Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 1,856
- 2,417
- Thread starter
-
- #21
Serikali inayojielewa haiwezi kutatua tatizo la mkate kwa kuharibu uwezo wa wazalishaji wa malighafi za mkate , itakuwa imetengeneza tatizo kubwa zaidi.Hamna serikali imewahi kutoboa wakati wananchi wake wana njaa. Soon, tutajua kama hizo bei tunaweza kuzihimili au la.
Na Mwaka huu wakulima itakuwa full neema ,soma hapa [emoji116]Wakuu nampongeza mh Bashe waziri wa kilimo kwa mengi aliyoyafanya kilimo, isipokuwa Kwa Leo nampongeza kwa msimamo wake wa kutetea wakulima juu kuuza mazao...
Hili ndiko swali hata Waziri wa Fedha aliuza bungeni kwamba mnaelewa Kwa nini wakulima wengi Bado ni maskini? Sera mbovuKama tusipokuwa na sera za kisasa za kilimo tutaendelea kufanya wakulima ambao ndio kubwa kuwa maskini
Na hatimaye kuendelea kuwa taifa maskini. Naamini kama taifa tukiweza kuwekeza kwenye kilimo kwa kuongeza uzalishaji kwenye killmo tunaweza kutoka kabisa kwenye umaskini.
Madalali hawawezi Toka Sokoni,dalali ukimfungia mipaka anatoa bei kiduchu Kwa mkulima ukimruhusu auze popote anatoa bei kubwa Kwa mkulima.Anatetea wakulima au anatetea madalali?
Km hujawahi kua mkulima huwezi elewa kwa upana haya mambo.
Nadhani ndivyo itakuwa maana nilimsikia hata Bashungwa kule kwao akisema wakulima wa kahawa Waachwe Wauze wanakotaka , Halmashauri ichukue ushuru.Mazao kama pamba,kahawa,korosho na yenyewe Bashe atasimama kidete wakulima wauze wanapotaka?
kahawa ya Bukoba wakulima walikua wakizuiwa wasipeleke Uganda, hivyohivyo na korosho pia ilikua inazuiwa isiuzwe nchi za jirani.
Jiteteeni wenyewe au kalimeni na nyie mlete msawazo wa bei..Sasa sisi consumers tonao-feel the pinch ya hilo soko huria nani anatutetea?
Kama hiyo ndiyo sera nzuri, basi na sisi consumers turuhusiwe kununua mazao toka soko huria duniani bila vikwazo. Wapo wafanyabiashara wanaoweza...
Itategemea na Rais husika au reaction ya Wakulima, wakulima wanatakiwa kuwa na chama Chao Ili akija mpuuzi kama huyo wakiamshe na kutishia kutolima kama kule India,hii ni muhimu Sana kwao.Jambo zuri lakini tatizo anayoongea yatabaki kuwa kauli tuu, akija waziri mwingine naye atalipuka na sera zake na hata kuzuia wakulima wasiuze nje mazao yao, apigane alete muswada upitishwe bungeni ili anayoongea ndio yawe sera na sheria za kumwongoza mkulima, tuache blah blah kama mambo muhimu Bashe anajua cha kufanya sio kauli za majukwaani tu.
Sie wajinga tunaolima ndio tunanufaikaje Sasa wewe unatakaje labda? Naona mnajificha kwenye kichaka Cha walanguzi,lugha za wale failuresHuu ni ujinga unaokaribia upumbavu.
Ni "kiwanda" gani ambacho serikali haihusiki nacho kwa njia moja au nyingine...
Serikali inajiondoa kwenye kupangia wakulima bei au sehemu ya kuuza..Sasa Bashe mwenyewe hatambui hilo.
Kwamba kama anataka serikali ijiondoe kabisa katika maswala ya wakulima, basi serikali hiyo hiyo itapashwa ijiondoe katika nyanja zingine zinazohusu maeneo mengine yanayowahusu wananchi kwa ujula (walaji/wanunuzi)...
Mtu mmja mjinga amekalia tuu ooh walanguzi mara wafanyabiashara na upuuzi kama huo.Inawezekana mkulima akashindwa kushindana na waagizaji lakini sio lazima iwe hivyo, hata hao waagizaji wana gharama kubwa pia, mkulima akipewa masoko yote free ya ndani na nje pamoja na ruzuku lakini waagizaji wakamzidi acha ashindwe tuu, atatafuta shughuli nyingine ya kufanya au atalima mazao yanayoleta faida, free market haijawahi kumwangusha mtu na inajua kubalance kila kitu
Hakuna kitu hapo, ni siasa na blabla tu, Nilipata kufanya kazi wizara ya kilimo kwenye serikali ya awamu ya nne, ile document ya kilimo kwanza ulikuwa ukiisoma unaona sasa wakulima wanaenda kuneemeka.Wakuu nampongeza mh Bashe waziri wa kilimo kwa mengi aliyoyafanya kilimo, isipokuwa Kwa Leo nampongeza kwa msimamo wake wa kutetea wakulima juu kuuza mazao ....
Kiufupi wanaoneemeka ni madalali na wafanyabiashara, na kwa uchache wakulima wakubwa wanaoweza tunza mazao yao.Anatetea wakulima au anatetea madalali?
Km hujawahi kua mkulima huwezi elewa kwa upana haya mambo.
Unachokosea ni kufikiri kilimo kimeajiri watanzania wengi kwa sababu kina faida.Mkuu nimejibu kwamba sera nzuri ya serikali ni ile inayoangalia maslahi ya watu wengi katika nchi, Leo wakulima ni zaidi ya asilimia sitini ya watanzania achilia mbali wale wafanyakazi wanaotegemea kilimo pia kama njia nyingine ya kuongeza kipato chao
Pili suala la kuagiza nje hiyo ni sera nyingine ya mambo ya nje
kwa serikali ya taifa lolote lazima lilinde wazalishaji wake wa ndani kwanza kabla kuagiza bidhaa nje maana wazalishaji wa ndani ndio wanaoshikilia uchumi kuliko wachuuzi wa wanaogiza bidhaa nje ,
Swali je walaji wangapi wenye uwezo wa kuagiza nje kama sio kutegemea wachuuzi wachache wa kimataifa waongeze import kwa taifa
Hii ni sera ya kimapinduzi itawafanya vijana wengi wakinbilie kwenye kilimo kwa sababu wana uhakika wa soko
hivyo kilimo kuajiri mamillion ya vijana
Kuna pull and push attractive factor
serikali zilizopita zilitumia push attractive factor, mgambo na kuwafokea vijana waende kwenye kilimo kisicho na uhakika wa soko,
But akili kubwa imetumia pull attractive factor ya kutengeneza mazingira ya soko zuri hivyo vijana wengi watakimbilia fursa wenyewe ya kilimo
Basi itakua poa sana wanaokacha mashamba wakidai kilimo hakilipi sasa watarudi kulima kwa bidii.Nadhani ndivyo itakuwa maana nilimsikia hata Bashungwa kule kwao akisema wakulima wa kahawa Waachwe Wauze wanakotaka , Halmashauri ichukue ushuru.
ahaaa,basi ngoja tusubiri ila natumaini utawala huu kwa wakulima mambo yatakua vizuri,tuache mazoea ya kijima watu wakalime sasa kilimo kitalipa zaidi.Hii nalo linaweza kufanyiwa kazi endapo litakuwa na maslahi makubwa kwa wazalishaji/wakulima,
Ingawa mada inagusa zaidi mazao ya chakula