Uchaguzi 2020 Hongera Tundu Lissu. Watanzania wamepata wa kuwafuta machozi

Acha kufananisha lissu na vitu vya kijinga.Yaani lissu alingane na lowasa, lowasa alikuwa bubu yule.ruhusu mdahalo Wa lissu na jpm uone wewe
Sasa Lowasa vile vile alivyokuwa watu walipiga deki lami.
Huyu hata wakumpungia mkono tu itabidi chama kiwaandae watu.
Lowasa alitisha kabla ya uchaguzi na wakati wa uchaguzi. Inaweza isitokee hiyo hali tena, upinzani kupata mtu wa kuitikisa CCM.
 
Huyu anayemuoza mzazi wake kwa jogoo watu walikuwa wanamlia timing tu. Sasa ameshaingia kwenye 18.

Mwambie aanze kufungasha na kisha kuhama kabisa pale Chamwino. Ni bora akalime viazi vikuu kule Chato. Ametuumiza sana watanzania.
 
Nyie watu mlioishi kwa kufanya ufisadi ndo mnajiita Watanzania mlioumizwa ?
Bado sasa jamaa sio wa kutoka leo wala kesho.
 
[emoji120][emoji120][emoji120] tumaini jipya
 
Jamanj Magufuli ni namba nyingine aisee!!
Unajua huyo si Tanzania tu, hata akienda kugombea nchi hizi zinazotuzunguka anashinda bila tatizo.
Vile anavyokubalika na wanaojitambua.
Halafu mnakaa mnachagua kwa siku mbili mnaleta huyu mgonjwa apambane na tingatinga!!
 
Magufuli ni namba nyingine sio wakushindanishwa na huyu dogo. Kama mbabe Lowasa alikaa itakuwa huyu shoga !!
Uchaguzi mwepesi sana huu 2020, CCM haijawahi kushinda kirahisi kama mwaka huu, amini nakwambia.
Lowassa alishinda
 
Naenda kumpigia kura Tundu Lissu
 
Aamin. Kura Yangu Kwake.
 
πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½

Acha kufananisha lissu na vitu vya kijinga.Yaani lissu alingane na lowasa, lowasa alikuwa bubu yule.ruhusu mdahalo Wa lissu na jpm uone wewe
 
Sasa Lowasa vile vile alivyokuwa watu walipiga deki lami.
Huyu hata wakumpungia mkono tu itabidi chama kiwaandae watu.
Lowasa alitisha kabla ya uchaguzi na wakati wa uchaguzi. Inaweza isitokee hiyo hali tena, upinzani kupata mtu wa kuitikisa CCM.
Usiandikie mate na wino ungalipo...cha msingi haki itendeke
 
Another comedy
Loh....
 
Magufuli ni namba nyingine sio wakushindanishwa na huyu dogo. Kama mbabe Lowasa alikaa itakuwa huyu shoga !!
Uchaguzi mwepesi sana huu 2020, CCM haijawahi kushinda kirahisi kama mwaka huu, amini nakwambia.

Una hakika na unachosema?
Nikuhakikishie kwamba kama ni kweli UCHAGUZI UTAKUWA HURU NA HAKI basi CHAGUO LA WATZ ATAKUWA TUNDU ANTIPAS LISSUπŸ”₯.

Magufuli bila TUME BUBU YA UCHAGUZI YA CCM ni mwepesi kama TOILET TISSUE🀣

Kwa taarifa yako tu Uchaguzi Mkuu wa 2015 Mhe. Edward Ngoyayi Lowassa ndiye aliyekuwa Mshindi lakini AKANYANG'ANYWA NA TUME BUBU YA CCM....!!!🧟
 
Hongera sanaa lissu rais wetu mpendwa ujae 28 mapema nch unaichukuwa
 
Magufuli sasa matumaini yoote kwa tume yake ya uchaguzi hana njia nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…