Hongera sana TISS kwa kazi nzuri sana awamu ya tano

Acha majungu. TISS ya sasa naipenda sana. Ningekuwa siyo mwanasheria ningeomba kujiunga nao for th public interest.
Hamna kitu huko "Mkiru' inteligency yao imefel mbaka leo hatuoni mafanikio.
 
Reactions: SDG
Kwa maoni kama haya naweza kukubali kwamba Watanzania wengi wana tabia ya kuridhika kirahisi, bila uchunguzi halafu kuwa wavumilivu wa ujinga sana sehemu ambayo hata haihitaji uchunguzi.

TISS ingekuwa inafanya kazi nzuri ingeweza angalau kuudhibiti mdomo wa rais Magufuli.

Sasa kama imeshindwa kuudhibiti mdomo wa rais tu, huko kwingine kuna mangapi inashindwa hatujui?
 
Watanzania bwana, unakuta mtu anaongea kitu kama anakifahamu kwerkwer kumbe hamna kitu,,,
Unaelewa PSU wanatokea wapi lakini au umeona na ww uandike tu watu tukusome..,
... Wewe ambaye ni Mkenya ndo umesaidia nini hapa kwa hicho unachokijua?
 
Reactions: Pep
Hivi TISS ndo walinzi wa rais kwani?

Mi siku zote huwa nadhani walinzi wa rais ni tofauti kabisa na hao sijui ndo TISS.....

But what do I know....
niliwahi kukuheshimu lkn kwa sasa nakudharauuu bure kabisa hii Uzi hupaswi MTU kama we ucoment chochite
 
Reactions: SDG

Chanzo au vyanzo vya uelewa wako ni nini?
 

My dude,

Truth be told, kumdhibiti mtu ni kazi ngumu sana na kuudhibiti mdomo wa mtu ni kama vile haiwezekani kabisa.

Tunaona hata vile jinsi Trump asivyodhibitika.

Jamaa bado lina tweet hata usiku wa manane na secret service mpaka sasa hawajaweza kumdhibiti.

Bill Clinton aliweza hata kuchepuka tena ndani ya White House na secret service hawakuweza kulizuia hilo.

Sembuse hao sijui ndo TISS wawe na ubavu wa kumdhibiti Magu? Mtu ambaye ndo bosi wao?

Kudhibiti mdomo wa mtu si kazi rahisi hata kidogo.

Na sidhani kuna mtu anayeweza kuudhibiti mdomo wa mtu mwingine.
 
Acha majungu. TISS ya sasa naipenda sana. Ningekuwa siyo mwanasheria ningeomba kujiunga nao for th public interest.
TISS ya sasa iko vizuri umeipenda! Vipi ya zamani ulikuwa huipendi?

Hii TISS ya *sasa* imeanza lini? Tofauti kutoka ya zamani hadi hii ya sasa unayoipenda ni ipi?

New personal au kuna nini?
 
Reactions: Pep
Jami za Marekani na Tanzania zimefanana kwa kuchagua viongozi wasema ovyo.

Tena afadhali ya jamii ya Tanzania, Magufuli usema ovyo wake ulikuwa haujajulikana vizuri kabla ya kuwa rais.

Hao Wamarekani wajinga wengi walijua Trump ni msema ovyo, na wakaupenda ujinga huo wa kusema ovyo wakamchagua awe rais.

Kwa hiyo Marekani si golden standard anymore.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…