GE2025 Hongereni CHADEMA kwa kuukataa huu uhuni wa Tume ya Uchaguzi. Sasa mambo ni hadharani

GE2025 Hongereni CHADEMA kwa kuukataa huu uhuni wa Tume ya Uchaguzi. Sasa mambo ni hadharani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Halafu ni Dr ujue
Mi nilipomuona mh.profesa aliyehama Chadema miaka ile ,naye siku hizi anaimba pambio ndo nikajua njaa haina cha mbumbumbu wala msomi. Ukianza kuwaza kwa kutumia tumbo tegemea lolote kukupata.
 
Sisi Wajinga ndio Tuliwao....kwa haya yanayoendeshwa na wanaoitwa wasomi,basi ni Wakati sahihi wa kusubiri Hatma itolewe na CDF ...kuwapoka Hawa Wana Siasa hii nguvu ya kutuangamiza wananchi.
Civil disobedience inanikia na tutapoteza wote.
 
Kuna mshikaji wangu aliemda kujiandikisha ili tu apate kitambulisho cha mpiga kura, alisema kuna connection huwa anazipata kwa sababu ya kuwa na kitambulisho tu lakini hana mpango wa kupiga kura...
 
Sisi Wajinga ndio Tuliwao....kwa haya yanayoendeshwa na wanaoitwa wasomi,basi ni Wakati sahihi wa kusubiri Hatma itolewe na CDF ...kuwapoka Hawa Wana Siasa hii nguvu ya kutuangamiza wananchi.
Civil disobedience inanikia na tutapoteza wote.
Kwa hii Tz mzee baba tutasubiri sana maamuzi hayo.
 
Hakuna haja ya uchaguzi manake imeshasetiwa kwamba lazima ashinde 🤔
Mkuu, zoezi la uchaguzi kwa nchi yetu ni sawa na zoezi la kukimbiza mwenge. Hakuna manufaa yoyote kwa wananchi lakini linawanufaisha sana wanaosimamia na kuendesha zoezi husika. Yanayoendelea nchini yanakera na kuudhi sana
 
Waweke mara ngapi?
Ukitaka kuangalia watu wapya waliojiandishq picha zao na majina vilibandikwa kwenye kuta za ofisi zote za watendaji mitaa na vijiji

Na viongozi wa vyama mawakala waliruhudiwi kuhakiki hilo zoezi kuhakikisha watu wanajiandikisha hilo eneo ni wakazi wa eneo husika
Chadema hamkwenda mlivyo wapumbavu

sasa hivi ona sasa unaulizia daftari.Wakati watu wanapojiandikisha mlitakiwa kuwepo

Tabu yenu Chadema hamfuatilii mambo ya serikali mitaani mko tu na ujinga wenu
Uchizi wako unaanzia kudhani kila anaye hoji au kukataa ulaghai wa Samia Suluhu Hassan ni mtu wa CHADEMA. Hilo linakufanya uwe zaidi ya mumbavu.

Pili, wewe kwa kufanya utetezi huu tukutambue kuwa ni mtu wa CCM, au ni mtumishi wa hiyo Tume; au ni mtumishi wa tume anayeifanyia kazi CCM?
Kwa nini uumie roho yako watu kuhoji jambo ambalo linawahusu waTanzania wote, na kulifanya liwe la CHADEMA, au CCM (soma Samia na GENGE lake)?

Unauliza "waweke mara ngapi?"; Hata mara elfu kumi kama waTanzania watataka kujiridhisha kwa kufanya hivyo. Kwani hiyo ni mali ya mama zenu?

Waambie waweke hilo daftari kwenye mtandao wao, kila anayetaka kukagua agague kwa wakati wake. Kuna tatizo gani na kufanya hivyo, kama siyo kutumia mwanya wa kuficha ficha kwa lengo lenu la kufanya uhalifu.
 
