Uchaguzi 2020 Hongera Tundu Lissu kwa kumpigia kampeni Magufuli leo

Ukweli ndio huo Mgombea wenu achague mawili atukane ili atende jinai au aongee hoja ampigie Kampeni Magufuli kazi mnayo kwa mfano Leo kwa kiasi kikubwa kampigia Kampeni Magufuli
Jpm anapigiwa kampeni kwa yepi? Hayo ya kujenga uwanja was ndege kwao? Haya ya kuwanyima wafanyakazi nyongeza ya mishahara kwa miaka kumi? Kwa hoja za lissu zikianza kampeni mtageuka hapa.
 
Lisssu kiboko, eti mabeberu wanatunyonya, kauliza kwani hayo madini yanachimbwa na nani? Ccm hoja wamekwama
Mabeberu ni manyonyaji, ila wakija kwa win win situation ni wawekezaji sasa huyo mtu waliyemtuma mwambieni Tanzania si penyewe tutamuonyesha yeye na mabwana zake kuwa tuko strong enough wamemtuma atangaze vibaya taswira ya nchi yetu atafute nchi nyingine si Tanzania
 
Jpm anapigiwa kampeni kwa yepi? Hayo ya kujenga uwanja was ndege kwao? Haya ya kuwanyima wafanyakazi nyongeza ya mishahara kwa miaka kumi? Kwa hoja za lissu zikianza kampeni mtageuka hapa.
Atawasimulia waliomtuma kuja kuvuruga nchi yetu kuwaTanzania si ya kuchezea ni marufuku kuingiliwa na mdudu wa aina yeyote shenzi type sn
 
Lisssu kiboko, eti mabeberu wanatunyonya, kauliza kwani hayo madini yanachimbwa na nani? Ccm hoja wamekwama
Wanaochimba ni wawekezaji wala si mabeberu mabeberu ni Acacia tuliowatimua akawaambie hii Tanzania si ya kuchezea kama Chadema wameamua kuingia Vitani na Tanzania tuko tayari mashambulizi yoyote juu yao wasilalamike hatutanii inabidi Serikali iende mbali ipige ban mpaka account zao watu gani hawa wa kujaza negativity kwa wananchi unawezaje ukabeza yaliyofanyika na Magufuli kwa miaka 5 kisa unatafuta mamlaka ni miezi miwili tu tuvulianeni tu hatuwezi kuwa na watu wahuni wahuni tu wanaopotosha kila kitu chema waongo waongo tu, inatosha enough is enough
 
Jpm anapigiwa kampeni kwa yepi? Hayo ya kujenga uwanja was ndege kwao? Haya ya kuwanyima wafanyakazi nyongeza ya mishahara kwa miaka kumi? Kwa hoja za lissu zikianza kampeni mtageuka hapa.
Kwani kwao hakuna wananchi? Nyie wachaga wabinafsi sana mbona kwenu kuna maendeleo sana watu hawasemi Tanzania ya Magufuli inapendeza
 
Asante kwa kuujua na kuusema ukweli, asante sana.
Tuwe wakweli wanaCCM wenzangu.. TAL ndio tishio na ndio maana humu tumemkomalia.. Tuwe wakweli tuu.. Tusipende kujitekenya wenyewe.. Tuwe wakweli kama wanaume wa chama dume kweli
 
Mbona hajui kudhungu? Huyu ni utopolo tu.
 
Nigrastratatract,

Kula LIKE hapa. Kule nimekupa LOVE. You nailed it, hawa nyumbu na mgombea wao unawajua vizuri sana.
 
Leo mzee wa kutoa boko kaongea kama mtu mwenye kutaka urais. Hakujawa na mihemko na jazba.

