Hongera timu Wazalendo kwa ushindi wa awali. Tukutane Mahakama ya Rufaa🙏🙏

Serekali zinazoingia madarakani kwa kupora chaguzi huwa haziogopi mahakama za ndani ya nchi. Kwenda mahakamani ni njia sahihi isiyo na matokeo sahihi.
Basi jitokeze kuungana na viongozi kupiga KURA YA WAZI mabarabarani na Viwanjani Hadi pale Kweli na HAKI vitakaposimama na kuishinda RUSHWA na udhalimu.
 
Hakika tumeshinda✊
Kama hao wawekezaji japo wana haya wangeghairi tu maana umma utakapoamua kuwatosa hao vibaraka wao watapata hasara kwani wananchi watarejesha kilicho chao.
Kiongozi ambaye hatukumpigia kura, anaiweka Nchi rehani,

Hatutakubali!!!
 
Baada ya kusoma HUKUMU ya Leo, nimegundua kuwa team ya Wazalendo imeshinda ushindi wa Awali ingawa referee ameonekana kuonyesha kuwa Hana uwezo wa Kutoa ushindi.

Hoja zifuatazo ndizo zimenipa kuona ushindi wa team wazalendo:

1. Judge Ndumbari, Amekiri kuwepo dosari katika ushirikishwaji wa wananchi.

2. Judge Ndumbari , Amekiri IGA imevunja SHERIA za ulinzi wa raslimali za Nchi Kwa kupeleka migogoro nje ya nchi.

3. Judge Ndumbari, ANASHANGAA😳😳 na kusema IGA itaongozwa na SHERIA za Nchi, na mikataba ya miradi itaongozwa na SHERIA za ndani lakini migogoro itatatuliwa nje ya nchi.

Ndugu Mwananchi mwenzangu, kama Judge ANASHANGAA 😳😳 tunatakiwa kustuka, maana wasiwasi ndiyo AKILI.

Judge ameonyesha mapungufu hayo makubwa ya msingi na Bado amesita Kutoa HUKUMU Kwa team wazalendo, hii inaonyesha wazi kuwa ameona BUSARA mahakama ya juu zaidi itoe HUKUMU ya HAKI.

Kwangu Mimi na wazalendo wenzangu, ni wazi kuwa tumeshinda ila Bado kutangazwa washindi.

Tusubiri ushindi wetu kutangazwa mahakama ya rufaa kuwa mkataba Ule ni BATILI na FAKE!!

Wakati tukiendelea kusubiri HUKUMU, tuendelee kupiga KURA YA WAZI mabarabarani na Viwanjani, Ili ikihitajika kuthibitisha ushindi wa nguvu ya Umma iwe Rahisi.

Mwanakondoo ameshinda, tumfuate.

Aamen.
Mkataba una makosa lakini yanahitaji marekebisho.......Jaji Siyjayaon Mbeya.
 
binafsi naona maamuzi ya mwabukusi na team yake kuishitaki sirikali ni Jambo jema , na hata Kama huko rufaa hawatapewa haki wanayoitaka Basi angalau itakuwa imesaidia kuwa alert govt ya kuwa watanganyika bado wapo na wameamuka usingizini na wako macho kulinda Mali za Tanganyika yao.
 
Na Kwakuwa Bunge liliridhia mkataba Ukiwa na UBATILI,

Bunge linakosa uhalali wa kujisahihisha maana lilikosea.

Kurekebisha makosa hayo ni kuongeza VIRAKA kwenye Katiba iliyopo.

iitishwe kura ya MAONI Nchi nzima,

Tupige kura ya WAZI mabarabarani na Viwanjani kama tilivyofanya katika ukusanyaji wa maoni ya Katiba mpya chini ya Warioba.

Tuamue ikiwa tunakubali bandari zetu kuuzwa au la!!!

Kamwe tusiruhusu Katiba yetu kuchezewa bila ridhaa yetu.

Amen
 
Na wakizuia HAKI mahakamani,

Tutapiga kura katika mahakama ya wananchi Viwanjani na mabarabarani,

Namba hazidanganyi, kura ya WAZI ya wananchi itaamua.
 
