Uchaguzi 2020 Hongera Tundu Lissu. Watanzania wamepata wa kuwafuta machozi

Uchaguzi 2020 Hongera Tundu Lissu. Watanzania wamepata wa kuwafuta machozi

Hatagombea Lisu wenu kwa sababu ya kupoteza sifa za maadili, ubunge wake hamkubuki kilichoupoteza? Hivyo pingamizi kwenye wagombea litamhusu. Subirini mtaona
 
Leo nina furaha sana, Nina furaha kwa Lissu kuteuliwa na Chama chake.

Ninaamini sasa tutakuwa na uchaguzi. Watanzania wengi wamefurahi wamepata mtu wa kuwafuta machozi kutokana na kifungo, minyororo, na mateso ya miaka mitano.

Hongera sana.

Nimemuona Lissu halisi. Mungu akulinde na akupe ujasiri. Ni muda sasa wa kupimana nguvu na uwezo wa uongozi.
Hili neno mnalitumia vibaya sana, na hili ni tatizo la CDM.
Semeni CHADEMA na sio Watanzania, ni nani amewaweka kuwa wasemaji wa Watanzania?
 
Ajira ajira ajira narudia tena ajira. Tangu jpm aingie madarakani amewadharau kabisa vijana na kuwatukana kila uchwao kuwa wajiajiri wakati yeye ameajiriwa. Suppose alipomaliza chuo cha ualimu butimba angetukanwa hivyo kwamba ajiajiri sijui angefika hapo alipo.

Miaka mitano imeisha ajira kapiga pini kabisa kwamba bora vijana wafe/wahangaike ila ndege,meli na miundombinu ijengwe yaani apate sifa ya kimataifa tu hata wakifa poa tu. Vijana mmepotezewa huu ndo mda wa kumweka lisu madarakani!
 
Ajira ajira ajira narudia tena ajira. Tangu jpm aingie madarakani amewadharau kabisa vijana na kuwatukana kila uchwao kuwa wajiajiri wakati yeye ameajiriwa. Suppose alipomaliza chuo cha ualimu butimba angetukanwa hivyo kwamba ajiajiri sijui angefika hapo alipo. Miaka mitano imeisha ajira kapiga pini kabisa kwamba bora vijana wafe/wahangaike ila ndege,meli na miundombinu ijengwe yaani apate sifa ya kimataifa tu hata wakifa poa tu. Vijana mmepotezewa huu ndo mda wa kumweka lisu madarakani!
Vijana wengi wameapa kabisa!
IMG_20200803_214916.jpg
 
Hatagombea Lisu wenu kwa sababu ya kupoteza sifa za maadili, ubunge wake hamkubuki kilichoupoteza? Hivyo pingamizi kwenye wagombea litamhusu. Subirini mtaona

Hizo Ni njama tu za CCM
Ajira ajira ajira narudia tena ajira. Tangu jpm aingie madarakani amewadharau kabisa vijana na kuwatukana kila uchwao kuwa wajiajiri wakati yeye ameajiriwa. Suppose alipomaliza chuo cha ualimu butimba angetukanwa hivyo kwamba ajiajiri sijui angefika hapo alipo. Miaka mitano imeisha ajira kapiga pini kabisa kwamba bora vijana wafe/wahangaike ila ndege,meli na miundombinu ijengwe yaani apate sifa ya kimataifa tu hata wakifa poa tu. Vijana mmepotezewa huu ndo mda wa kumweka lisu madarakani!

Tumesema na nasema Tena Rais Jiwe ni RAIS WA VITU SIYO WATU....!!!
Anatukuza na kuthamini MAENDELEO ya Vitu na siyo WATU!!
 
Watu mioyo yao imechoka na imevumilia mengi.
Naahidi kumpatia kura huyu jamaa.
*Ni msafi
*Msomi
*Jasiri
*Hapendi dhuluma
*Hajawahi kushindwa
*Ameshinda Umauti
*Ana huruma
*Mtetezi wa kweli wa wanyonge
*Mkweli

#
IMG-20200803-WA0125.jpg
Niyeye2020#
 
Hatagombea Lisu wenu kwa sababu ya kupoteza sifa za maadili, ubunge wake hamkubuki kilichoupoteza? Hivyo pingamizi kwenye wagombea litamhusu. Subirini mtaona
Kesi yake ya kupinga kunyang'anywa ubunge imesikilizwa au uko hapa kupiga umbeya.
 
