Uchaguzi 2020 Hongera Tundu Lissu kwa kumpigia kampeni Magufuli leo

Uchaguzi 2020 Hongera Tundu Lissu kwa kumpigia kampeni Magufuli leo

Wewe
Hii ni matokeo ya kuongea maneno ya kufikirika na kupikwa tu. Madeni ya Tanzania kwa miaka 10 iliyopita ni kama ifuatavyo hapa kwenye image hii; je na wewe unaamini kuwa kuanzia mwaka 2015 madeni ya Tanzania yamepanda sana kufikia hiyo namba hiyo ya uwongo? Ameitoa wapi?

View attachment 1531676
Wewe nawe hujui hata uchumi unajipachikia tu vitu usivyovijui kukopa sana kinasababishwa na ukuaji wa uchumi na ulipaji mzuri wa madeni wa Mheshimiwaa Magufuli yaani kama unaona kukopa ni rahisi nenda hata jumatatu Bank ukakope hata billion moja kukopa tutakopa sana kwa sababu tunalipa sana pia na kwa sababu uchumi wetu unajua deni letu stahimilivu
 
Hapa kumbuka tuna compare miaka 5 ya kwanza ya JK na miaka mitano ya kwanza ya Magu. Hatuongelei matokeo ya mwezi mmoja pekee..

Vipi kuhusu hoja ya GDP per capita?
 
Sijui umeandika nini, ni hoja au matusi. Uchumi unaongelewa kwa namba. Ukisema tuna madeni ya trilioni 40 wakati JK aliacha trilioni 8 weka namba halisi kuonyesha hilo siyo za kupika tu. Data hizo nilizokupa hapo siyo za kwangu ni za BOT na zinakubaliwa kimataifa hata na wakopeshaji, ndiyo maana Tanzania imeendelea kukopeshwa. Matusi hayajibu mjadala
 
Wakulima walidhurumiwa hela ya korosho
Wewe Sky Eclat unajua nyie mnamfananisha Magufuli na wapuuzi, Magufuli halazimishi umaarufu, umaarufu wa Magufuli umejengwa kwenye Mwamba imara hatakagi sifa za kijinga kufikia hapo ni kwa sababu amepambana na Mengi mazito tangu akiwa waziri amepanda ngazi kwa ngazi hatua kwa hatua sasa lopolopo analizimisha umaarufu how comes, kwenye maisha hakuna short cut fuata nyio nyoofu there is no easy way to maturity
 
Hapa kumbuka tuna compare miaka 5 ya kwanza ya JK na miaka mitano ya kwanza ya Magu. Hatuongelei matokeo ya mwezi mmoja pekee..

Vipi kuhusu hoja ya GDP per capita?
Hiyo ni span ya miaka kumi; unaweza kutafuta span ya miaka 20 pia. Iko wazi kabisa, trendi ni ile ile tena angalu mwaka huu imeanza kupungua
 
Sijui umeandika nini, ni hija au matuzi. Uchumi unaongelewa kwa namba. Ukisema tuna madeni ya trilioni 40 wakati JK aliacha trilioni 8 weka namba halisi kuonyesha hilo siyo za kupika tu. Data hizo nilizokupa hapo siyo za kwangu ni za BOT na zinakubaliwa kimataifa hata na wakopeshaji, ndiyo maana Tanzania imeendelea kukopeshwa. Matusi hayajibu mjadala
Wewe nawe unaokoteleza vi point soma vizuri Jk ameacha trillion 8 unamaanisha Julius Kambarage Nyerere hapo sawa
 
Wewe nawe liongoliongo tu unaokoteleza vi point soma vizuri Jk ameacha trillion 8 unamaanisha Julius Kambarage Nyerere hapo sawa
Basi umeshinda baba; nakupa kombe. Pumba na mimi hatuendi pamoja. Graph niliyokuonyesha inaonyesha kabisa kuwa trend ilikuwa ile ile kwa muda ila mwaka huu ndipo imeanza kupungua. Wewe umekalia trilioni nane bila hata kuangalia trend ya madeni yetu na zilitumika wapi.

Kombe ni lako.

Ukiweza soma ripoti ya CIA hapa kuhusu uchumi wa Tanzania.

Africa :: Tanzania — The World Factbook - Central Intelligence Agency
 
Tuwe wakweli wanaCCM wenzangu.. TAL ndio tishio na ndio maana humu tumemkomalia.. Tuwe wakweli tuu.. Tusipende kujitekenya wenyewe.. Tuwe wakweli kama wanaume wa chama dume kweli
Hakuna wanaccm wanafiki mayai mayai kama Wewe CCM inaenda kusheherekea ushindi wa kuleta maendeleo kwa miaka 5 tutafanya sherehe za kutikisa nchi nzima Tanzania itasimama simu 60
 
Tumeona kwa macho huruma ya Magufuli ameandikwa na vitabu mbalimbali vya Dunia na ameingizwa kwenye jarida la watu wenye upeo mkubwa zaidi wa akili Dunia unaambiwa akili na IQ ya Magufuli iko level moja na akina Albeit Einstein baba wa Quantum Physics and relativity.

TAL Magufuli anakuzidi akili Mara nyingi

Huu utopolo nilioupaste hapa umefanya nikuone wewe sio mtu wa kawaida unatakiwa uwahishwe hospital ya magonjwa ya akili. Ukiachwa uraiani utajidhuru au kudhuru wengine.
 
