha thesis.......awe awarded publication libaki kuwa swala lake binafsi kuamua ndani ya ratiba zake mwenyewe.
Hakikisha wanao huwapeleki shule,🚮 ss tunao amini mfumo wa Elimu hauja oza tutawapeleka watoto shulemfumo wa elimu umeoza kutokea chini, hilo halina msaada, Elimu inapaswa kuwekwa sawa toka darasa la kwanza na automatically tu mtu akifika Chuo hivyo vitu vidogo anaweza kuvifanya.
Exactly [emoji817]Sidhani kama wametafakari vya kutosha, vyuo vina option ya ku-award postgraduate degree based on dissertation/thesis submitted, kuna baadhi ya vyuo ambavyo vinataka uambatanishe publications zako ndani ya thesis, lakini bado vinakubali unpublished thesis.