Mkuu, 'evangelicat', nasikitika kukueleza kuwa hiyo njia utakayotumia haitoshi kumzuia Samia kujitangaza mshindi.
Maana ya hayo manamba makubwa tuliyo tangaziwa leo, ni kuwa sisi tutakaobaki nyumbani bila kuiga kura hesabu yetu bado itakuwa ni ndogo kulinganisha na kura atakazokuwa ametengenezewa na kujazwa kwenye masanduku ya kura.

Kutokwenda kupiga kura ni sehemu moja ya kwanza, inayohitaji kufuatiwa na njia nyingine za kuzuia uchaguzi kikamilifu. Hata hizo kura za kutengenezewa nazo zisiweo kabisa.
How?
 
Utakuta mtoa mada tu alijiandikisha kupiga kura yani hii nchi inawanafki sana.
...
Utajiandikisha lkn huendi kupiga kura, huoni tofauti hapo?.

Umeandikisha wapiga kura 100, siku ya kzouga kura wakaja 17 utajisifu hapo?
 
Hakuna haja ya uchaguzi manake imeshasetiwa kwamba lazima ashinde 🤔
Sasa kazi iliyoPo ni kutengua (ku-unset) hiyo dhana Potofu kabisa ya kuhalalisha uhalifu wa yeye kuiba uongozi ambao wananchi hawajaridhia.
 
Tunaambiwa eti "Watanzania Milioni 37.6 wamejiandikisha kupiga kura".
Sidhani kama huyu ndugu alitakiwa aoneshe data base ya watu halisi milioni 37.6 waliojiandikisha maana ni uongo

Kuna mambo matatu!

1. Kwa mujibu wa sensa ya mwaka
2022, idadi ya raia wa Tanzania ni milioni ambayo inakadiriwa kufikia milioni 62. Kwa mujibu wa sensa hiyohiyo, Asilimia 42.7 ya watu walikuwa na umri wa miaka chini ya 14 Sio 18), sawa na watu milioni 26.5. Kwahiyo waliobaki ni (62-26.5) = 35.5
Hiyo milioni 35.5 ni kuanzia miaka 15 na kuendelea. Tuseme raia wameongezeka, wale waliokuwa na umri kuanzia 15, sasa wana 18 na wanaweza kujiandikisha wakafikia idadi ya juu zaidi ya milioni 35.5.
Hiyo ni sawa na kusema 'karibu raia wote wenye miaka 18 na zaidi wamejiandikisha'. Je! Hilo linawezekana kwa Tanzania?
Hata hivyo, kuna mambo mengine ya kujiuliza kama ufanisi wa kuandikisha na pili muamko wa raia kujiandikisha.

2. Ufanisi wa kuandikisha.
Ni ukweli usio wa wazi ufanisi wa kuandikisha wapiga kura ni mdogo. Wengi waliojiandikisha ni mashahidi kwamba kwenye vituo vyao watu wengi waliondoka bila kuandikishwa kutokana na muda kuwa mchache na kushindwa kusubiri. Wapo waliosubiri siku ya mwisho na bado hawakutokea.

3. Muamko wa kujiandikisha.
Kuna idadi kubwa ya watu hawakujiandikisha kwa sababu mbalimbali. Wapo ambao hawakupata hata taarifa. Wapo wagonjwa. Wapo wasafiri. Wapo wengi ambao hawana mpango wa kupiga kura kama mimi.
Kusema, wapiga kura 'karibu wote' wamejiandikisha ni taarifa ya kutilia mashaka sana.

Nadhani kama taifa, kuna ugonjwa tunaugua. Ugonjwa wa kujidanganya huku tukijua tunajidanganya na hatupo tayari kupona.

Shetani limeshika hatamu!
Shetani halishibi damu!
View attachment 3419917


Nawasilisha.
Dr. Chris Cyrilo.
Hata mimi nawapongeza kwa maana watasubiri hadi 2030 ili washiriki Uchaguzi Mkuu mwingine. Huu ni uamuzi mgumu kweri kweri!!
 
Itakuwa zilishapigwa muda Sana zinasubili tarehe ifike tu.
 
