Uchaguzi 2020 Hongera Tundu Lissu kwa kumpigia kampeni Magufuli leo

Nimesikia sifa mojawapo ya Magufuli amejenga mbuga za wanyama Chato😂😂 Yaani kuna ' mgombea Unyerere hajui Buligwe lilikuwa pori la akiba mkoani Geita, na si la chato pekee. Mgombea Unyerere hajui ukishakuwa na hifadhi ya wanyama pori kwa ajili ya utalii lazima kuwe na miundo mbinu ya kufikisha watalii huko!!! Mgombea Unyerere hajui hata pori la akiba Serous limegeuzwa kuwa eneo la utalii la Nyerere.
 
Hakuna mgombea Urais hapo, Bali Kuna mouth piece ya mabeberu, Ila bahati Mbaya Sana kwake ni kuwa kila anachokisema ni Kama kukumbushia watanzania Mambo mazuri aliyoyafanya Magufuli.
 
Bila hao mabeberu hata hizo ndege mbovu msingepata.Jpm kashindwa vibaya sana kufanya kazi kama rais kwa miaka mitano, kafanya Nazi kama mwenyekiti wa ccm.
 
Hakuna mgombea Urais hapo, Bali Kuna mouth piece ya mabeberu, Ila bahati Mbaya Sana kwake ni kuwa kila anachokisema ni Kama kukumbushia watanzania Mambo mazuri aliyoyafanya Magufuli.
Jambo alilofanya Jpm kubwa ni kuwagawa watanzania kwa hali zao has a uvyama
 
Ushindi wa Magufuli ni zaidi ya 90%
Labda kama anapigiwa kura na familia yake. Na vyombo vya dola vinavyo jipendekeza kwa Ccm. Hawajui mabadiliko huletwa na watu na sio upendeleo.. Hadi ina wafikirisha watu kwamba walihusika na shambulio la Lissu maana hata vyombo vya habari vina zuiwa kuonyesha matukio ya Chadema wakati ni chama kinacho fanya shughuli zake kwa mujibu wa katiba..
 
Lazima ccm na Magufuli mjiulize kwanini baada ya kujinadi na miradi mingi watu hawawapendi na nyie hamjiamini hata baada ya kuzuia upinzani wasifanye siasa kwa miaka mitano?
 
Nyundo ya Baruani Muhuza,safi Sana kiongozi
 
Hoja kama hoi hakuna nyumbu wa kuipangua ,sana wataandika mistari miwili ya reply za matusi
 

Wale viongozi wako wanakwambia Tanzania tumepambana na hili gonjwa na akili zako kama mdudu wa chooni unaona kweli tumepambana😁 tumefanya nini haswa au sir God tu kaona hawa wakiipata wataisha
 
Unadanganya mtu mzima Kama huna akili.kamtukana JPM lini??ccm oyee
 
Hapa kumbuka tuna compare miaka 5 ya kwanza ya JK na miaka mitano ya kwanza ya Magu. Hatuongelei matokeo ya mwezi mmoja pekee..

Vipi kuhusu hoja ya GDP per capita?
GDP na mambo mengine ni bla bla bla bla tu
Ukweli ni kwamba Mr. Pombe kaharibu maisha ya Watanzania wote kwa ujumla
Kuanzia wakulima mpaka wafanya biashara
(Wanasisa mpaka viongozi wa dini jela)
Wanafunzi mpaka wafanyakazi wa serikali
Huyu mtu balaa Sana mungu atunusuru na mikosi take
Kwa saaa watanzania wanao kula milo mitatu kwa siku ni wachache Sana
 
Kweli alioigwa risasi 16 ili afe lakini mwacheni mungu aitwe mungu hayo ni maajabu kama ya Mussa kwa farao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…