Hongera sana TISS kwa kazi nzuri sana awamu ya tano

... Haya tumesikia kuwa wewe ni mwanasheria, mbona juzi kwenye mkutano wetu wa dharura wa TLS sijakuona?
TLS si chama cha wanasheria bali mawakili tu. Msamiati usikusumbue hapo.
 
Ulishajibiwa ktk post za juu, mkuu hayuko salama kwakuwa maslahi ya mafisadi wenye uwezo mkubwa kimikakati imeharibiwa. We nawe, hivi hata hili ni jambo la kujadiliana? We unadhani bodaboda ana hata wazo la kumpiga jiwe Rais? Hivi kweli haya mambo hamyajui au ili tu mpost? Hamjui mabepari huwaweka marais kwa interest zao na ikitokea aliyeko yuko kinyume nao humtoa?

Sasa movie mnazozicheki zinawafundisha nini au huwa mnacheki tu bongo movie? Nikutajie orodha ya wakuu wa nchi walio wahi kuuawa na imperialists ili kuyalinda tu maslahi yao? Endelea kuamini mangonjera yao.
 
Usijali kuna watu wana PhD na hawajui inglish

Kumbe Wewe ndiyo niliyemuuliza swali ila umeamua tu kunijibu kwa ID yako nyingine Mkuu? Haya nimekuelewa kwa ufafanuzi wako.
 
... Hayo ni mawazo yako tuu, kipindi cha mwanzo cha Nyerere kulikuwa na attempt za kumpindua je ilikuwa sababu ya ufisadi? Secondly si tuna security organs ambao wanaweza kufanya kazi zao silently? Mpaka wajazane openly barabarani?
 
"You are doing a wonderful job for our great nation." Ndicho Kiswahili cha wapi hiki? Upuuzi!
 
Samahani naomba kuuliza hivi hizi ndizo ' Uniforms ' mpya za JWTZ au? Huyo Jamaa hapo mbele ameivaa. Naomba ' Wajuvi ' wa haya mambo mnielimishe tafadhali.

Nawatakieni uchangiaji mwema wa huu uzi na kila la kheri.
Hapana. Hao ni Walinzi Maalamu wa Rais wanaitwa PSG kutoka Usalama!
 
... Hayo ni mawazo yako tuu, kipindi cha mwanzo cha Nyerere kulikuwa na attempt za kumpindua je ilikuwa sababu ya ufisadi? Secondly si tuna security organs ambao wanaweza kufanya kazi zao silently? Mpaka wajazane openly barabarani?
Ipo picha humu ktk moja ya nyuzi Nyerere yuko na ulinzi mkubwa kuliko huu. Lakini pia, unadhani chanzo cha ufisadi au nguvu zao ziko ndani ya nchi? Kama hujui duniani kuna multinational cooperations hapo sitakuwa tena na hoja. Somo litakuwa gumu sana.
 
Una kumbukumbu nzuri sana
 
TISS effectiveness is INVERSELY proportional to the security measure of a common civilian but DIRECTLY proportional to the protectionism stature of a totalitarian state.

mnaojua hesabu kidogo mmenielewa!
 
Tangu kufa raia wa 1 hadi 30s bado wanachunguza?
Kama unaona hakuna kinachofanyika nawe nenda kajiunge na kundi la hao wahalifu halafu utakuja kusimulia na majibu utakuwa umeyapata.
 
Duu mi mwenyewe TISS wamenifanya nijione mtanzania kiukweli
 
Hapana, ila si kila mwanasheria ni wakili.
Good answer. Huyo amedandia fani. Hajui tofauti kati ya WAKILI na MWANASHERIA.Siyo kila mwanasheria ni wakili. Lakini kila wakili ni mwanasheria. Hesabu za set and subset za form 1.Na th philosophy of reasoning/logics.
 
Sasa ndio napata picha halisi ni kwa nini Tanzania ni maskini, ati hawa ndio wasomi wa Tanzania na bado mtu anaota nchi hii inaweza kupata maendeleo kwakuwa na wasomi wenye kaswende ya ubongo kama bwana huyu?

Mungu akurehemu tu.
Shida kubwa ya upinzani wetu ni ignorance. Tunadhani kupinga ni kupinga, iwe kiangazi au kifuku. No reasoning, no objectivity. This is absurdy. Kila anayesema ukweli kwa core evidence pale jambo linapofanyika vizuri, anaonekana mjinga mbele ya wajinga. Ni dhahiri TISS sasa wanaonyesha wapo kazini na matunda ya kazi yao yanaoneka. Ubishi wa nini tena?
 
Kama unaona hakuna kinachofanyika nawe nenda kajiunge na kundi la hao wahalifu halafu utakuja kusimulia na majibu utakuwa umeyapata.
Mie sio mhalifu nikajiunge ili iweje,kafa wa 1,2,3,4,5,6 hadi 30+ unasema kuna juhud,unazijua juhudi wewe?Halaf sasa si mara ya 1 hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…