abdul_eliesikia
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 787
- 775
Hata Albert Einstein darasani hakufaulu vizuri, Bill gate hakumaliza chuo, Mendel baba wa genetics alifeli Mara 6, Newton alisoma wapi, Galilei Galileo naye alisoma wapi kwa hiyo watu wenye IQ kubwa huwa na Matokeo ya wastani maani huwa hawavumilii kukaririshwa akili zao ziko hyper kutengeneza mambo makubwa kwa ajili ya Maprofesa
Kwa hiyo bora awe mchungaji sasa akamtukuze Mungu wake maana mtu kapigwa golori mnasema risasi hamjui hata momentum ya risasi na rate of impacts maana kwa formula ya E =mc2 risasi 1_tu inatoboa mguu kabisa mbili inafumua maana hata movie ya Terminator yale mavyuma yalikuwa yanafumuliwa na risasi chache tuTunachojua mgombea wetu alipigwa risasi 16 mwilini akapona kwa uwezo wa Mungu aliyemponya atamshindia
Mbona mgumu kuelewa wewe? Nimekwambia JK alilipa kwanza deni na kusaka misamaha ndio akaanza kukopa tena.. Hebu kasome uelewe.. Kumbuka Mkapa alimpa madeni ambayo ni 50% ya GDPBasi hukuwa imesioma vizuzri, nimeongezea kwenye hiyo post uliyokwoti kuwa katika miaka kumi iliyopita (2010 -2020) trend ni ile ile. Hiyo niliyokuwa nimeleta mara ya kwanza ni ya BOT
Sijakuambia alifeli alikuwa average aliyefeli kupresent ideas za pea plants kwenye Genetics ni Mendel mpaka amekufa data zake zimekuja kuibuliwa upya miaka ya 60, kwani Bill gate alimaliza chuo?!Wee jamaa mbona unaongea pumba wewe.. Yaani unaongelea nini? Nani kakwambia Bill Gates alishawahi kufeli? Bill Gates alipiga zote SAT exam. Nani alikwambia Einstein alifeli shule? Unajua Einstein alipata PhD akiwa ameandika Thesis 1905 ya Ground breaking research akiwa kijana wa miaka 26?
Unataka kusema JK alilipa zaidi ya Mkapa? Watu walikuwa wanalia UKAPA kwa sababu hiyo halafu kumbe hujui hilo? Mkapa alijitahidi sana kurudisha nchi kwenye track, na sehemu kubwa ya madeni ambayo tulisamehewa chini ya Kikwete ni kwa sababu ya Mkapa. Kusamehewa kwa madeni hayo ndiko kulikopunguza uzito wa deni la taifa kwa kipindi fulani cha Kikwete.Mbona mgumu kuelewa wewe? Nimekwambia JK alilipa kwanza deni na kusaka misamaha ndio akaanza kukopa tena.. Hebu kasome uelewe
Kasome vizuri Historia ya EinsteinWee jamaa mbona unaongea pumba wewe.. Yaani unaongelea nini? Nani kakwambia Bill Gates alishawahi kufeli? Bill Gates alipiga zote SAT exam. Nani alikwambia Einstein alifeli shule? Unajua Einstein alipata PhD akiwa ameandika Thesis 1905 ya Ground breaking research akiwa kijana wa miaka 26?
Kudrop out sio kufeli wewe? Kuwa na akili timu.. Bill Gates hajawahi kufeli na SAT alipiga zote akapata admission HarvardSijakuambia alifeli alikuwa average aliyefeli kupresent ideas za pea plants kwenye Genetics ni Mendel mpaka amekufa data zake zimekuja kuibuliwa upya miaka ya 60, kwani Bill gate alimaliza chuo?!
Huyu jamaa hajui anakuhangaisha buree mm nimemdharau hoja zake amezikosea Mwanzo wa mjadalaUnataka kusema JK alilipa zaidi ya Mkapa? Watu walikuwa wanalia UKAPA kwa sababu hiyo. Mkapa alijitahidi sana kurudisha nchi kwenye track, na sehemu kubwa ya madeni ambayo tulisamhewa chini ya Kikwete ni kwa sababu ya Mkapa. Kusamehewa kwa medeni hayo ndioko kulikopunguza uzito wa deni la taifa kwa kipindi fulani cha Kikwete.
