Polee sana ndugu. Naona Homa ya Lissu inakusumbuaHaijawai na haita wahi kutokea huyo bwana kuwa chaguo la Watanzania HALISI.
Atabaki kuwa chaguo lao na mwisho wa siku atapewa asante ya kushiriki.
Haijawai na haita wahi kutokea huyo bwana kuwa chaguo la Watanzania HALISI.
Atabaki kuwa chaguo lao na mwisho wa siku atapewa asante ya kushiriki.
Huu si muda wa kumkabidhi mtu Tanzania yetu eti kwa kumpima uwezo wake wa uongozi. Nchi hii tayari tunakiongozi ambaye atasindikizwa tu na wengine kuelekea ktk uchaguzi ili kutimiza matakwa ya katiba.
Piganieni tu majimboni kwenu.
Huyo Wa kwako, tumechoka kubaguliwaHuu si muda wa kumkabidhi mtu Tanzania yetu eti kwa kumpima uwezo wake wa uongozi. Nchi hii tayari tunakiongozi ambaye atasindikizwa tu na wengine kuelekea ktk uchaguzi ili kutimiza matakwa ya katiba.
Piganieni tu majimboni kwenu.
ningependa niamini lakini roho inasema hakuna ukweli wowoteMeko ataoneshwa mlango wa kutokea awamu hii.
Hawezi kuendelea kudharau watanzania. Tutamwonesha kwamba hii nchi si mali yake bali ni mali ya watanzania wenyewe.
Magufuli ni namba nyingine sio wakushindanishwa na huyu dogo. Kama mbabe Lowasa alikaa itakuwa huyu shoga !!Meko ataoneshwa mlango wa kutokea awamu hii.
Hawezi kuendelea kudharau watanzania. Tutamwonesha kwamba hii nchi si mali yake bali ni mali ya watanzania wenyewe.
Acha kufananisha lissu na vitu vya kijinga.Yaani lissu alingane na lowasa, lowasa alikuwa bubu yule.ruhusu mdahalo Wa lissu na jpm uone weweMagufuli ni namba nyingine sio wakushindanishwa na huyu dogo. Kama mbabe Lowasa alikaa itakuwa huyu shoga !!
Uchaguzi mwepesi sana huu 2020, CCM haijawahi kushinda kirahisi kama mwaka huu, amini nakwambia.