Sidhani kama wametafakari vya kutosha, vyuo vina option ya ku-award postgraduate degree based on dissertation/thesis submitted, kuna baadhi ya vyuo ambavyo vinataka uambatanishe publications zako ndani ya thesis, lakini bado vinakubali unpublished thesis.
Swala la publication ni motivation ya mtu husika, huwezi kulazimisha kila mtu a publish maana wakati mwingine kuna gharama zinatakiwa na ni swala linalohitaji muda.
Ni uonevu kumkwamisha mtu kuwa awarded wakati ameshakamilisha thesis.......awe awarded publication libaki kuwa swala lake binafsi kuamua ndani ya ratiba zake mwenyewe.