Mtumpole JF-Expert Member Joined Aug 30, 2010 Posts 2,278 Reaction score 1,288 May 15, 2023 #41 kidonto said: Amepongezwa Simba, cha ajabu Mshabiki wa Simba unaumia. Click to expand... ππππ
kidonto said: Amepongezwa Simba, cha ajabu Mshabiki wa Simba unaumia. Click to expand... ππππ
Kalaga Baho Nongwa JF-Expert Member Joined Sep 27, 2020 Posts 9,953 Reaction score 23,150 May 15, 2023 #42 Happycuit said: Yanga sc imefanikiwa kuishusha simba katika rank za kimataifa. View attachment 2622428 Click to expand... Kwisha habari yaoooo
Happycuit said: Yanga sc imefanikiwa kuishusha simba katika rank za kimataifa. View attachment 2622428 Click to expand... Kwisha habari yaoooo
mmash JF-Expert Member Joined Nov 30, 2013 Posts 832 Reaction score 1,237 May 15, 2023 #43 The best 007 said: Nakuambiaje subiri tarehe 17 ndiyo Simba watamjua ng'ombe mwenye matege.... Click to expand... πππππ
The best 007 said: Nakuambiaje subiri tarehe 17 ndiyo Simba watamjua ng'ombe mwenye matege.... Click to expand... πππππ
John Gregory JF-Expert Member Joined Jul 14, 2019 Posts 1,137 Reaction score 2,147 May 16, 2023 Thread starter #44 Shirikisho la kimataifa la historia na takwimu za mpira Duniani (IFFHS) limetangaza vilabu (20) bora Africa (CAF) kuanzia May 2022 hadi April 2023. Vigezo vilivyotumika ni 1.Matokeo katika idadi ya mechi zilizochezwa 2.Ubora katika ligi ya nyumbani. Takwimu hizo ni kama ifuatavyo. 01. πͺπ¬ Al Ahly Cairo 02. π²π¦ Wydad Casablanca 03. πͺπ¬ Zamalek 04. πͺπ¬ Pyramids 05. π²π¦ FAR Rabat 06. πΏπ¦ Mamelodi Sundowns 07. πͺπ¬ Future FC 08. πΈπ© Al Hilal 09. πΉπΏ Young Africans 10. πΉπΏ Simba SC
Shirikisho la kimataifa la historia na takwimu za mpira Duniani (IFFHS) limetangaza vilabu (20) bora Africa (CAF) kuanzia May 2022 hadi April 2023. Vigezo vilivyotumika ni 1.Matokeo katika idadi ya mechi zilizochezwa 2.Ubora katika ligi ya nyumbani. Takwimu hizo ni kama ifuatavyo. 01. πͺπ¬ Al Ahly Cairo 02. π²π¦ Wydad Casablanca 03. πͺπ¬ Zamalek 04. πͺπ¬ Pyramids 05. π²π¦ FAR Rabat 06. πΏπ¦ Mamelodi Sundowns 07. πͺπ¬ Future FC 08. πΈπ© Al Hilal 09. πΉπΏ Young Africans 10. πΉπΏ Simba SC
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 May 16, 2023 #45 Hongereni sana Wanamsimbazi wote kwa kufanikiwa kupanda tena kwenye viwango vya soka Barani Afrika. Naona bado mnaendelea tu kuishikilia ile nafasi yenu ya pili kwa ubora kwa zile timu za Wabantu, baada ya Mamelody Sundowns.
Hongereni sana Wanamsimbazi wote kwa kufanikiwa kupanda tena kwenye viwango vya soka Barani Afrika. Naona bado mnaendelea tu kuishikilia ile nafasi yenu ya pili kwa ubora kwa zile timu za Wabantu, baada ya Mamelody Sundowns.