Hongera Simba SC kupanda viwango vya ubora CAF

Wakiweka Yanga inakuwa kichekesho ila miezi kadhaa nyuma wakati yanga hayupo hapo simba yupo hizi ranking hazikuwa kichekesho au sio
Imetwaa ubingwa Ligi ya ndani ambayo no moja ya ligi bora barani Afrika na inacheza Nusu fainali huko ulimwenguni! Hauwezi kulinganisha na timu zingine ndogo ndogo kama Simba 😄
 
Huu ni mtego mkubwa kwa makolo🤣🤣🤣

Makolo hawana furaha na hizi takwimu zilizotolewa na IFFHS🤣🤣
Takwimu ambazo wiki 2 zilizopita walikuwa wanazipost kila baada ya nusu saa

Hapo wanatamani kusema takwimu hazitambuliki au IFFHS ndo kitu gani ila wakikumbuka wiki iliyopita ndio walikuwa wanajisifu nayo wanajikuta wanakaa kimya tu
 
Utafuti wao una Dosari nyingi.

Mamelodi HASTAHILI KUWA hapo.

WHYDAD HASTAHILI KUWA hapo.

Pyramid HASTAHILI KUWA hapo.

Yanga HASTAHILI KUWA hapo.

Point za CAF zinajumuisha Miaka mitano ya nyuma Hadi Leo.

Hawa IFFSH wanakurupuka sana.
Makolo mnahaha sana kutaka kutuonyosha mpo juu ya Yanga

Wakati wanatoa orodha iliyopo kwenye uzi huu hapa chini, walikurupuka?

 
Kwa hiyo ndani ya wiki moja Yanga wamepindua meza? [emoji1787]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…