Nakubaliana na wewe, hicho kikao kilipaswa kufanyika December 2019 au January 2020. Pia wizara ina muongozo wa risk ila sijui kwa nini haukufutwa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unanitafuta eeh?
Seriously! huoni umuhimu wa kutoa taarifa za Covid-19.Ndukidi hayo mambo ya kupanikishana tuachane nayo, tuweke mikakati ya mass testing ila hakuna mambo ya kutoa taarifa, kwa sababu hatuna briefing ya HIV au Kisukari so why iwe COVID19???? Kwanini tukopy kila kitu?
Je kuna umuhimu wa kutaja maambukizi ya malaria? Cancer??? Au kuna umuhimu wa kutaja vifo vya malaria??? Nadhani mikakati ya kujikinga ni bora zaidi. Tuungane kumpongeza Waziri Ummy kwa hatua aliyochukua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unanitafuta eeh?
Upo sahihi kabisa mkuu. Tangu serikali isitishe kutoa updates za maambukizi mapya, vifo na waliopona COVID-19 jitihada za kujikinga zimepungua sana miongoni mwa wananchi kwa kudhani ugonjwa umepungua. Taarifa sahihi na uwazi ni nyenzo muhimu sana katika mapambano dhidi ya janga hili.Usipige ngumi ukuta..wenye mawazo hayo ni haki yao ila wapotezee.
Turudi kwenye mada, Huu ni ugonjwa wa mlipuko tofauti na magonjwa mengine.
Suala la kujua idadi ya walioambukizwa ni la muhimu sana ili kuiwezesha serikali kujua namna ya kukabiliana nao.
Pia wananchi watahamasika kuongeza bidii katika kujihadhari.
Toeni takwimu ya walioambukizwa na pia ni maeneo gani yameshambuliwa zaidi. Hii itatusaidia tunaoishi vijijini kuweka umakini zaidi kwa wageni wanaotoka maeneo hatarishi
Sasa ulidhani watamsikiliza nani huku amiri jeshi mkuu aliepaswa kuongoza mapambano amejificha kijijini. Serikali inaficha habari. Hakuna kitu kinachoendelea huku ndugu zetu wanazikwa kimya kimya usiku.
That is my outlook! I have an independent mind not governed by somebody at the top!Mkuu achana na huyo Retired huwa hana hoja ni mapovu tu. Naona hata comment yake imefutiliwa mbali na Mods.
Mkuu sana Don Clericuzio Khantwe kaibuka inbox akiomba msamaha, kashusha goti kwa kusema yupo chini ya miguu nimsamehe. Sijamjibu ili nimtese kwanzaTusimuhimize, ukute yuko anakusanya data vizuri.
Leo siku haiishi kabla Mudawote kuweka mambo yako hapa.
Your comment already deleted by Mods, the case closed!That is my outlook! I have an independent mind not governed by somebody at the top!
Mkuu sana Don Clericuzio Khantwe kaibuka inbox akiomba msamaha, kashusha goti kwa kusema yupo chini ya miguu nimsamehe. Sijamjibu ili nimtese kwanza
Ndukidi
Je kuna umuhimu wa kutaja maambukizi ya malaria? Cancer??? Au kuna umuhimu wa kutaja vifo vya malaria??? Nadhani mikakati ya kujikinga ni bora zaidi. Tuungane kumpongeza Waziri Ummy kwa hatua aliyochukua