Uchaguzi 2020 Hongera Tundu Lissu kwa kumpigia kampeni Magufuli leo

Nimesikia sifa mojawapo ya Magufuli amejenga mbuga za wanyama Chato😂😂 Yaani kuna ' mgombea Unyerere hajui Buligwe lilikuwa pori la akiba mkoani Geita, na si la chato pekee. Mgombea Unyerere hajui ukishakuwa na hifadhi ya wanyama pori kwa ajili ya utalii lazima kuwe na miundo mbinu ya kufikisha watalii huko!!! Mgombea Unyerere hajui hata pori la akiba Serous limegeuzwa kuwa eneo la utalii la Nyerere.
 
Hakuna mgombea Urais hapo, Bali Kuna mouth piece ya mabeberu, Ila bahati Mbaya Sana kwake ni kuwa kila anachokisema ni Kama kukumbushia watanzania Mambo mazuri aliyoyafanya Magufuli.
 
Mabeberu ni manyonyaji, ila wakija kwa win win situation ni wawekezaji sasa huyo mtu waliyemtuma mwambieni Tanzania si penyewe tutamuonyesha yeye na mabwana zake kuwa tuko strong enough wamemtuma atangaze vibaya taswira ya nchi yetu atafute nchi nyingine si Tanzania
Bila hao mabeberu hata hizo ndege mbovu msingepata.Jpm kashindwa vibaya sana kufanya kazi kama rais kwa miaka mitano, kafanya Nazi kama mwenyekiti wa ccm.
 
Hakuna mgombea Urais hapo, Bali Kuna mouth piece ya mabeberu, Ila bahati Mbaya Sana kwake ni kuwa kila anachokisema ni Kama kukumbushia watanzania Mambo mazuri aliyoyafanya Magufuli.
Jambo alilofanya Jpm kubwa ni kuwagawa watanzania kwa hali zao has a uvyama
 
Ushindi wa Magufuli ni zaidi ya 90%
Labda kama anapigiwa kura na familia yake. Na vyombo vya dola vinavyo jipendekeza kwa Ccm. Hawajui mabadiliko huletwa na watu na sio upendeleo.. Hadi ina wafikirisha watu kwamba walihusika na shambulio la Lissu maana hata vyombo vya habari vina zuiwa kuonyesha matukio ya Chadema wakati ni chama kinacho fanya shughuli zake kwa mujibu wa katiba..
 
Mimi nafuatilia kwa umakini sana hoja za wapinzani wetu ADC,NCCR MAGEUZI, CHADEMA, SAU, ACT WAZALENDO, CUF, kwa Leo nimemfuatilia kwa umakini sana Tundu lisu labda pengine angekuwa na jipya la kuifanyia nchi yetu lakini nimegundua kuwa ametembelea kwenye mafanikio makubwa ya Magufuli. Ahsante sana TAL, keep it up!

MOSI
TAL ametambua uwepo wa miradi mikubwa iliyofanywa na Serikali kama ununuzi wa ndege, ujenzi wa bwawa kubwa la umeme, na ujenzi wa miundombinu mikubwa kama reli hongera sana TAL kwa kumuongezea credit Magufuli.

Pamoja na kuyaongelea katika mitazamo hasi lakini tunashukuru kwa kutambua kuwa miradi hiyo IPO na imejengwa kwenye Kampeni sisi tutajikita kwenye hoja za kuelezea zaidi umuhimu wa miradi hii tutatumia nyimbo na ngonjera kufikisha ujumbe kwa Watanzania.

Tunaenda kusheherekea mafanikio haya makubwa ya serikali ya awamu ya Tano tunaenda kufanya sherehe ya miezi miwili tutaimba tutacheza na mnamo tarehe 28/10/2020 tutamtuza Magufuli tuzo ya umahiri wa mafanikio aliyoyafanya kwa miaka 5 kwa kumpa ushindi wa zaidi ya 90%

TAL ameongeleo kero za wakulima na wafanyakazi, nampongeza sana mgombea urais wa Chadema kwa kutambua matatizo haya lakini yaweza kuwa labda alikuwa Ubeligiji hajajua kuwa kero anazozisemea Magufuli aliziongelea 2015 kuwa na yeye zinamkera na amezishughulikia kweli kweli kisawa sawa amezikemea kisawa sawa amezidhibiti vilivyo amefukuza watu wengi waliowachokonoa wakulima na wafugaji amefuta tozo zaidi ya 84, yaani Magufuli ametenda uliyoyasema tutamtuza kwa ushindi wa zaidi ya 90% tarehe 28/10/2020.

Kitu pekee ambacho sijapenda kutoka kwako ni kupunguza kejeli leo, maana bila kejeli wewe si maarufu tena; bila kashifa wewe si maarufu tena kwa wafuasi wako wasio na busara ambao sisi hao wafuasi wako tunawatafuta sana ukipunguza kashfa hawakusilizi na ukiongeza kashifa wanakupuuza, kazi unayo.

