Hongera Spika Dkt. Tulia Ackson. Kuna haja MaSpika wetu iwe lazima kuwa Wanasheria?

Kwa kweli Tulia ni msomi wa hali ya juu mno. Siasa zake ni za kimkakati sana za kumkimbiza mwizi kimyakimya. Angesema aende na siasa za kuropoka majukwaani kama Sugu basi 2025 angegaragazwa vibaya. Ila hadi muda huu tayari kashashinda 2025 Mbeya mjini kwa jinsi anavyowagusa wapiga kura moja kwa moja.
 
Spika ni mwasheria kwa kiwango cha shahada ya uzamivu, it was too low kwake kujadili hoja dhaifu kama hizo.
Tuwe na shukrani kwa madogo ili tuweze kupatiwa makubwa!. Kipindi cha Spika Makinda na Spika Ndugai uliwahi ona spika anamkosoa na kumnyoosha mbunge wa CCM?. Huu ni mwanzo mzuri, hatutaki ujinga Bungeni uwe wa CCM au wapinzani ni kunyoroshwa!.
Tunataka tuone mchango wake wakati sheria zinletwa bungeni.
Huu ndio Umuhimu mkubwa wa Spika msomi wa sheria!. Hili nimeliandikia sana!. Madudu haya ya ajabu ya kisheria yaliweza kufanyika vipi wakati tuna Wanasheria?
P
 
Paskali nimekusoma lakini sijaona uhusiano uliopo kati ya "catchment area" na wapi bwawa la umeme la JNHPP lilipo alivyovizungumzia Dr. Tulia, na usomi wa sheria.

Kwani kuvijua hivyo vitu viwili na kuvitofautisha lazima fulani awe amesomea sheria? usitake kufanya kozi nyingine zionekane za vilaza isipokuwa sheria pekee.

Ukweli ni kwamba, siasa zetu hazihitaji wasomi, kwani hao jamaa huwa "controlled" na bosi wao aliyewapa madaraka, hivyo mara nyingi husema yale tu wanayojua yatamfurahisha bosi wao bila kujali usomi wao.

Bahati nzuri nawe unajua hili, ndio maana umeandika wakati Tulia akiwa Naibu Spika alikuwa bubu, hivyo hatuhitaji bubu mwenye sheria kichwani kuongoza bunge letu, hata wasio wanasheria nao wanaweza kuliongoza lile bunge kwani mwisho wa siku wote hugeuka mabubu.
 
nampenda Tulia kama speaker ila tatizo la waafrika ni kukariri kisa mtu wa jamii fulan alikuwa bora basi wote kutoka jamii hiyo watakuwa bora , tujifunze kuweka mifumo imara ya kupata wawakilishi wa jamii ( wabunge ) lasivyo maspeaker watazid kuwa vilaza tu
 
Kwa mujibu wa Google map bwawa hilo lipo mikononi Morogoro

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni kizazi mbatata sana sio kila hoja lazima uoneshe ujuaji wako hapa

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pasco, huwa una mawazo mazuri most of the times, lakini taaluma yako inakufanya uwe na winding stories.
Nakuunga mkono hata hivyo.
Jana suala la Mwigulu kumuingiza Rais kama mlipaji mkuu katika malipo ya serikali, Dr Tulia amelicrush kisomi sana, hadi "Dr" Mwigulu akabaki mdomo wazi.
 

Hata sielewi unasifia nini boss, bunge hilo hilo kibogoyo ambalo huyo spika Tulia amelitumia kupandikiza sheria mbaya? Au unamsifia hapa kwakuwa ni verified user akupe connections nini?!
 

Sawa chawa wandorctor Tulia. Umekuja kumsifia hapa. Kwangu Mimi she is the worst speaker, sababu ninayo.
 
Hivi kumsifia mtu bila kuitwa chawa?. Huyu ni Mwalimu wangu wa 1st Year, nikamtabiria atakuwa spika, amekuwa Spika!. Kuna ubaya kumsifu?.
Hivyo ilipotokea wewe ni Mwanafunzi umekutana na Mwalimu wako mambo yanakuwa hivi Kuna ubaya?.
P
Sifa ya kujadili bwawa lilipo kweli si unamkosea heshima mwalimu wako, hizi billioni zinazoliwa ndio sheria yake ilitakiwa kutumika, wabunge wanawake wa UVICO hapa ndio heshima ya huyu mama iliingia shaka, kwamba wanasheria wa nchi hii hawatendi haki pale maslahi yao na chama chao yanapoguswa. Mwanasheria anyestahili sifa ni yule anayetenda haki sawa kwa watu wote sio kuwa mwalimu wako tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…