Uchaguzi 2020 Hongera Tundu Lissu kwa kumpigia kampeni Magufuli leo

Uchaguzi 2020 Hongera Tundu Lissu kwa kumpigia kampeni Magufuli leo

Ukweli ndio huo Mgombea wenu achague mawili atukane ili atende jinai au aongee hoja ampigie Kampeni Magufuli kazi mnayo kwa mfano Leo kwa kiasi kikubwa kampigia Kampeni Magufuli
Jpm anapigiwa kampeni kwa yepi? Hayo ya kujenga uwanja was ndege kwao? Haya ya kuwanyima wafanyakazi nyongeza ya mishahara kwa miaka kumi? Kwa hoja za lissu zikianza kampeni mtageuka hapa.
 
Lisssu kiboko, eti mabeberu wanatunyonya, kauliza kwani hayo madini yanachimbwa na nani? Ccm hoja wamekwama
Mabeberu ni manyonyaji, ila wakija kwa win win situation ni wawekezaji sasa huyo mtu waliyemtuma mwambieni Tanzania si penyewe tutamuonyesha yeye na mabwana zake kuwa tuko strong enough wamemtuma atangaze vibaya taswira ya nchi yetu atafute nchi nyingine si Tanzania
 
Jpm anapigiwa kampeni kwa yepi? Hayo ya kujenga uwanja was ndege kwao? Haya ya kuwanyima wafanyakazi nyongeza ya mishahara kwa miaka kumi? Kwa hoja za lissu zikianza kampeni mtageuka hapa.
Atawasimulia waliomtuma kuja kuvuruga nchi yetu kuwaTanzania si ya kuchezea ni marufuku kuingiliwa na mdudu wa aina yeyote shenzi type sn
 
Lisssu kiboko, eti mabeberu wanatunyonya, kauliza kwani hayo madini yanachimbwa na nani? Ccm hoja wamekwama
Wanaochimba ni wawekezaji wala si mabeberu mabeberu ni Acacia tuliowatimua akawaambie hii Tanzania si ya kuchezea kama Chadema wameamua kuingia Vitani na Tanzania tuko tayari mashambulizi yoyote juu yao wasilalamike hatutanii inabidi Serikali iende mbali ipige ban mpaka account zao watu gani hawa wa kujaza negativity kwa wananchi unawezaje ukabeza yaliyofanyika na Magufuli kwa miaka 5 kisa unatafuta mamlaka ni miezi miwili tu tuvulianeni tu hatuwezi kuwa na watu wahuni wahuni tu wanaopotosha kila kitu chema waongo waongo tu, inatosha enough is enough
 
Jpm anapigiwa kampeni kwa yepi? Hayo ya kujenga uwanja was ndege kwao? Haya ya kuwanyima wafanyakazi nyongeza ya mishahara kwa miaka kumi? Kwa hoja za lissu zikianza kampeni mtageuka hapa.
Kwani kwao hakuna wananchi? Nyie wachaga wabinafsi sana mbona kwenu kuna maendeleo sana watu hawasemi Tanzania ya Magufuli inapendeza
 
Asante kwa kuujua na kuusema ukweli, asante sana.
Tuwe wakweli wanaCCM wenzangu.. TAL ndio tishio na ndio maana humu tumemkomalia.. Tuwe wakweli tuu.. Tusipende kujitekenya wenyewe.. Tuwe wakweli kama wanaume wa chama dume kweli
 
tumeona kwa macho huruma ya Magufuli ameandikwa na vitabu mbalimbali vya Dunia na ameingizwa kwenye jarida la watu wenye upeo mkubwa zaidi wa akili Dunia unaambiwa akili na IQ ya Magufuli iko level moja na akina Albeit Einstein baba wa Quantum Physics and relativity.

