mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Umemuliza Swali zuri!akikujibu nistuee!
!
Unapimaje mkuu.
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umemuliza Swali zuri!akikujibu nistuee!
!
Unapimaje mkuu.
Hamna kitu huko "Mkiru' inteligency yao imefel mbaka leo hatuoni mafanikio.Acha majungu. TISS ya sasa naipenda sana. Ningekuwa siyo mwanasheria ningeomba kujiunga nao for th public interest.
... Wewe ambaye ni Mkenya ndo umesaidia nini hapa kwa hicho unachokijua?Watanzania bwana, unakuta mtu anaongea kitu kama anakifahamu kwerkwer kumbe hamna kitu,,,
Unaelewa PSU wanatokea wapi lakini au umeona na ww uandike tu watu tukusome..,
niliwahi kukuheshimu lkn kwa sasa nakudharauuu bure kabisa hii Uzi hupaswi MTU kama we ucoment chochiteHivi TISS ndo walinzi wa rais kwani?
Mi siku zote huwa nadhani walinzi wa rais ni tofauti kabisa na hao sijui ndo TISS.....
But what do I know....
Loooh!!!Naona unataka kuliamsha Dude....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
niliwahi kukuheshimu lkn kwa sasa nakudharauuu bure kabisa hii Uzi hupaswi MTU kama we ucoment chochite
Hahaha!. Kama ambavo wewe unaelewa kivingine, nami naelewa ifuatavyo:
Walinzi wa rais ni kitengo maalum maarufu kama PSU. Hichi ni kitengo kilichomo cha ndani ya TISS, chenye jukumu la kuhakikisha usalama wa Rais, Makamu wake, waziri Mkuu pamoja na viongozi wengine ambao kwa namna moja ama nyingine inaonekana wanahitaji ulinzi huo (viongozi wakuu wastaafu).
Ila pia huambatana na walinzi wa idara zingine kama polisi na wanajeshi.
AjabuEeeh Mungu tusaidie hichi kizazi
Kwani jana alikuwa kwenye uwanja wa vita?
Soga za kijiweni kwetu, Mtoni kwa aziz.Chanzo au vyanzo vya uelewa wako ni nini?
Kwa maoni kama haya naweza kukubali kwamba Watanzania wengi wana tabia ya kuridhika kirahisi, bila uchunguzi halafu kuwa wavumilivu wa ujinga sana sehemu ambayo hata haihitaji uchunguzi.
TISS ingekuwa inafanya kazi nzuri ingeweza angalau kuudhibiti mdomo wa rais Magufuli.
Sasa kama imeshindwa kuudhibiti mdomo wa rais tu, huko kwingine kuna mangapi inashindwa hatujui?
Kubari kueleweshwa mkuu asome nn wkt we ndo uelewi? Ushaambiwa PSU yaan Presidential security Unity ni kitengo ndani ya TISS unachokataa ni nini hapo??Kasome kazi ya TISS.
TISS ya sasa iko vizuri umeipenda! Vipi ya zamani ulikuwa huipendi?Acha majungu. TISS ya sasa naipenda sana. Ningekuwa siyo mwanasheria ningeomba kujiunga nao for th public interest.
Jami za Marekani na Tanzania zimefanana kwa kuchagua viongozi wasema ovyo.My dude,
Truth be told, kumdhibiti mtu ni kazi ngumu sana na kuudhibiti mdomo wa mtu ni kama vile haiwezekani kabisa.
Tunaona hata vile jinsi Trump asivyodhibitika.
Jamaa bado lina tweet hata usiku wa manane na secret service mpaka sasa hawajaweza kumdhibiti.
Bill Clinton aliweza hata kuchepuka tena ndani ya White House na secret service hawakuweza kulizuia hilo.
Sembuse hao sijui ndo TISS wawe na ubavu wa kumdhibiti Magu? Mtu ambaye ndo bosi wao?
Kudhibiti mdomo wa mtu si kazi rahisi hata kidogo.
Na sidhani kuna mtu anayeweza kuudhibiti mdomo wa mtu mwingine.