Hongera Zitto kwa kufunga ndoa

Kwa hiyo yule bidada wa Cow ways amepigwa chini!
 
Je Zitto ni atheist ? Haamini uwepo wa Mungu ? Naona arusi ikifungwa ila ya sheikh , mzee wa kimwana kama taratibu za kiislam. Pia sioni padre kama taratibu za kikristo...
Huku nungwi mara nyingi hufungwa ndoa za wasio na dini...Ambapo huvishana pete wenyewe mbele ya marafiki wachache na wapiga picha.

Au amekimbia kulisha watu ubwabwa
 
Wewe kwny Reception au sendoff ushakuta kuna kiongozi wa dini wa kufungisha ndoa?
 
Mbunge wa mjini leo akmjinamefunga ndoa na mchumba wake Hongera dogo naona sasa atatuliza akili na kuacha kumuattack personMagufuli Magufuli. W mke wa zitto mtulize zitto asiwe ana bwa bwaja hovyo kumnanga rais wetu JPM.
Mwandiko wa mwendo kasi!!!
 
Hongera kaka.....

Sasa utaanza kuaminika ikifika 2020 tunaweza kukuamini na kukupa nchi. Sasa unafit vizuri katika mchakato wa kuchukua nchi. First lady atatutoa kimasomaso Sana nje ya mipaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…