Ni jambo jema anashaurika anabadilika ingawa kachelewa kiasi chake the damage has been done.
Hawezi kubadilika kwa sababu anger management yake si nzuri
Pole pole akimpiga Tena spana atatoa tu Boko,Mbowe itabidi apunguze sana kunywa faru John kipindi ili tu kumlinda Lissu asitoe pasi fyongo
 
Huyo kummaliza ki propaganda mbona ni simple sana.natamani ningekuwa campaign meneja wa JPM .huwezi kuzunguka dunia nzima unaichafua nchi yako ukawa salama kisiasa.
 
Mkuu kweli hukuliona like nyomi la Jana kwa mara ya kwanza Dom Jana folen imeanzia kisasa mpaka chako ni chako ccm nadhani Jana hamkutegemea
 
Naona siasa za leo zimempita. Ajirekebishe la sivyo hatamaliza safari. Time inaangalia
 
Ndiyo akili zenu zilipoishia hapo mkiambiwa ukweli mnasema mnatukanwa , na hii ni kutest mitambo tu
 
Ushauri wa bure -Mtakapoanza kampeni Wapinzani mjikite kushambulia sera na mifumo mnayoona haifai kwa sasa na kuelezea mbadala wake tena kwa lugha rafiki na hoja thabiti na nzito. Hatutaki personal attack- haitawasaidia sana na msirudie yaleyale ya siku zote. Usmwamushe aliye lala utalala na wewe.
 
Nashangaa hata Kuna wapuuzi Eti wanakupa likes????

Lissu kampigia Magufuli kampeni wapi????!

Kusema kuwa unapendelea nyumbani kwenu kwa kupeleka uwanja wa ndege na mbuga jambo ambalo halikufanywa na maraisi wote waliotangulia ndo kumpigia kampeni magufuli???? Utakuwa sio mzima wewe????

Nani hajui kuwa Magufuli ameharibu mahusiano ya kimataifa???? Nani hajui kuwa Rwanda wamefunga mpaka??? Nani hajui kuna shida mpaka wa Kenya??? Nani hajui balozi wa Umoja wa Ulaya aliondoka??? Nani hajui kuwa viongozi wa SADC walimsema vibaya Magufuli kuwa hawajibiki ipasavyo kama kiongozi wa SADC???? Nani hajui kuwa saivi kwenye dhifa au shughuli za taifa wageni wanaokuja ni kutokea nchi zilizotengwa na Dunia Yaani Burundi na Zimbabwe??? Au hamkuona kwenye msiba wa mkapa alikuja Makamu wa Raisi Zimbabwe na waziri Mkuu Burundi tu????? Hata kwenye kikao cha CCM mwaka huu ANC wa South Africa tu hawakuja.

Sasa Lissu amesema ataboresha mahusiano ya kimataifa kwa kuheshimu marafiki zetu. Hapo ni kumpigia kampeni magufuli??????

Lissu mf jana kaongelea shida za wakulima kuminywa kwenye michango na kupangiwa sehemu za kuuzia mazao na bei. Kwani hilo ni uongo???? Wakulima wa mahindi hawakukatazwa kuuza mazao kwa wafanyabiashara wa nje????? Wakulima wa Tumbaku hawajalazimishwa kuuza mazao kwa bei za kutupwa kwenye vyama vya ushirika???? Hiyo ndo kumpigia kura magufuli?????? Na mwisho alisema akiingia madarakani hayo mambo hayatakuwepo. Hukusikia?????

Lissu kasema Jana Magufuli anavyodhalilisha mama zetu, dada zetu na watoto zetu wa kike. Kwani ni uongo???? Hukusikia Magufuli akisema kwa yule mama upanuliwe wapi??? Hujasikia anavyootoaga mifano eti barakoa kama Titi la mwanamke???? Huko ndo kumpigia kampeni nagufuli????

Mleta mada kajipange upya.CCM mmeshikwa pabaya mwaka huu!!
 

Mmmh mkuu umeyatoa wapi haya? Imebidi nicheke [emoji3] nyie watu jamani si bora utumie muda kidogo kusoma kuliko kuandika kitu ambacho ukijuhi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…