Mheshimiwa Magufuli hajaharibu uhusiano wowote na nchi yoyote Duniani bali anaiheshimisha Tanzania tofautisha Kiburi na msimamo Magufuli ameonyesha msimamo wala si kiburi ameonyesha msimo kuzuia uporwaji wa Tanzanite yetu yaani Tanzanite ya Tanzania iuzwe zaidi kenya na India hafu na wewe ukenue meno ushangilie kuwa tuna uhusiano mzuri wanakuona huna akilli.

Tofautisha Beberu na mwekezaji yaani mwekezaji akiwa mnyonyaji tunamuita beberu na beberu akiwa na win-win situation tunamuita mwekezaji, mbona simple tu mtu au binadamu akiwa hospitali anaitwa mgonjwa akiiba anaitwa mwizi.

Mimi najua hata beberu ni kupe mwenye njaa mnyonya damu balaa huyu huwezi kumshangilia.

Labda mmesahau kuwa nyie hao hao mliojiita wapinzani mlilalamika sana juu ya safari za Rais, mlituupuuza sana juu ya Rasilimali za nchi yetu, mlitupuuza sn juu ya uhaba wa ndege tumefanya zaidi ya matarajio yenu mbona mwataka kuwa nguzo ya chumvi

Kuhusu majanga labda wewe hujui vizuri kwa sababu ulikuwa ubeligiji ni hivi Tanzania tumepambana na janga la Corona ambalo ni janga baya zaidi kuikumba Dunia kwa ufanisi makubwa sana hatukuguswa hata na rungu wala kiboko tumevuka salama kabisa huu ushindi wa Corona kwa kumtanguliza Mungu mbele unaharamisha hoja yako tumeona kwa macho huruma ya Magufuli ameandikwa na vitabu mbalimbali vya Dunia na ameingizwa kwenye jarida la watu wenye upeo mkubwa zaidi wa akili Dunia unaambiwa akili na IQ ya Magufuli iko level moja na akina Albeit Einstein baba wa Quantum Physics and relativity.

TAL Magufuli anakuzidi akili Mara nyingi sana ukipata 5% ya kura utakuwa umepigana sana jiandae kisaikolojia usije ukaumia mara ya pili maumivu ya kisaikolojia ni makali sana na yanatesa kuliko kawaida.
Lazima ccm na Magufuli mjiulize kwanini baada ya kujinadi na miradi mingi watu hawawapendi na nyie hamjiamini hata baada ya kuzuia upinzani wasifanye siasa kwa miaka mitano?
 
Nyundo ya Baruani Muhuza,safi Sana kiongozi
 
Hoja kama hoi hakuna nyumbu wa kuipangua ,sana wataandika mistari miwili ya reply za matusi
 
Wale viongozi wako wanakwambia Tanzania tumepambana na hili gonjwa na akili zako kama mdudu wa chooni unaona kweli tumepambana😁 tumefanya nini haswa au sir God tu kaona hawa wakiipata wataisha
 
Hata mm nilijuwa kuwa TAL angetoa ushindani kwa Magufuli amepwaya sn tatizo ni moja tu anamtukana Magufuli amejaa jazba anatakiwa awe mwanaharakati lakini si Mgombea Urais, ACT wazalendo ndio watatoa Upinzani mkali wamejipanga sana nimeamini kuwa Zito Kabwe ndiye mwanasiasa anayejenga hoja zikaeleweka, namhofia zaidi Membe kuliko huyu lopolopo yaani kama ni Vitani ameshindwaa vibaya madhaifu yake yote yanajulikana hakika ndani ya siku 60 either atukane sana atende jinai au ajichanganye kumpigia Kampeni Magufuli tuliwaonya Kuwa Magufuli ni level zingine mkapuyaaanga sasa tutawapa adhabu Kali ya kuwaadhibu kwenye sanduku la kura nawahakikishieni mkipata 5% ya kura zote team Lisu shangilieni sana inaonesha kwamba mgombea wenu anatakiwaa apimwee akili
Unadanganya mtu mzima Kama huna akili.kamtukana JPM lini??ccm oyee
 
Hapa kumbuka tuna compare miaka 5 ya kwanza ya JK na miaka mitano ya kwanza ya Magu. Hatuongelei matokeo ya mwezi mmoja pekee..

Vipi kuhusu hoja ya GDP per capita?
GDP na mambo mengine ni bla bla bla bla tu
Ukweli ni kwamba Mr. Pombe kaharibu maisha ya Watanzania wote kwa ujumla
Kuanzia wakulima mpaka wafanya biashara
(Wanasisa mpaka viongozi wa dini jela)
Wanafunzi mpaka wafanyakazi wa serikali
Huyu mtu balaa Sana mungu atunusuru na mikosi take
Kwa saaa watanzania wanao kula milo mitatu kwa siku ni wachache Sana
 
A

Kwa hiyo bora awe mchungaji sasa akamtukuze Mungu wake maana mtu kapigwa golori mnasema risasi hamjui hata momentum ya risasi na rate of impacts maana kwa formula ya E =mc2 risasi 1_tu inatoboa mguu kabisa mbili inafumua maana hata movie ya Terminator yale mavyuma yalikuwa yanafumuliwa na risasi chache tu
Kweli alioigwa risasi 16 ili afe lakini mwacheni mungu aitwe mungu hayo ni maajabu kama ya Mussa kwa farao
 
Back
Top Bottom