TAL Magufuli anakuzidi akili Mara nyingi

Huu utopolo nilioupaste hapa umefanya nikuone wewe sio mtu wa kawaida unatakiwa uwahishwe hospital ya magonjwa ya akili. Ukiachwa uraiani utajidhuru au kudhuru wengine.
Mbona hajui kudhungu? Huyu ni utopolo tu.
 
Nigrastratatract,

Kula LIKE hapa. Kule nimekupa LOVE. You nailed it, hawa nyumbu na mgombea wao unawajua vizuri sana.
 
Leo mzee wa kutoa boko kaongea kama mtu mwenye kutaka urais. Hakujawa na mihemko na jazba.

Ni jambo jema anashaurika anabadilika ingawa kachelewa kiasi chake the damage has been done.
Hawezi kubadilika kwa sababu anger management yake si nzuri
Pole pole akimpiga Tena spana atatoa tu Boko,Mbowe itabidi apunguze sana kunywa faru John kipindi ili tu kumlinda Lissu asitoe pasi fyongo
 
Huyo kummaliza ki propaganda mbona ni simple sana.natamani ningekuwa campaign meneja wa JPM .huwezi kuzunguka dunia nzima unaichafua nchi yako ukawa salama kisiasa.
 
Huyu mgombea ameshachuja sana tatizo lake amekaa sn Ubeligiji amezungukwa na watu ambao hawamwambii ukweli wanampotosha ndiyo maana akina Zito wamegundua kuwa kumtukana JPM ni kuwatukana Watanzania wamejikita kwenye hoja hawashambulii MTU, TAL Lazima ajue kuwa Magufuli amejitoa kwa ajili ya nchi hii Leo asingewalipa wale boda boda angebakia mwenyewe barabarani yaaani ameaibika Dodoma balaa, amekuwa na moto wa Mabua sana yaani kwa kweli amechuja ile mbaya hii ni kwa sababu analazimisha umaarufu inawezekanaje? yaani Leo isingekuwa boda boda haki ya Mungu angebaki pekee yakeee atazomewa huyu MTU Watanzania tunamhitaji sana Magufuli
Mkuu kweli hukuliona like nyomi la Jana kwa mara ya kwanza Dom Jana folen imeanzia kisasa mpaka chako ni chako ccm nadhani Jana hamkutegemea
 
Wafuasi wake wanapenda atukane asipotukana hawapendi akiongea hoja za maana ansmpigia Kampeni Magufuli, kwanza Lisu kwa Chato na watu wanaozunguka pori la Burigi yaani Geita, Kagera hatapata kura ameponda uanzishwaji wa hilo pori bila kujua kuwa hiyo hifadhi ina manufaa makubwa kwa nchi.
Naona siasa za leo zimempita. Ajirekebishe la sivyo hatamaliza safari. Time inaangalia
 
Wafuasi wake wanapenda atukane asipotukana hawapendi akiongea hoja za maana ansmpigia Kampeni Magufuli, kwanza Lisu kwa Chato na watu wanaozunguka pori la Burigi yaani Geita, Kagera hatapata kura ameponda uanzishwaji wa hilo pori bila kujua kuwa hiyo hifadhi ina manufaa makubwa kwa nchi.
Ndiyo akili zenu zilipoishia hapo mkiambiwa ukweli mnasema mnatukanwa , na hii ni kutest mitambo tu
 
Ushauri wa bure -Mtakapoanza kampeni Wapinzani mjikite kushambulia sera na mifumo mnayoona haifai kwa sasa na kuelezea mbadala wake tena kwa lugha rafiki na hoja thabiti na nzito. Hatutaki personal attack- haitawasaidia sana na msirudie yaleyale ya siku zote. Usmwamushe aliye lala utalala na wewe.
 
Mimi nafuatilia kwa umakini sana hoja za wapinzani wetu ADC,NCCR MAGEUZI, CHADEMA, SAU, ACT WAZALENDO, CUF, kwa Leo nimemfuatilia kwa umakini sana Tundu lisu labda pengine angekuwa na jipya la kuifanyia nchi yetu lakini nimegundua kuwa ametembelea kwenye mafanikio makubwa ya Magufuli. Ahsante sana TAL, keep it up!

