Zanzibar 2020 Hongera ZEC kwa maamuzi ya akili. NEC ni tatizo katika Uchaguzi wa Bara

NEC ya Tz wanakula na kupiliza... walielekezwa wakate jina la Lissu wakaona upepo utawavumia vibaya wakashtuka.

Sasa wanarudisha wagombea kwa mafungu..... NEC ya bara kuna kitu inatakifuta !! Wana kulifindi ....
 
Maalim hakukosea kujaza fomu walicho kifanya zec fomu ya maalim waliificha original na kutoa fomu iliyoprintiwa na kukopywa na ccm na kuiba muhuri wa mahakam na kufonyi saini ya jaji mkuu wa Zanzibar sasa wakaona zec hiyo itakua nikesi ya uhaini nawao itakua hawatoki sasa kilicho fuata pale wanasheri wa Act wazalendo walipo enda tume kudai fomu zao zote tatu zec wakawajibu hapa zipo mbili moja haipo walipo on a washa banwa sana ilibidi zec wajue kama walifanya makosa ilibidi waseme pingamizi limetupiliwa mbali kumbe ilikua zec na yy kashaingizwa ktk mtego wa kosa la jinai kwa kufoji nyaraka za serekali sasa jiulize kwanini tume hii ya zec mpaka sasa imewazuiya wawakilishi wa act tuu wasigombanie katika majimbo yao wakati Kuna vyama kama 16 wote wameachiwa

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
NEC ni tool ya CCM . NEC sio guru . hao ni puppet wa CCM. Haiwezekani eti inchi inzima hakuna hata diwani wa CCM aliye enguliwa. Ati ni wapinzani tu
 
"Je ni uelewa mdogo au uwezo mdogo wa kiungozi?"

Kilichopo NEC ni mkakati maalum wakuibeba ccm, hilo liko wazi sana.
Naomba nikuulize, hivi kuandika neno "kiungozi" badala ya kiongozi/kiuongozi ni uelewa mdogo, uwezo mdogo au ni kosa la kiuandishi?
 
Form za wana CCM umezikagua mkuu? ni balaa tupu
 

Hii NEC ya Bara tusiendelee kuwabembeleza. Mnawapa vichwa bure. Kazi inayotakiwa kuanza sasa hivi ni kujua wanapoishi, wake zao, watoto wao, na mali zao zote.

Halafu tutulie tusubiri baada ya 28/9/2020. Watatuelewa tu.
 
ZEC na NEC ni vyombo huru kabisa na vinamfanya kazi kwa mujibu wa katiba.

Ndio maana unaona wametupilia mbali pingamizi lisilo na tija alilowekewa Maalim Self kama walivyotupilia mbali lile alilowekewa Lipumba na Magufuli.
Maalim Self anagombea wapi Mkuu?
 
Booga wewe
 
Ila kweli maana nami nikimuangalia jamaa mmoja wa NEC, ni kama kuna nukta haifanyikazi kichwani. Yaani hata mpangilio wa maneno yake!
 
Sawa uko sahihi. Kimantiki ZEC wana akili zaidi ya NEC. Wanatumia busara zaidi na wanatoa hoja za msingi kabisa.
Uongozi wa NEC ni dhaifu na hauna weledi.Unafanya maamuzi kishabiki.Hawa NEC woote ni wa kusukumia ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…