Hongera timu Wazalendo kwa ushindi wa awali. Tukutane Mahakama ya Rufaa🙏🙏

Hongera timu Wazalendo kwa ushindi wa awali. Tukutane Mahakama ya Rufaa🙏🙏

Hatimaye Team WAZALENDO wamekata Rufaa Mahakama ya Rufaa.

Free our Prophets 🙏🙏🙏
 
Hongera "Judge mfawidhi" Kwa ufafanuzi wa kina kuhusiana na ushindi wa team wazalendo!!
 
Baada ya kuachiwa Slaa, Mdude na Mwambukusi,

Matokeo ya case Mahakama ya Rufaa yanatabirika.
 
Leo Bunge limetupilia mbali muswada wa kupendekeza SHERIA za kulinda Mali asili zibadilishwe Ili kuifavour DP World!!

Tuendelee na Mapambano Hadi tutapotangazwa washindi.

Free our Prophet Madeleka🙏🙏
 
Leo Bunge limetupilia mbali muswada wa kupendekeza SHERIA za kulinda Mali asili zibadilishwe Ili kuifavour DP World!!

Tuendelee na Mapambano Hadi tutapotangazwa washindi.

Free our Prophet Madeleka[emoji120][emoji120]
[emoji120][emoji2532][emoji120][emoji2532]
 
Tender mpya ya kuendesha Bandari imetangazw na TPA,

Mchakato wa wazi unaanza UPYA,

Tunaendelea kuhesabu point za ushindi🔥🔥
 
Hongera Charles Odero Kwa ushindi,

Case ya msingi sasa itasikizwa kuhusu Bandari za Zanzibar kujumuishwa kwenye mkataba wa IGA kuhusu DP World,sababu bandari ni issue ya Muungano.

Hongera mahakamani kuu.
 
Karibu tena advocate Mwabukusi,

Mapambano yaendelee, tumrudishe bandari zetu, mkataba fake na BATILI ufutwe.
 
Hongera Nabii Mwabukusi, Rais mpya wa TLS,

Mapambano ndio kwanza yanaanza.

Ubarikiwe 🙏
 
Back
Top Bottom