Hongera Simba SC kupanda viwango vya ubora CAF

Hongera Simba SC kupanda viwango vya ubora CAF

Kwa mujibu wa mtandao wa IFFHS, ambayo imetoa orodha ya vilabu bora kwa bara la Afrika imeonyesha simba ikishikilia nafasi ya 10 huku kinara akiendelea kuwa Al ahly ya nchini Egypt.

Hongera kwa kilabu cha Simba na benchi zima la ufundi.

Ila mkuu una makusudi wewe! Yaani unampongeza Simba ambaye kwa mujibu wa hao hao IFFHS miezi michache nyuma alikuwa nafasi ya 9 na sasa ameshuka nafasi 1 na unamwachia kumpongeza Yanga ambaye alikuwa nafasi ya 75 Africa! Sijaelewa makusudio yako!
 
Mmbea huyo tushapokea taarifa sisi wana Thiiiiiiiiiiiimbaaaa
 
Kwa mujibu wa mtandao wa IFFHS, ambayo imetoa orodha ya vilabu bora kwa bara la Afrika imeonyesha simba ikishikilia nafasi ya 10 huku kinara akiendelea kuwa Al ahly ya nchini Egypt.

Hongera kwa kilabu cha Simba na benchi zima la ufundi.

Daahh Simba watakoma mwaka huu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Utafuti wao una Dosari nyingi.

Mamelodi HASTAHILI KUWA hapo.

WHYDAD HASTAHILI KUWA hapo.

Pyramid HASTAHILI KUWA hapo.

Yanga HASTAHILI KUWA hapo.

Point za CAF zinajumuisha Miaka mitano ya nyuma Hadi Leo.

Hawa IFFSH wanakurupuka sana.
Kwahiyo hata kama team itashuka daraja msimu huu lkn ilifanya vizuri misimu mitano iliyopita itaendelea kuwa juu tuu...
tapatalk_-1513554253_720x667.jpg
 
Makolo mnahaha sana kutaka kutuonyosha mpo juu ya Yanga

Wakati wanatoa orodha iliyopo kwenye uzi huu hapa chini, walikurupuka?

Kweli dunia duara,
 
Back
Top Bottom