Hongera Simba SC kupanda viwango vya ubora CAF

Hongera Simba SC kupanda viwango vya ubora CAF

Shirikisho la kimataifa la historia na takwimu za mpira Duniani (IFFHS) limetangaza vilabu (20) bora Africa (CAF) kuanzia May 2022 hadi April 2023.

Vigezo vilivyotumika ni
1.Matokeo katika idadi ya mechi zilizochezwa
2.Ubora katika ligi ya nyumbani.

Takwimu hizo ni kama ifuatavyo.

01. πŸ‡ͺπŸ‡¬ Al Ahly Cairo
02. πŸ‡²πŸ‡¦ Wydad Casablanca
03. πŸ‡ͺπŸ‡¬ Zamalek
04. πŸ‡ͺπŸ‡¬ Pyramids
05. πŸ‡²πŸ‡¦ FAR Rabat
06. πŸ‡ΏπŸ‡¦ Mamelodi Sundowns
07. πŸ‡ͺπŸ‡¬ Future FC
08. πŸ‡ΈπŸ‡© Al Hilal
09. πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Young Africans
10. πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Simba SC
 
Hongereni sana Wanamsimbazi wote kwa kufanikiwa kupanda tena kwenye viwango vya soka Barani Afrika.

Naona bado mnaendelea tu kuishikilia ile nafasi yenu ya pili kwa ubora kwa zile timu za Wabantu, baada ya Mamelody Sundowns.
 
Back
Top Bottom