MOSI
TAL ametambua uwepo wa miradi mikubwa iliyofanywa na Serikali kama ununuzi wa ndege, ujenzi wa bwawa kubwa la umeme, na ujenzi wa miundombinu mikubwa kama reli hongera sana TAL kwa kumuongezea credit Magufuli.

Pamoja na kuyaongelea katika mitazamo hasi lakini tunashukuru kwa kutambua kuwa miradi hiyo IPO na imejengwa kwenye Kampeni sisi tutajikita kwenye hoja za kuelezea zaidi umuhimu wa miradi hii tutatumia nyimbo na ngonjera kufikisha ujumbe kwa Watanzania.

Tunaenda kusheherekea mafanikio haya makubwa ya serikali ya awamu ya Tano tunaenda kufanya sherehe ya miezi miwili tutaimba tutacheza na mnamo tarehe 28/10/2020 tutamtuza Magufuli tuzo ya umahiri wa mafanikio aliyoyafanya kwa miaka 5 kwa kumpa ushindi wa zaidi ya 90%

TAL ameongeleo kero za wakulima na wafanyakazi, nampongeza sana mgombea urais wa Chadema kwa kutambua matatizo haya lakini yaweza kuwa labda alikuwa Ubeligiji hajajua kuwa kero anazozisemea Magufuli aliziongelea 2015 kuwa na yeye zinamkera na amezishughulikia kweli kweli kisawa sawa amezikemea kisawa sawa amezidhibiti vilivyo amefukuza watu wengi waliowachokonoa wakulima na wafugaji amefuta tozo zaidi ya 84, yaani Magufuli ametenda uliyoyasema tutamtuza kwa ushindi wa zaidi ya 90% tarehe 28/10/2020.

Kitu pekee ambacho sijapenda kutoka kwako ni kupunguza kejeli leo, maana bila kejeli wewe si maarufu tena; bila kashifa wewe si maarufu tena kwa wafuasi wako wasio na busara ambao sisi hao wafuasi wako tunawatafuta sana ukipunguza kashfa hawakusilizi na ukiongeza kashifa wanakupuuza, kazi unayo.

Mheshimiwa Magufuli hajaharibu uhusiano wowote na nchi yoyote Duniani bali anaiheshimisha Tanzania tofautisha Kiburi na msimamo Magufuli ameonyesha msimamo wala si kiburi ameonyesha msimo kuzuia uporwaji wa Tanzanite yetu yaani Tanzanite ya Tanzania iuzwe zaidi kenya na India hafu na wewe ukenue meno ushangilie kuwa tuna uhusiano mzuri wanakuona huna akilli.

Tofautisha Beberu na mwekezaji yaani mwekezaji akiwa mnyonyaji tunamuita beberu na beberu akiwa na win-win situation tunamuita mwekezaji, mbona simple tu mtu au binadamu akiwa hospitali anaitwa mgonjwa akiiba anaitwa mwizi.

Mimi najua hata beberu ni kupe mwenye njaa mnyonya damu balaa huyu huwezi kumshangilia.

Labda mmesahau kuwa nyie hao hao mliojiita wapinzani mlilalamika sana juu ya safari za Rais, mlituupuuza sana juu ya Rasilimali za nchi yetu, mlitupuuza sn juu ya uhaba wa ndege tumefanya zaidi ya matarajio yenu mbona mwataka kuwa nguzo ya chumvi

Kuhusu majanga labda wewe hujui vizuri kwa sababu ulikuwa ubeligiji ni hivi Tanzania tumepambana na janga la Corona ambalo ni janga baya zaidi kuikumba Dunia kwa ufanisi makubwa sana hatukuguswa hata na rungu wala kiboko tumevuka salama kabisa huu ushindi wa Corona kwa kumtanguliza Mungu mbele unaharamisha hoja yako tumeona kwa macho huruma ya Magufuli ameandikwa na vitabu mbalimbali vya Dunia na ameingizwa kwenye jarida la watu wenye upeo mkubwa zaidi wa akili Dunia unaambiwa akili na IQ ya Magufuli iko level moja na akina Albeit Einstein baba wa Quantum Physics and relativity.

