Hongera Waziri wa Kilimo Hussein Bashe kwa kutetea soko la wakulima, wanaokupinga ni wanafiki

Mkuu 'Gift', kwa kawaida sina muda wa kupoteza kusoma magazeti kama haya unayoweka hapa. Hizi nadharia ni nadharia tu na common sense au intuition basi.
Mkuu kalamu unawezaje kuchangia mada bila kuisoma na kuelewa
Huoni hutendei haki elimu Yako kama unayo ?
Tabia ya msomi ni kupenda kusoma au kusikiliza hata kama ndefu kiasi Gani na kuelewa kwanza ndipo ajibu,
So unapojibu bila kusoma majibu Yako direct yanakuwa invalid?
Anyway nikuache tu ila nilitaka nikiweke nikuweke kwenye kundi la watu au wasomi wa hovyo sana
 
Nashukuru mkuu kwa mchango wako
Kwanza hiyo kulima kwa sababu hakna jinsi bila faida
Ndo ambayo hii sera inaenda kutatua kwa kukupa uhakika la soko lenye faida kwenye kilimo

Pia kupungua au kuongeza Kwa production cost za kilimo kunachangiwa na factor nyingi internal na external
Kubwa ni hali ya hewa
Pia hizo costs ndo zinaamua kupanda au kushuka Kwa price ya agric products
 
Kwanza hiyo kulima kwa sababu hakna jinsi bila faida
Ndo ambayo hii sera inaenda kutatua kwa kukupa uhakika la soko lenye faida kwenye kilimo
Hapana, kulima kwa sababu hakuna jinsi maana yake ni peasantry.
Yaani hulimi kibiashara, excess money ndio unanunua nguo na other services. Providers of other services are your consumers as you are their consumer.
Ukitoza hela nyingi kwenye chakula, utatozwa hela nyingi kwenye bidhaa nyingine. Ukiacha kutumia bidhaa nyngine maana yake standard ya maisha inakuwa duni.
Na consumers wako watakula ili washibe, siyo wale ili wawe na afya bora.
Basically, high food prices kwenye nchi ni kitu kibaya sana. It's a lose - lose situation.
 
Hata mnaomuunga mkono huyu msomali nanyi ni wanafiki na vibaraka wake au majuha wasiojua kitu
 
Kwa hiyo unadhani nini kifanyike mkuu ili kupata suluhu ya kudumu ?
 
MODERATOR WA JF
Naomba mrudishe kichwa Cha mada kilivyokuwa mmeharibu nilichokuwa namanisha

Niliandika
Anayepinga ni mjinga AU mnafiki

Nikiwa namanisha Kuna MAkundi mawili ambao hawajui (wajinga) na wale wanaojua lakini wanapinga kwa maslahi Yao (wanafiki)
Kabla ya kurekebisha ni vizuri mkawasiliana na member itakuwa jambo jema
 
Nilijua una mawazo ya kuchangia kumbe unawaza upambavu tu,
Kama yako ambayo from the beginning yameonyesha upendeleo na upogo. Swali la kipumbavu hujibiwa kipumbavu elewa hilo mwanangu. Huna haja ya kuhemka vinginevyo imekuiingia uzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…