Hongera sana TISS kwa kazi nzuri sana awamu ya tano

Do you have personal problems with presidaa?
What is the basis of that statement?

I have problems with ignorance, wherever I see it.

In Trump. In Magufuli. In you.

I point it out. I attack it. Ignorance. Not you. Not Magufuli. Not Trump.

Ignorance.

So why do you see my pointing out of ignorance as a personal problem with your president while I attack ignorance anywhere?

I attack ignorance in Kikwete, Mkapa, Mwinyi, Nyerere.

I attack ignorance in Lipumba, Lowassa, Lissu, Hamad.

I attack the charade of democracy in a country where a lot of people are uneducated.

It is ignorance.

I attack the chorus of hagiography that ignores basic things.

It is ignorance.

I attack people who see my attacking ignorance as personal with no basis for saying so.

It is ignorance.

Where do you get this ignorance of suggesting there is anything personal between myself and Magufuli?

If you want to make it personal, I should be singing Magufuli praises.

You know why? I will tell you.

1. My uncle is in Magufuli's cabinet.

2. My father was sold a government house in Oysterbay by Magufuli. It is now probably worth 3 million USD.

If I was not a principled person, I was supposed to be one of those people who sings praises for Magufuli.

He basically gave my family a 3 million USD house for nothing. In Oysterbay.

But I am better than that.

I am looking at the bigger picture using better principles.

Now, as you see, if you want to make it personal, I should love Magufuli immensely.

But I don't. Because my principles are rooted in ideals that are better than the mere personal.

Kuna watu wanamsifia Magufuli wakati kawakamua mpaka mavi.

Kwa sababu ya ujinga.

Mimi ambaye Magufuli kaipa familia yangu nyumba ya dola za Kimarekani milioni tatu Oysterbay bure naujua ujinga wake na namchana.

That alone should give you pause.
 
Napata mshangao kuona eti mtu anawasifia TISS kwa kumlinda rais.. Its their friggin job!

Halafu unaanzaje kuwapongeza TISS kwa "kazi nzuri" wanayofanya? Yanayotokea kibiti je? Hiyo nayo ni kazi nzuri?

Pity.
 

Kabla ya kusema kuwa wakati wa Nyerere hakuwa na Ulinzi kama ambao uliuona jana Sabasaba ni vyema ungeuliza Kwanza waliokuwepo Kipindi hiko. Kwa kukusaidia tu hakuna Rais ambaye alikuwa akiwindwa sana Kuuwawa na majaribio mengi ya Kuuwawa Kwake yalidhibitiwa vilivyo na Idara pamoja na PSU kama Hayati Baba wa Taifa Nyerere. Ndiyo maana hadi leo hii Walinzi wa Baba wa Taifa Nyerere wanasifika na kukubalika mno hadi mmoja wao sasa ndiyo ' Kateuliwa ' kuongoza PSU ( Presidential Security Unity ) ila sitamtaja jina kwasababu za Kimaadili.

Nawatakieni uchangiaji mwema wa huu uzi na kila la kheri.
 
Ndani ya TISS kuna kitengo cha ulinzi wa Rais,presidential services unit,PSU hawa wanakazi ya kulinda viongozi wa kitaifa na nyumba zao,na uniform zao ni kama zile zilizoonekana jana,ingawa wakati mwingine sio lazima wavae sare
Wengine PSU wanasema Security wewe Services mbona wataalamu wa inteligensia mnanichanganya?
 

Akhsante kwa Elimu yako hii kubwa Mkuu kwani binafsi sikuwa nalifahamu hili.

Nawatakieni uchangiaji mwema wa huu uzi na kila la kheri.
 
Watanzania bwana, unakuta mtu anaongea kitu kama anakifahamu kwerkwer kumbe hamna kitu,,,
Unaelewa PSU wanatokea wapi lakini au umeona na ww uandike tu watu tukusome..,
Vyovyote iwavyo ila walinzi wa Rais hawaitwi TISS, usilazimishe ujinga wako uwe sheria, unataka kutuambia ugali inafaa kuita mahindi??
 
Yaani ni sawa na kusema. Wale ni mawakili na sio wanasheria.

Note:
PSU ni mojawapo ya vitengo vya TISS
Jinga lingine hili, hivi ugali unaweza kuita mahindi? Maana kutokana na mahindi unaweza kupata ugali, kande, bisi nk...
 
UBORA wa KITENGO chochote au IDARA ni KUGUNDUA na kuzuia TATIZO lisitokee kwa maoni au mtazamo wangu WAKENYA wako juu kuliko hata WATANZANIA ref:MATUKIO yanayoendelea KIBITI mpaka leo SERIKALI hawajagundua chanzo chake

Kumbe Kenya au Wakenya wako vizuri sana ' Kijasusi ' kuliko Tanzania Mkuu? Nilikuwa sijui na akhsante sana kwa haya maarifa kwani sikuwa nafahamu.

Nawatakieni uchangiaji mwema wa huu uzi na kila la kheri.
 
Tiss wapo madaktari, mainjinia, walinzi, madereva na mashushushu. Ni vitengo tu.

Kama utaweza Mkuu nitaomba kujua tofauti kati ya TISS na Mashushushu kama ambavyo umeandika hapo juu.

Nawatakieni uchangiaji mwema wa huu uzi na kila la kheri.
 
It's your turn now to attack your ignorance, pole sana. Your hatred is clear now,mbona husemi serikali ilimpa ndg yoo nyumba, unamuataki magufuli, kama vile lilikuwa tamko la magufuli pekee kuuza nyumba za serikali, wakati lile lilifanywa na baraza la mawaziri ambalo mwenyekiti ni rais wa nchi, isitoshe waziri mkuu, Fredrick sumaye alishatoa ufafanuzi kuhusiana na uzwaji nyumba za serikali na crip zipo, ndg yangu shakwambia jiandae kisaikolojia, jamaa yupo hadi 2025.to case closed.
 
Na bahati nzuri ni watanzania ndio walionunua nyumba hizo, big up
 
baada ya msongamano wa jana naona mmaanza kusafisha safisha.
 
Aise TISS ya sasa naona ni aina nyingine. They are exellent. Mpaka najivunia kuwa mtanzania.

Umesemqa vema.Siyo peke yako watanzania wote wanaochukia uhuni wanaona fahari kuitwa wananchi wa Tanzania.Shida kubwa iko kwa ndugu zetu wadokozi,madalali pori aka wazee wa dili njaa inawauwa maana hawajawahi kuota kufanya kazi za kuwapatia vipato vya haki.

Fuatilia tu michango yao jukwaani hapa na mitaani.Kila Mh.JPM anapogusa anga zao na kuharibu mipango yao utasikia anataka sifa.Wanataka alegeze.Macho ,pua na masikio ya serikali (TISS) kila tone la uchafu mnaouona,kuunusa au kuusikia mpelekeeni Kamanda wetu aendelee kutupa tunachohitaji.Utumishi uliotukuka.

Nakupenda Tanzania.
 
Mjinga hana shida maana akijifunza ataelevuka, tatizo liko kwa mpumbavu ambaye hajitambui
Duuh yaani umepigilia msumari wa moto kwenye donda jipya!! Jamaa hajui kama hajui.
 
Mkuu sio TISS tu, sasa hadi Takukuru wanatisha aisee. Karibubkila idara inapiga kazi. Uhamiaji nayo imeamka. TRA wanjitahidi lakini bado kuna wafanyakazi wachafu kidogo hawajaisha.
 
Leteni habari za maana! Acheni habari za mbayuwayu
 
Reactions: SDG
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…