Hiyo ni span ya miaka kumi; unaweza kutafuta span ya miaka 20 pia. Iko wazi kabisa, trendi ni ile ile tena angalu mwaka huu imeanza kupungua
GDP.jpg

Unaongelea trend ipi wewe? Unajua JK alilipa kwanza na kuomba misamaha ndo akakopa?
 
tumeona kwa macho huruma ya Magufuli ameandikwa na vitabu mbalimbali vya Dunia na ameingizwa kwenye jarida la watu wenye upeo mkubwa zaidi wa akili Dunia unaambiwa akili na IQ ya Magufuli iko level moja na akina Albeit Einstein baba wa Quantum Physics and relativity.

TAL Magufuli anakuzidi akili Mara nyingi

Huu utopolo nilioupaste hapa umefanya nikuone wewe sio mtu wa kawaida unatakiwa uwahishwe hospital ya magonjwa ya akili. Ukiachwa uraiani utajidhuru au kudhuru wengine.

IQ kubwa ndo inapata Div 3 form four? Makubwa
 
Tumeona kwa macho huruma ya Magufuli ameandikwa na vitabu mbalimbali vya Dunia na ameingizwa kwenye jarida la watu wenye upeo mkubwa zaidi wa akili Dunia unaambiwa akili na IQ ya Magufuli iko level moja na akina Albeit Einstein baba wa Quantum Physics and relativity.

TAL Magufuli anakuzidi akili Mara nyingi

Huu utopolo nilioupaste hapa umefanya nikuone wewe sio mtu wa kawaida unatakiwa uwahishwe hospital ya magonjwa ya akili. Ukiachwa uraiani utajidhuru au kudhuru wengine.
Ukweli ndio huo Mgombea wenu achague mawili atukane ili atende jinai au aongee hoja ampigie Kampeni Magufuli kazi mnayo kwa mfano Leo kwa kiasi kikubwa kampigia Kampeni Magufuli.
 
Lissu ana hoja nzito ni vizuri tujipange. Deni la Tril 40 ni kubwa sana. Bora JK aliondoka amekopa Tril 8 tuu. Ila linalipika kwa kutoana damu ofcoz.

Mkapa alipandisha GDP per capita kutoka dola 150 mpaka 500. JK yeye akaipandisha mpaka 1000. Huyu yeye kwa miaka mitano kapandisha mpaka dola 1080.. Pamoja ni mikopo yote aliyokopa..

Kama chama tujipange kusema kweli. Huu sio wakati wa kusifia pekee.

Kwa miaka 5 tu JPM ameliingiza Taifa kwenye deni kubwa sana kuliko Marais watangulizi wake 3 kwa pamoja waliokaa madarakani kwa miaka 10 kila mmoja. Cha kushangaza per capita income iliyoongezeka ni ndogo mno! Ni $100 tu!!!. Huyu JPM akipewa miaka mingine 5 nchi itakuwa HAIKOPESHEKI tena, demokrasia itakuwa imekufa kabisa, na diplomasia za kimataifa kuzikwa. Afya ya uhusiano wa kikanda Afrika Mashariki itakuwa mahututi. Tutabakiwa na Burundi.
 
View attachment 1531678
Unaongelea trend ipi wewe? Unajua JK alilipa kwanza na kuomba misamaha ndo akakopa?
Ripoti ya CIA kuhusu uchumi wa Tanzani haisemi hivyo; hizo namna ulizoleta ndizo zile questionable, kwani hata hazionyeshi source yake. Nilizokuwa nimeweka pale zimetoka BOT; na kama huamini BOT, basi chukua namba za CIA hapa.

Africa :: Tanzania — The World Factbook - Central Intelligence Agency

Hata hivyo ukiangalia grapha hiyo kuanzaia mwaka 2010 hadi 2020, trend ni ile ile, wakati ambapo miradi ya imfrastructure imeongezeka sana miaka hii ya mwishoni mwa muongo kuliko mwanazoni mwa muongo.
 
Ukweli ndio huo Mgombea wenu achague mawili atukane ili atende jinai au aongee hoja ampigie Kampeni Magufuli kazi mnayo kwa mfano Leo kwa kiasi kikubwa kampigia Kampeni Magufuli
Tunachojua mgombea wetu alipigwa risasi 16 mwilini akapona kwa uwezo wa Mungu aliyemponya atamshindia.
 
IQ kubwa ndo inapata Div 3 form four? Makubwa
Hata Albert Einstein darasani hakufaulu vizuri, Bill gate hakumaliza chuo, Mendel baba wa genetics alifeli Mara 6, Newton alisoma wapi, Galilei Galileo naye alisoma wapi kwa hiyo watu wenye IQ kubwa huwa na Matokeo ya wastani maani huwa hawavumilii kukaririshwa akili zao ziko hyper kutengeneza mambo makubwa kwa ajili ya Maprofesa
 
Mie nimeleta ya Bank kuu wewe unanilietea ya mabeberu hao wanapotosha.. haha
Basi hukuwa imesioma vizuzri, nimeongezea kwenye hiyo post uliyokwoti kuwa katika miaka kumi iliyopita (2010 -2020) trend ni ile ile. Hiyo niliyokuwa nimeleta mara ya kwanza ni ya BOT. Sehemu kubwa ya deni lililopunguka wakati wa Kikwete ni lile la kusamehewa, siyo la kulipwa; halafu mengine yalikuwa ni global, yaani siyo kuwa ni Tanzania tu iliyosamehewa bali mataifa yote ya dunia ya tatu yalikuwa yanasemehewa kwa pamoja.
 
Back
Top Bottom