Una hakika na unachosema?
Nikuhakikishie kwamba kama ni kweli UCHAGUZI UTAKUWA HURU NA HAKI basi CHAGUO LA WATZ ATAKUWA TUNDU ANTIPAS LISSU🔥.

Magufuli bila TUME BUBU YA UCHAGUZI YA CCM ni mwepesi kama TOILET TISSUE🤣

Kwa taarifa yako tu Uchaguzi Mkuu wa 2015 Mhe. Edward Ngoyayi Lowassa ndiye aliyekuwa Mshindi lakini AKANYANG'ANYWA NA TUME BUBU YA CCM....!!!🧟
Sasa kumbe mnalijua hilo kwanini mjipe moyo wa kijinga? Wapo bungeni miaka 5 hawajawa serious na tume huru wanakuja na neno tume huru wakati wa uchaguzi halafu unataka tuwaone wapo serious? Wapigaji tu kama wenzao wa ccm bora hata huyo JPM
 
Huu si muda wa kumkabidhi mtu Tanzania yetu eti kwa kumpima uwezo wake wa uongozi. Nchi hii tayari tunakiongozi ambaye atasindikizwa tu na wengine kuelekea ktk uchaguzi ili kutimiza matakwa ya katiba.
Piganieni tu majimboni kwenu.
Ni wakati wa uponyaji. Ni wakati wa kuliondolea mbali fashist toka ikulu lilikoingizwa kwa bahati mbaya kwa kulazimishiwa na mkapa(RIP). Sasa Mkapa hayupo tena! na akina kikwete hawakumtaka na hawatamtaka asilani Jiwe yuko peke yake! Hata wanaomfuata ni watumwa tu!. Jambo la muhimu ni kuelewa kuwa Lissu is GOD sent. Haijatokea mtu akapigwa risasi za tembo akapona risasi zaidi ya 16 mwilini?! Lissu ni mpango wa Mungu kwa watanzania. I warn everybody Mpango wa Mungu hauzuiliki. Wote watakaojaribu watauawa trust me. Na huo mpango umeanza na vizingiti vimeanza kuondolewa. Usijaribu kuzuia mpango wa Mungu kama unajitaka----
 
Tunampa pole kwa yote yaliyomkuta na bila shaka yoyote kwamba yeye kuwa mzima mpaka sasa ni mpango wa Mungu kama ilivyo kwa wote.
Lakini hii haijawahi kuwa sifa ya mtu kuwa rais wa nchi eti tu kwa sababu aliwahi kunusurika na kifo kwa risasi nyingi.
 
Kwa kweli kwanza kabisa, Nampongeza Sana, Sana Mheshimiwa Tundu Lissu kwa heshima kubwa Sana aliyotupa Watanzania . Binafsi , Mheshimiwa Tundu Lisssu Ni Mzalendo , Mkweli , Mpenda watu na anapenda kwa ujumla Watanzania ! Tundu Lissu Ni Hazina ya thamani kwa Taifa letu Ndugu zangu .

Tumuunge mkono Sote kwa pamoja . Kura zote tumpe Mheshimiwa Tundu
 
Kwa kweli kwanza kabisa , Nampongeza Sana , Sana Mheshimiwa Tundu Lissu kwa heshima kubwa Sana aliyotupa Watanzania . Binafsi , Mheshimiwa Tundu Lisssu Ni Mzalendo , Mkweli , Mpenda watu na anapenda kwa ujumla Watanzania ! Tundu Lissu Ni Hazina ya thamani kwa Taifa letu Ndugu zangu .

Tumuunge mkono Sote kwa pamoja . Kura zote tumpe Mheshimiwa Tundu
Kabisa, Lissu anafaa kutuondoa kutoka katika utawala wa ki-imla ulioingia nchini siku hizi, kweli watu wamechoka na wanataka mabadiliko, Lissu ndio anafaa kuleta mabadiliko hayo sasa.
 
Naamini hata wakongwe wa CCM wote kama JK, Msekwa, Makamba, Mangula, Kinana, Jji Warioba hawataharibu kura zao kumpigia Magufuli.

Nawapa pole wale watakao mpigia Magufuli watajilaumu milele. MPIGIE TUNDU LISSU kura yako ilimujivunie matunda ya Demokrasia
 
Kabisa tumechoka , utekaji ,uuaji ,upoteaji watu , kukosa ajira ,kutopandisha Madaraja mishahara , kudhulumu wastaafu , manyanyaso kwa watumishi na wafanya biashara.
 
Back
Top Bottom