Hongera sana TISS kwa kazi nzuri sana awamu ya tano

Haaya bwana naona unaamua kuichafua Idara nyeti sasa wewe unapenda kuikashifu na kuitukana Serikali au kukosoa kwa kujenga hoja
 
Acha majungu. TISS ya sasa naipenda sana. Ningekuwa siyo mwanasheria ningeomba kujiunga nao for th public interest.

Duuh wewe umesomea sheria ungejua tangu mwanzoni ungesomea shahada ya tiss. Bachelor of tiss.



Na washawasha!
 
Kadri ulinzi wa mkuu wa kaya unavyozidi kuwa mkubwa unatakiwa ujiulize kulikoni???

Viongozi wote wanaopendwa duniani huwa hawahitaji ulinzi mkubwa.

Kwa hiyo ushauri wako ni huyu wa kwetu apunguze ulinzi kwa vile anapendwa na mafisadi au sijakuelewa?


Na washawasha!
 
Sema tu kiongozi mzuri kwa mujibu/mtazamo wako ni yule aliye karibu na wabaka nchi.


Na washawasha!






 
Kwani TISS ndo huwa ni walinzi wa rais?

Hili suala ni mnasadiki tu au mnalijua kwa uhakika?
Kwenye TISS kuna kitengo kinaitwa PSU hiki ndio kina deals na Protection ya viongozi wa Rank ya Juu akiwemo Raisi
 
NSA Ndo humlinda Raisi mkuu. Ingawa kuna kitengo ndani yake chenye kufanya Kazi hiyo.
POTUS, Trump analindwa na Secret Service kupitia kitengo kinaitwa President Protection Division (PPD) Icho kitengo kinawalinda wale the Five Big sambamba na Familia zao
 
Wewe
Kukutaarifu tu TAMISEMI wanafanya uchunguz juu ya upotevu wa zaidi ya mil 200 juzi Jafo amesema.

Na leo vichwa vya treni vimekutwa huko vimesukumwa nje ya bahar havijulikani vya nani?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ni babu jinga tu.... Hujuwi kitu
 
Kwa akili hizi za makinikia acha tu wazungu waendelee kutuita nyani
 
POTUS, Trump analindwa na Secret Service kupitia kitengo kinaitwa President Protection Division (PPD) Icho kitengo kinawalinda wale the Five Big sambamba na Familia zao
Shukran kwa ufafanuzi.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
POTUS, Trump analindwa na Secret Service kupitia kitengo kinaitwa President Protection Division (PPD) Icho kitengo kinawalinda wale the Five Big sambamba na Familia zao
1. President
2. Vice President
3. Secretary of State
4. Defence Secretary
5. Speaker of the House

Chief Economist
 
acha alindwe mzee nyerere hakutoa madudu ya watu hakukuana mafisad kama sasa.....
Jamaa kagusa nyeti za watu ni rahis wakamdungua so ni vema akapewa ulinz tena hata hivyo huo hautosh na maombi yako yanahitajika kwakwe
 
Kweli viwanja vya sababu [emoji16]

sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…