Hongera timu Wazalendo kwa ushindi wa awali. Tukutane Mahakama ya Rufaa๐Ÿ™๐Ÿ™

Serekali zinazoingia madarakani kwa kupora chaguzi huwa haziogopi mahakama za ndani ya nchi. Kwenda mahakamani ni njia sahihi isiyo na matokeo sahihi.
Basi jitokeze kuungana na viongozi kupiga KURA YA WAZI mabarabarani na Viwanjani Hadi pale Kweli na HAKI vitakaposimama na kuishinda RUSHWA na udhalimu.
 
Hakika tumeshindaโœŠ
Kama hao wawekezaji japo wana haya wangeghairi tu maana umma utakapoamua kuwatosa hao vibaraka wao watapata hasara kwani wananchi watarejesha kilicho chao.
Kiongozi ambaye hatukumpigia kura, anaiweka Nchi rehani,

Hatutakubali!!!
 
Mkataba una makosa lakini yanahitaji marekebisho.......Jaji Siyjayaon Mbeya.
 
binafsi naona maamuzi ya mwabukusi na team yake kuishitaki sirikali ni Jambo jema , na hata Kama huko rufaa hawatapewa haki wanayoitaka Basi angalau itakuwa imesaidia kuwa alert govt ya kuwa watanganyika bado wapo na wameamuka usingizini na wako macho kulinda Mali za Tanganyika yao.
 
Mkataba una makosa lakini yanahitaji marekebisho.......Jaji Siyjayaon Mbeya.
Na Kwakuwa Bunge liliridhia mkataba Ukiwa na UBATILI,

Bunge linakosa uhalali wa kujisahihisha maana lilikosea.

Kurekebisha makosa hayo ni kuongeza VIRAKA kwenye Katiba iliyopo.

iitishwe kura ya MAONI Nchi nzima,

Tupige kura ya WAZI mabarabarani na Viwanjani kama tilivyofanya katika ukusanyaji wa maoni ya Katiba mpya chini ya Warioba.

Tuamue ikiwa tunakubali bandari zetu kuuzwa au la!!!


Kamwe tusiruhusu Katiba yetu kuchezewa bila ridhaa yetu.

Amen
 
Na wakizuia HAKI mahakamani,

Tutapiga kura katika mahakama ya wananchi Viwanjani na mabarabarani,

Namba hazidanganyi, kura ya WAZI ya wananchi itaamua.
 
Sahihi
 
akili za kijinga kama hiz bandar itaacha kuuzwa milele.
 
๐Ÿšถ
 
ukisikia akili za kiqumamayo,ndo hizi sasa
 
Wazalendo wafungua case kukamatwa kwao kutachelewesha HUKUMU mahakama ya rufaa.

Free our Prophets ๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