The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Yes. Ni uteuzi hakuna uchaguziUteuzi mkuu🤣
Halafu ni Dr ujueTunaambiwa eti "Watanzania Milioni 37.6 wamejiandikisha kupiga kura".
Sidhani kama huyu ndugu alitakiwa aoneshe data base ya watu halisi milioni 37.6 waliojiandikisha maana ni uongo
Kuna mambo matatu!
1. Kwa mujibu wa sensa ya mwaka
2022, idadi ya raia wa Tanzania ni milioni ambayo inakadiriwa kufikia milioni 62. Kwa mujibu wa sensa hiyohiyo, Asilimia 42.7 ya watu walikuwa na umri wa miaka chini ya 14 Sio 18), sawa na watu milioni 26.5. Kwahiyo waliobaki ni (62-26.5) = 35.5
Hiyo milioni 35.5 ni kuanzia miaka 15 na kuendelea. Tuseme raia wameongezeka, wale waliokuwa na umri kuanzia 15, sasa wana 18 na wanaweza kujiandikisha wakafikia idadi ya juu zaidi ya milioni 35.5.
Hiyo ni sawa na kusema 'karibu raia wote wenye miaka 18 na zaidi wamejiandikisha'. Je! Hilo linawezekana kwa Tanzania?
Hata hivyo, kuna mambo mengine ya kujiuliza kama ufanisi wa kuandikisha na pili muamko wa raia kujiandikisha.
2. Ufanisi wa kuandikisha.
Ni ukweli usio wa wazi ufanisi wa kuandikisha wapiga kura ni mdogo. Wengi waliojiandikisha ni mashahidi kwamba kwenye vituo vyao watu wengi waliondoka bila kuandikishwa kutokana na muda kuwa mchache na kushindwa kusubiri. Wapo waliosubiri siku ya mwisho na bado hawakutokea.
3. Muamko wa kujiandikisha.
Kuna idadi kubwa ya watu hawakujiandikisha kwa sababu mbalimbali. Wapo ambao hawakupata hata taarifa. Wapo wagonjwa. Wapo wasafiri. Wapo wengi ambao hawana mpango wa kupiga kura kama mimi.
Kusema, wapiga kura 'karibu wote' wamejiandikisha ni taarifa ya kutilia mashaka sana.
Nadhani kama taifa, kuna ugonjwa tunaugua. Ugonjwa wa kujidanganya huku tukijua tunajidanganya na hatupo tayari kupona.
Shetani limeshika hatamu!
Shetani halishibi damu!
View attachment 3419917
Nawasilisha.
Dr. Chris Cyrilo.
PhD holderHalafu ni Dr ujue
Chadema inaufahamu huu upumbavu, Yaani zaidi ya nusu ya Watanzania wamejiandikisha!Tunaambiwa eti "Watanzania Milioni 37.6 wamejiandikisha kupiga kura".
Sidhani kama huyu ndugu alitakiwa aoneshe data base ya watu halisi milioni 37.6 waliojiandikisha maana ni uongo
Kuna mambo matatu!
1. Kwa mujibu wa sensa ya mwaka
2022, idadi ya raia wa Tanzania ni milioni ambayo inakadiriwa kufikia milioni 62. Kwa mujibu wa sensa hiyohiyo, Asilimia 42.7 ya watu walikuwa na umri wa miaka chini ya 14 Sio 18), sawa na watu milioni 26.5. Kwahiyo waliobaki ni (62-26.5) = 35.5
Hiyo milioni 35.5 ni kuanzia miaka 15 na kuendelea. Tuseme raia wameongezeka, wale waliokuwa na umri kuanzia 15, sasa wana 18 na wanaweza kujiandikisha wakafikia idadi ya juu zaidi ya milioni 35.5.
Hiyo ni sawa na kusema 'karibu raia wote wenye miaka 18 na zaidi wamejiandikisha'. Je! Hilo linawezekana kwa Tanzania?
Hata hivyo, kuna mambo mengine ya kujiuliza kama ufanisi wa kuandikisha na pili muamko wa raia kujiandikisha.
2. Ufanisi wa kuandikisha.
Ni ukweli usio wa wazi ufanisi wa kuandikisha wapiga kura ni mdogo. Wengi waliojiandikisha ni mashahidi kwamba kwenye vituo vyao watu wengi waliondoka bila kuandikishwa kutokana na muda kuwa mchache na kushindwa kusubiri. Wapo waliosubiri siku ya mwisho na bado hawakutokea.
3. Muamko wa kujiandikisha.
Kuna idadi kubwa ya watu hawakujiandikisha kwa sababu mbalimbali. Wapo ambao hawakupata hata taarifa. Wapo wagonjwa. Wapo wasafiri. Wapo wengi ambao hawana mpango wa kupiga kura kama mimi.
Kusema, wapiga kura 'karibu wote' wamejiandikisha ni taarifa ya kutilia mashaka sana.
Nadhani kama taifa, kuna ugonjwa tunaugua. Ugonjwa wa kujidanganya huku tukijua tunajidanganya na hatupo tayari kupona.
Shetani limeshika hatamu!
Shetani halishibi damu!
View attachment 3419917
Nawasilisha.
Dr. Chris Cyrilo.
Usishambulie mtu shambulia hojaUtakuta mtoa mada tu alijiandikisha kupiga kura yani hii nchi inawanafki sana.
Usipokuwa makini utajaa kwenye mfumo kichwa kichwa
Ungeonekana kuwa mtu wa maana zaidi kama ungemshawishi rafiki yako huyo Samia asijihangaishe kugombea. Watu hawamtaki; kasoro labda wewe Pekee unaye mhimiza aendelee!Hivi Kuna haja ya kupiga kura hiyo October, Mimi naona ni Bora Mh.Samiah angeendelea kuongoza bila kuitisha upigaji kura wenye sitofahamu nyingi 🤔
Mkuu, 'evangelicat', nasikitika kukueleza kuwa hiyo njia utakayotumia haitoshi kumzuia Samia kujitangaza mshindi.Wanatuona sisi wananchi ni wapumbavu kama walivyo wao sasa tutaona ambao watajitokeza kupiga kura.
Kwenye kaya yangu itakuwa marufuku kwa mtu yeyote kwenda kupiga kura siku hiyo
Hapo ni zaidi ya nusu mkuuChadema inaufahamu huu upumbavu, Yaani zaidi ya nusu ya Watanzania wamejiandikisha!
Wadanganyeni wajinga wenzenu
Waweke mara ngapi?Mbona ni rahisi tu.
Hilo daftari liwekwe wazi watu walikague kujuwa watu waliojiandikisha.
Kwani hapo kuna siri gani?
Hakuna haja ya uchaguzi manake imeshasetiwa kwamba lazima ashinde 🤔Ungeonekana kuwa mtu wa maana zaidi kama ungemshawishi rafiki yako huyo Samia asijihangaishe kugombea. Watu hawamtaki; kasoro labda wewe Pekee unaye mhimiza aendelee!