Hongera TCRA, Serikali kwa kuzuia uozo wa Polepole siku ya leo

Kama mpaka muda huu hujui kwamba kuzuia kwao hakujasaidia lolote, ni dhahiri wewe ni mbumbumbu.
Subiri tu utiki bila hata kujua unatiki nini.

Hakika mtaji wa ccm ni wajinga kama wewe.
 
Wanafunga mitandao kwa ajili ya press ya mtu mmoja,na press yenyewe imesikilizwa,imetumika matope na siyo akili
 
Naamini umehitimu darasa la Saba,

Moja ya Changamoto ya Mfumo wetu wa Elimu kushindwa kumaliza tatizo la wajinga na pengine inaonyesha imeongeza wajinga wengi zaidi.

Unajua uhuru wa kutoa maoni upo kwenye katiba ambayo Rais aliapa kuilinda.

Ni serikali ya mafisadi pekee ndo inaweza kumuonea huruma mafisadi yanayoibia wananchi.

MTU aliyeamua kuwa Kama Toilet paper bila malipo yoyote na MTU aliyeamua kutumiwa Kama toilet paper ni nani mwenye nafuu ???
 
Ni upuuzi kuzuia kazi za watu zisiende kisa mpuuzi mmoja
 
Mbona una hasira sana, mfaidikaji na mfumo wa kifisadi unateseka. Walifungaje? Maana mimi nimeduatilia mwanzo mwisho live
 

Dunia sio kijiji tena ni kachumba kadogo kenye Dude kubwa linaloitwa Dunia. Kaa kimya kama tu mkuu itakusaidia kuficha mengi ya kukufedhehesha!
 
Ni upuuzi kuzuia kazi za watu zisiende kisa mpuuzi mmoja
Hawa watu ni wahaini kama Lissu,kutaka kupumbaza akili za watu kwa kuwapa ujinga wauamini ni sawa na wachawi ambao adhabu Yao ni kuchomwa moto
 
NA bazo zinqpostiwa huko kila ninapofungua sasa sijui wamefungia kitu gani unaongelea
Kwan zimeanza Leo kupostiwa,watu wanaangalia fursa za maendeleo zilizopo na kuzitumia
 
Hii report ya CAG inawalenga wanaomkosoa mama Abduli tu? Mbona keki ya taifa inaliwa left right and centre!
Endelea kufuata watu pm ukiwatongoza na kuwatumia picha za utupu au kuzirushe humu
 
Watu nao wanamlaumu Magufuri alikomtoa huyu Mama kweli dunia inajizungusha kwenye muhimili wake
 
Jinga wewe
 
TCRA inajulikana kuwa ipo mikononi mwa GENGE la Samia; mtazame huyo Mkurugenzi wake kama hujui!

Sasa unapo kuja hapa na kujidanganya kuwa waTanzania ni wajinga kutojuwa hiyo "mirija" mingi ya rais ni kitu gani hicho; uelewa kwamba waTanzania wanajuwa. Hao unaowazungumzia ndio GENGE lenyewe linaloyumbisha chama chenu, na nchi yetu sasa hivi.
Hilo GENGE lenu litadhibitiwa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…