eliesikia
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 787
- 758
Hata Albert Einstein darasani hakufaulu vizuri, Bill gate hakumaliza chuo, Mendel baba wa genetics alifeli Mara 6, Newton alisoma wapi, Galilei Galileo naye alisoma wapi kwa hiyo watu wenye IQ kubwa huwa na Matokeo ya wastani maani huwa hawavumilii kukaririshwa akili zao ziko hyper kutengeneza mambo makubwa kwa ajili ya Maprofesa
Wee jamaa mbona unaongea pumba wewe.. Yaani unaongelea nini? Nani kakwambia Bill Gates alishawahi kufeli? Bill Gates alipiga zote SAT exam. Nani alikwambia Einstein alifeli shule? Unajua Einstein alipata PhD akiwa ameandika Thesis 1905 ya Ground breaking research akiwa kijana wa miaka 26?