damper
JF-Expert Member
- Feb 27, 2011
- 773
- 835
Sasa Lowasa vile vile alivyokuwa watu walipiga deki lami.Acha kufananisha lissu na vitu vya kijinga.Yaani lissu alingane na lowasa, lowasa alikuwa bubu yule.ruhusu mdahalo Wa lissu na jpm uone wewe
Huyu hata wakumpungia mkono tu itabidi chama kiwaandae watu.
Lowasa alitisha kabla ya uchaguzi na wakati wa uchaguzi. Inaweza isitokee hiyo hali tena, upinzani kupata mtu wa kuitikisa CCM.