Lisu ana ekti mkuu hajapigwa risasi haya nenepa Sasa.A
Kwa hiyo bora awe mchungaji sasa akamtukuze Mungu wake maana mtu kapigwa golori mnasema risasi hamjui hata momentum ya risasi na rate of impacts maana kwa formula ya E =mc2 risasi 1_tu inatoboa mguu kabisa mbili inafumua maana hata movie ya Terminator yale mavyuma yalikuwa yanafumuliwa na risasi chache tu
Mkapa alikopa mpaka deni likafika 50%.. JK anajua diplomasia zaidi na ndio kitu cha kwanza kufanya 2005 mpaka 2009..Unataka kusema JK alilipa zaidi ya Mkapa? Watu walikuwa wanalia UKAPA kwa sababu hiyo. Mkapa alijitahidi sana kurudisha nchi kwenye track, na sehemu kubwa ya madeni ambayo tulisamhewa chini ya Kikwete ni kwa sababu ya Mkapa. Kusamehewa kwa medeni hayo ndioko kulikopunguza uzito wa deni la taifa kwa kipindi fulani cha Kikwete.
Harvard alichemsha hakuna cha drop out wala nn alichemsha ukiambiwa drop out jiongezeeKudrop out sio kufeli wewe? Kuwa na akili timu.. Bill Gates hajawahi kufeli na SAT alipiga zote akapata admission Harvard
Unazijua risasi 16 unazisikia muwe na akili na nyie za kawaida tu, msiendeshwe kama magari mabovu, use your common senseLisu ana ekti mkuu hajapigwa risasi haya nenepa Sasa.
Basi wewe hukuwepo wakati watu tunalia UKAPA ndugu yangu; Mkapa hakukopa sana bali alitumia raslimali nyingi sana kulipa madeni wakati huo kwani aliingia madarakani wakati nchi ina mgogor na world baknk kutokana na ukusanyaji wa kodi na amtumizi ya fedha za misaada na mikopo.Mkapa alikopa mpaka deni likafika 50%.. JK anajua diplomasia zaidi na ndio kitu cha kwanza kufanya 2005 mpaka 2009..
Sijakuambia alifeli alikuwa average aliyefeli kupresent ideas za pea plants kwenye Genetics ni Mendel mpaka amekufa data zake zimekuja kuibuliwa upya miaka ya 60, kwani Bill gate alimaliza chuo?!
Achana na porojo hizo wewe. Hebu kasome online huko, ila aanzia walau hapa kwanza Economy of Tanzania - WikipediaBasi wewe hukuwepo wakati watu tunalia UKAPA ndugu yangu; Mkapa hakukopa sana bali alitumia raslimali nyingi sana kulipa madeni wakati huo kwani aliingia madarakani wakati nchi ina mgogor na world baknk kutokana na ukusanyaji wa kodi na amtumizi ya fedha za misaada na mikopo. Mgogoro huo ndio ulioletelea kuanziswa kwa TRA na nchi ikatakiwa kuanza kuhudumia deni lake. Mwishoni mwa utawala wa Mkapa tukaanza kupata mismaha ya madeni mengine, ambao uliendelea hadi wakati wa utawala wa kwanza wa Kikwete.
Hupo ndio ukweli, ila tunaweza kubishana kwa mambo mengine ndani ya ukweli huo
Akipata 50% akatambikeUshindi wa Magufuli ni zaidi ya 90%
Atapata zaidi ya 90%Akipata 50% akatambike
Umetudanganya Jk aliacha Deni la trillion 8 wakati lilikuwa trillion 40achana na porojo hizo wewe.. hebu kasome online huko.. ila aanzia walau hapa kwanza Economy of Tanzania - Wikipedia
achana na porojo hizo wewe.. hebu kasome online huko.. ila aanzia walau hapa kwanza Economy of Tanzania - Wikipedia