Na Kwakuwa Bunge liliridhia mkataba Ukiwa na UBATILI,

Bunge linakosa uhalali wa kujisahihisha maana lilikosea.

Kurekebisha makosa hayo ni kuongeza VIRAKA kwenye Katiba iliyopo.

iitishwe kura ya MAONI Nchi nzima,

Tupige kura ya WAZI mabarabarani na Viwanjani kama tilivyofanya katika ukusanyaji wa maoni ya Katiba mpya chini ya Warioba.

Tuamue ikiwa tunakubali bandari zetu kuuzwa au la!!!

Kamwe tusiruhusu Katiba yetu kuchezewa bila ridhaa yetu.

Amen
Sahihi
 
WAPO BINADAMU WENYE HAIBA YA KUTUMIA NGUVU ZAO BURE,KUPOTEZA MUDA BURE,KUJICHOSHA TU ALMRADI MAHANGAIKO!,KALIMENI VIAZI MSTAWISHE FAMILIA ZENU,MSIKATE RUFAA NI KUJICHOSHA BURE,HARAKATI ZA PIMBI.
Ningelikuwa mpanga kesi,wakikata tu rufaa,kesi ningezipanga mahakama mbali mbali kwa tarehe za karibu karibu, sumbawanga,arusha, tabora,ngara ikisikilizwa ngara inamalizikia mtwara.😁😁😁
akili za kijinga kama hiz bandar itaacha kuuzwa milele.
 
Baada ya kusoma HUKUMU ya Leo, nimegundua kuwa team ya Wazalendo imeshinda ushindi wa Awali ingawa referee ameonekana kuonyesha kuwa Hana uwezo wa Kutoa ushindi.

Hoja zifuatazo ndizo zimenipa kuona ushindi wa team wazalendo:

1. Judge Ndumbari, Amekiri kuwepo dosari katika ushirikishwaji wa wananchi.

2. Judge Ndumbari , Amekiri IGA imevunja SHERIA za ulinzi wa raslimali za Nchi Kwa kupeleka migogoro nje ya nchi.

3. Judge Ndumbari, ANASHANGAA😳😳 na kusema IGA itaongozwa na SHERIA za Nchi, na mikataba ya miradi itaongozwa na SHERIA za ndani lakini migogoro itatatuliwa nje ya nchi.

Ndugu Mwananchi mwenzangu, kama Judge ANASHANGAA 😳😳 tunatakiwa kustuka, maana wasiwasi ndiyo AKILI.

Judge ameonyesha mapungufu hayo makubwa ya msingi na Bado amesita Kutoa HUKUMU Kwa team wazalendo, hii inaonyesha wazi kuwa ameona BUSARA mahakama ya juu zaidi itoe HUKUMU ya HAKI.

Kwangu Mimi na wazalendo wenzangu, ni wazi kuwa tumeshinda ila Bado kutangazwa washindi.

Tusubiri ushindi wetu kutangazwa mahakama ya rufaa kuwa mkataba Ule ni BATILI na FAKE!!

Wakati tukiendelea kusubiri HUKUMU, tuendelee kupiga KURA YA WAZI mabarabarani na Viwanjani, Ili ikihitajika kuthibitisha ushindi wa nguvu ya Umma iwe Rahisi.

Mwanakondoo ameshinda, tumfuate.

Aamen.
🚶
 
WAPO BINADAMU WENYE HAIBA YA KUTUMIA NGUVU ZAO BURE,KUPOTEZA MUDA BURE,KUJICHOSHA TU ALMRADI MAHANGAIKO!,KALIMENI VIAZI MSTAWISHE FAMILIA ZENU,MSIKATE RUFAA NI KUJICHOSHA BURE,HARAKATI ZA PIMBI.
Ningelikuwa mpanga kesi,wakikata tu rufaa,kesi ningezipanga mahakama mbali mbali kwa tarehe za karibu karibu, sumbawanga,arusha, tabora,ngara ikisikilizwa ngara inamalizikia mtwara.[emoji16][emoji16][emoji16]
ukisikia akili za kiqumamayo,ndo hizi sasa
 
Wazalendo wafungua case kukamatwa kwao kutachelewesha HUKUMU mahakama ya rufaa.

Free our Prophets 🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom