Hongera Waziri wa Kilimo Hussein Bashe kwa kutetea soko la wakulima, wanaokupinga ni wanafiki

Kukiwa na sehemu nyingi za kuuza hivi vipimo vya kinyonyaji vitajifia vyenyewe.
 
Kupunguza production cost siyo lazima ufanye subsidy. Kwa mfano, unafahamu irrigation kwa mipaka 5 iliyopita imeongezeka kiasi gani? Na imechangia kiasi gani kwenye kilimo?
Hujui, Sasa utamuwajibisha vipi waziri wa kilimo ambaye hakuelezi hayo, anakwambia tumeanzisha mradi so and so wa umwagiliaji.
How many Hectares? Producing what?

How much money was spent on R&D? And what are the results?
Why there's no major agricultural investment?
Siyo lazima tu kutoa fedha za pembejeo.
 
Mkuu kimsingi sioni tatizo kwa Serikali kuruhusu wafanyabiashara kuagiza mazao (nafaka) nje ya Nchi ili mradi tu sheria za kodi zifuatwe. Mfanyabiashara alipe kodi stahiki. Kama kodi ya importation italipwa sawa sawa bado mkulima wa ndani atauza mazao yake bila shida yeyote na hata huyo importer hatamudu ku-import. NI suala la kujipanga na UZALENDO tu katika kumjengea mkulima uwezo. Mh Rais na Waziri waameanza wengine mfuate
 
Mkuu kimsingi sioni tatizo kwa Serikali kuruhusu wafanyabiashara kuagiza mazao (nafaka) nje ya Nchi ili mradi tu sheria za kodi zifuatwe. Mfanyabiashara alipe kodi stahiki. Kama kodi ya importation italipwa sawa sawa bado mkulima wa ndani atauza mazao yake bila shida yeyote na hata huyo importer hatamudu ku-import. NI suala la kujipanga na UZALENDO tu katika kumjengea mkulima uwezo. Mh Rais na Waziri waameanza wengine mfuate
 
Ubaya gharama nyingi hazipo kwenye kujenga irrigation schemes na research. gharama nyingi zipo kwenye input wakati wa kilimo. Mafuta ya kuendeshea mashine, madawa na mbolea. Njia bora ya kukabiliana na haya ni kuhakikisha mkulima anapata bei nzuri itayoendana na gharama za uzalishaji. Hapo ndipo utaweza kuvutia wakulima wakubwa na kukuza hawa wadogo.

Sisemi kuwa serikali haipaswi kujenga irrigation schemes na kufanya research za kilimo.
 
Polepole wewe na hakuna haja ya kuitana wajinga na wapumbavu, naamini Bashe ana nia nzuri labda kama una ushahidi anatafauta sifa utuambie, na hakuna mtu ambaye hajui serikali ina mkono wake kila sekta, watu wengi wasichotaka humu ni serikali kupangiana bei na kuondoa freedom ya watu wauze wapi, waache market ijiendeshe sio kutafuta mshindi
 
"...market haijiendeshi" kiholela kama anayoizungumzia mheshimiwa wako Bashe, kwa serikali yake ijiondoe kabisa katika shughuli hiyo. Hilo haliwezekani. Lugha anayotumia ni lugha ya kilaghai, kutafuta sifa kwa wasiojua kinachozungumziwa.
 
Bashe ni mjanja sana mnamsifia anawatetea wakulima ni kweli lakini na yeye anajitetea humohumo, ana hundreds oh hectors huko Ikungi sijui anataka kulima zao gani, kama siyo alizeti basi korosho kwahiyo lazima ajiandalie mazingira mapema
Huyo ndo anafaa kuwa waziri wa kilimo sasa,
Kwa sababu anaply kilimo practically na anafahamu uhalisia sio hao wa kwenye makaratasi wamekaririshwa bei ikizidi unabana wakulima
Shabash !??
 
Soko la wakulima wapi? Bashe anajua jinsi ya kucheza na akili za vilaza kama wewe, Wakulimawaliuza nafaka tangu mwaka jana mwezi wa 7 bei ikiwa chini gunia la mahindi lilikuwa sh 50, 000/ ahdi 40, 000/ Wakulimwa kwa sasa ndio wanao pelekewa mahindi ya msaaada
 
"...market haijiendeshi" kiholela kama anayoizungumzia mheshimiwa wako Bashe, kwa serikali yake ijiondoe kabisa katika shughuli hiyo. Hilo haliwezekani. Lugha anayotumia ni lugha ya kilaghai, kutafuta sifa kwa wasiojua kinachozungumziwa.
Inajiendeahaje mkuu ?
Serikali haiwezi kujiondoa kwa asilimia mia moja iaipokuwa inaweza kubaki TU kama referee wa mchezo sio kuamua mshindi

Lakini serikali ina wajibu wa kulinda timu yake ya ndani huo ndo uzalendo
 
Soko lipi?
 
Acha uongo mkuu kwa mwaka Jana Bei ya mahindi mpaka sasa iko juu sana hizo bei sijui umezitoa wapi
Hizo data kawadanganye wapambavu wenzako huko,
Kabla kuchangia hili jukwaa jitahidi akili ziwe zimetulia
 

Attachments

  • Screenshot_20230212-214525.png
    33 KB · Views: 3
Hivyo vitu ulivyotaja ni constant na havina tofauti kubwa kati ya nchi na nchi. Lazima uangalie vitu ambayo vinakupa faida kubwa kulingana na nchi nyingine.
Proximity to large water sources Tanzania inazipiku nchi nyingi duniani. The challenge is on tapping that advantage.
Kuhusu madawa na mbolea, they can easily be reduced by R&D. Hapo ndipo tunapokwana.
R&D is the backbone of agriculture. Nchi zinazowekeza kwenye R&D ndizo zinazozalisha kwa Bei nafuu.
Kwa mfano tu, kutumia GIS kupulizia madawa na kumwaga mbolea, it's very effective na ni very easy but it needs massive soil sampling which is not that complicated. A lot of simple techniques can make a big difference in saving costs. Mafuta Bei yake hiyo hatuna sana nguvu ya kudhubiti bali kwa kuimarisha tafiti ambazo ni local.
Kumpa mkulima hela hakusaidii kwa sababu kama consumers hawatamudu, basi hakuna cha maana. Hapa nazungumzia mazao ya chakula
 
Hapana mkuu, mkulima wa Tanzania won't stand a chance. Kutaletwa Michele hapa labda uitoze Kodi 100% ambayo ni sawa na kuzuia importation.
 
Mleta maada ni kilaza na hao ndio Bashe anawapenda
Wewe ni miongoni either wajinga wasiojua faida ya free market, au mpambavu unajua lakini hutaki kubadilika anataka sera za sabini zitumike kutatua challenge za Karne ya 21,
Au mnafiki anayeping kila kitu hata ukweli for your own interest
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…