Hongera Simba SC kupanda viwango vya ubora CAF

Ila mkuu una makusudi wewe! Yaani unampongeza Simba ambaye kwa mujibu wa hao hao IFFHS miezi michache nyuma alikuwa nafasi ya 9 na sasa ameshuka nafasi 1 na unamwachia kumpongeza Yanga ambaye alikuwa nafasi ya 75 Africa! Sijaelewa makusudio yako!
 
Mmbea huyo tushapokea taarifa sisi wana Thiiiiiiiiiiiimbaaaa
 
Daahh Simba watakoma mwaka huu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Utafuti wao una Dosari nyingi.

Mamelodi HASTAHILI KUWA hapo.

WHYDAD HASTAHILI KUWA hapo.

Pyramid HASTAHILI KUWA hapo.

Yanga HASTAHILI KUWA hapo.

Point za CAF zinajumuisha Miaka mitano ya nyuma Hadi Leo.

Hawa IFFSH wanakurupuka sana.
Kwahiyo hata kama team itashuka daraja msimu huu lkn ilifanya vizuri misimu mitano iliyopita itaendelea kuwa juu tuu...
 
Kweli dunia duara,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…