TAL Magufuli anakuzidi akili Mara nyingi sana ukipata 5% ya kura utakuwa umepigana sana jiandae kisaikolojia usije ukaumia mara ya pili maumivu ya kisaikolojia ni makali sana na yanatesa kuliko kawaida.
Nashangaa hata Kuna wapuuzi Eti wanakupa likes????

Lissu kampigia Magufuli kampeni wapi????!

Kusema kuwa unapendelea nyumbani kwenu kwa kupeleka uwanja wa ndege na mbuga jambo ambalo halikufanywa na maraisi wote waliotangulia ndo kumpigia kampeni magufuli???? Utakuwa sio mzima wewe????

Nani hajui kuwa Magufuli ameharibu mahusiano ya kimataifa???? Nani hajui kuwa Rwanda wamefunga mpaka??? Nani hajui kuna shida mpaka wa Kenya??? Nani hajui balozi wa Umoja wa Ulaya aliondoka??? Nani hajui kuwa viongozi wa SADC walimsema vibaya Magufuli kuwa hawajibiki ipasavyo kama kiongozi wa SADC???? Nani hajui kuwa saivi kwenye dhifa au shughuli za taifa wageni wanaokuja ni kutokea nchi zilizotengwa na Dunia Yaani Burundi na Zimbabwe??? Au hamkuona kwenye msiba wa mkapa alikuja Makamu wa Raisi Zimbabwe na waziri Mkuu Burundi tu????? Hata kwenye kikao cha CCM mwaka huu ANC wa South Africa tu hawakuja.

Sasa Lissu amesema ataboresha mahusiano ya kimataifa kwa kuheshimu marafiki zetu. Hapo ni kumpigia kampeni magufuli??????

Lissu mf jana kaongelea shida za wakulima kuminywa kwenye michango na kupangiwa sehemu za kuuzia mazao na bei. Kwani hilo ni uongo???? Wakulima wa mahindi hawakukatazwa kuuza mazao kwa wafanyabiashara wa nje????? Wakulima wa Tumbaku hawajalazimishwa kuuza mazao kwa bei za kutupwa kwenye vyama vya ushirika???? Hiyo ndo kumpigia kura magufuli?????? Na mwisho alisema akiingia madarakani hayo mambo hayatakuwepo. Hukusikia?????

Lissu kasema Jana Magufuli anavyodhalilisha mama zetu, dada zetu na watoto zetu wa kike. Kwani ni uongo???? Hukusikia Magufuli akisema kwa yule mama upanuliwe wapi??? Hujasikia anavyootoaga mifano eti barakoa kama Titi la mwanamke???? Huko ndo kumpigia kampeni nagufuli????

Mleta mada kajipange upya.CCM mmeshikwa pabaya mwaka huu!!
 
Lissu ana hoja nzito ni vizuri tujipange.. Deni la Tril 40 ni kubwa sana.. Bora JK aliondoka amekopa Tril 8 tuu.. Ila linalipika kwa kutoana damu ofcoz..

Mkapa alipandisha GDP per capita kutoka dola 150 mpaka 500.. JK yeye akaipandisha mpaka 1000.. Huyu yeye kwa miaka mitano kapandisha mpaka dola 1080.. Pamoja ni mikopo yote aliyokopa..

Kama chama tujipange kusema kweli.. Huu sio wakati wa kusifia pekee..

Mmmh mkuu umeyatoa wapi haya? Imebidi nicheke [emoji3] nyie watu jamani si bora utumie muda kidogo kusoma kuliko kuandika kitu ambacho ukijuhi?
 
Back
Top Bottom