Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aliyesahau kuweka sahihi anatafuta ridhaa yabwananchi kuwa rais wao?!kusahau kuweka sahihi, au kuweka sahihi kabla ya
"Je ni uelewa mdogo au uwezo mdogo wa kiungozi?"]Kimsingi NEC na ZEC ni vyombo vya kusimamia na kuratibu chaguzi lakini kila moja inafanya kazi zake kwa mujibu wa Sheria, kanuni na taratibu sasa nakushangaa wewe unaejiita zygot kuleta hoja ya hovyo kabisa kuhusu mapingamizi ya kisheria wewe unaleta humu Kama story za vijiweni kwanza mlitakiwa mjitathimini kwanza kwamba kwanini wagombea wa upinzani wanashindwa kujaza forms? Je ni uelewa mdogo au uwezo mdogo wa kiungozi?
Kwa kuwa NEC inaendeshwa kisheria tuambie ni Sheria ipi TUME imevunja?. Imagine unaenda kumkabidhi kata,jimbo au nchi ambaye hata fomu tu ya kawaida sana Tena kwa maslahi yake inakuaje mbona uwezo wa hawa watu unatia shaka?. Mpaka muda huu NEC imewarudisha wagombea wengi kwenye nafasi zao mbona hizo husemi?
Form za wana CCM umezikagua mkuu? ni balaa tupuNilisikiliza maamuzi ya ZEC juu ya pingamizi la mgombea wa ACT, Maalim Seif. ZEC iliona makosa ya ujazaji fomu lakini haikuona kama makosa hayo ni sababu ya kuharibu Uchaguzi. Kwa maana kwamba, kosa la ujazaji halikuwa na lengo la kunufaisha mgombea au kuufanya Uchaguzi usiwe wa haki n.k.
Tatizo liko kwa NEC, NEC imeonesha ubwege wa aina fulani na kuufanya mchakato mzima kuwa kama zoezi la watoto wadogo.
Ni aibu kwa chombo kama NEC kubariki mapingamizi yanayotokana na mgombea kutoweka nukta katika majina yake, kusahau kuweka sahihi, au kuweka sahihi kabla ya kuwasilisha fomu, nk. Mapingamizi mengi yaliyowekwa kuwazuia wagombea udiwani na ubunge kwa vyama vya upinzani yameonesha udhaifu mkubwa wa Tume.
Ni Tume isiyo na umahiri wa kisheria au inayofany kazi kujipendekeza na kupewa heko kwa idadi ya kuwazuia wagombea wa vyama vya upinzani.
Nilisikiliza maamuzi ya ZEC juu ya pingamizi la mgombea wa ACT, Maalim Seif. ZEC iliona makosa ya ujazaji fomu lakini haikuona kama makosa hayo ni sababu ya kuharibu Uchaguzi. Kwa maana kwamba, kosa la ujazaji halikuwa na lengo la kunufaisha mgombea au kuufanya Uchaguzi usiwe wa haki n.k.
Tatizo liko kwa NEC, NEC imeonesha ubwege wa aina fulani na kuufanya mchakato mzima kuwa kama zoezi la watoto wadogo.
Ni aibu kwa chombo kama NEC kubariki mapingamizi yanayotokana na mgombea kutoweka nukta katika majina yake, kusahau kuweka sahihi, au kuweka sahihi kabla ya kuwasilisha fomu, nk. Mapingamizi mengi yaliyowekwa kuwazuia wagombea udiwani na ubunge kwa vyama vya upinzani yameonesha udhaifu mkubwa wa Tume.
Ni Tume isiyo na umahiri wa kisheria au inayofany kazi kujipendekeza na kupewa heko kwa idadi ya kuwazuia wagombea wa vyama vya upinzani.
Maalim Self anagombea wapi Mkuu?ZEC na NEC ni vyombo huru kabisa na vinamfanya kazi kwa mujibu wa katiba.
Ndio maana unaona wametupilia mbali pingamizi lisilo na tija alilowekewa Maalim Self kama walivyotupilia mbali lile alilowekewa Lipumba na Magufuli.
Booga weweHizi ni Tume Mbili tofauti na kila TUME ina sheria, Kanuni na Miongozo yake! Kwahiyo Usitake NEC ifanye kazi kwa kufuata Taratibu za ZEC.
Kina Prof. Lipumba walipowekewa PINGAMIZI. NEC ilijibu kwa utaratibu huu ambao ZEC imetumia, Hilo hujaliona yani!
Tambua Kuna Mambo ya Muungano na yasiyo ya MUUNGANO!
Tusiwasikie Mkilalamika ZEC itakapoanza kushughulikia Rufaa, maana mmekuwa Vigeugeu kama bata mdondo!
Ila kweli maana nami nikimuangalia jamaa mmoja wa NEC, ni kama kuna nukta haifanyikazi kichwani. Yaani hata mpangilio wa maneno yake!Maamuzi ya kuzuiliwa wagombea wa upinzani yaliyopitishwa na NEC, yalinifanya nitafute video za maafisa wa NEC ili nione nyusoi zao zikoje. Wengine ukiwaangalia usoni unasoma ishara za udhaifu wa akili.
Yaani eti mgombea anazuiliwa kwa kuwa tu kuna sehemu aliweka sahihi kabla hajaruhusiwa na msimamizi. Bahati mbaya sana kwa madiwani na wabunge waamuzi ni wakurugenzi wa halmashauri; tuliowashuhudia ktk video wakiharibu fomu za wagombea kwa makusudi. NEC nao wakakaa kimya!
Mbele ya kiazi kama wewe hatuzuliani!Booga wewe
Uongozi wa NEC ni dhaifu na hauna weledi.Unafanya maamuzi kishabiki.Hawa NEC woote ni wa kusukumia ndani.Sawa uko sahihi. Kimantiki ZEC wana akili zaidi ya NEC. Wanatumia busara zaidi na wanatoa hoja za msingi kabisa.