Inawezekana kwa kujumlisha na wale waliojiandikisha chaguzi zilizopita nikiwemo na mimi, hata Lisu jina lake lipo kwa orodha hiyo, sema taarifa hiyo imetolewa kisiasa bila ufafanuzi, kwa nia ya kuwabeba wahuni
 
Tunaambiwa eti "Watanzania Milioni 37.6 wamejiandikisha kupiga kura".
Sidhani kama huyu ndugu alitakiwa aoneshe data base ya watu halisi milioni 37.6 waliojiandikisha maana ni uongo

Kuna mambo matatu!

1. Kwa mujibu wa sensa ya mwaka
2022, idadi ya raia wa Tanzania ni milioni ambayo inakadiriwa kufikia milioni 62. Kwa mujibu wa sensa hiyohiyo, Asilimia 42.7 ya watu walikuwa na umri wa miaka chini ya 14 Sio 18), sawa na watu milioni 26.5. Kwahiyo waliobaki ni (62-26.5) = 35.5
Hiyo milioni 35.5 ni kuanzia miaka 15 na kuendelea. Tuseme raia wameongezeka, wale waliokuwa na umri kuanzia 15, sasa wana 18 na wanaweza kujiandikisha wakafikia idadi ya juu zaidi ya milioni 35.5.
Hiyo ni sawa na kusema 'karibu raia wote wenye miaka 18 na zaidi wamejiandikisha'. Je! Hilo linawezekana kwa Tanzania?
Hata hivyo, kuna mambo mengine ya kujiuliza kama ufanisi wa kuandikisha na pili muamko wa raia kujiandikisha.

2. Ufanisi wa kuandikisha.
Ni ukweli usio wa wazi ufanisi wa kuandikisha wapiga kura ni mdogo. Wengi waliojiandikisha ni mashahidi kwamba kwenye vituo vyao watu wengi waliondoka bila kuandikishwa kutokana na muda kuwa mchache na kushindwa kusubiri. Wapo waliosubiri siku ya mwisho na bado hawakutokea.

3. Muamko wa kujiandikisha.
Kuna idadi kubwa ya watu hawakujiandikisha kwa sababu mbalimbali. Wapo ambao hawakupata hata taarifa. Wapo wagonjwa. Wapo wasafiri. Wapo wengi ambao hawana mpango wa kupiga kura kama mimi.
Kusema, wapiga kura 'karibu wote' wamejiandikisha ni taarifa ya kutilia mashaka sana.

Nadhani kama taifa, kuna ugonjwa tunaugua. Ugonjwa wa kujidanganya huku tukijua tunajidanganya na hatupo tayari kupona.

Shetani limeshika hatamu!
Shetani halishibi damu!
View attachment 3419917


Nawasilisha.
Dr. Chris Cyrilo.
Wanachotakiwa kufanya ni kuweka daftari la wapiga kura wazi ili kila mtu aone na kuthibitisha hicho wanachokisema kama ni cha kweli au ni kuendeleza udanganyifu wao wa miaka yote ili kumbeba aliyewateua Mwenyekiti wa CCM ambaye ni mgombea u - Rais (kwa kumtengenezea kura feki) ili kumshindisha..

Uandikishaji siku zote huwa ni zoezi la wazi kila mtu akiingia na kutoka mchana kweupe...

Ni kwanini matokeo yake yawe ni siri kama sehemu zao za siri...?

Kukata mzizi wa fitina ni lazima tuache kujidanganya. Ni lazima tufanye mambo yetu kwa uwazi na haki. Kila kitu kinapaswa kuwa wazi...

Katika kila hatua ya mchakato wa uchaguzi kila kitu kinachofanyika kinapaswa kufanyika kwa uwazi, uhuru na haki kwa kila mtu...

Huu mchezo wa wananchi kutengenezewa viongozi feki na Tume ya Uchaguzi, wasiotokana na matakwa ya wananchi, ni lazima ufe na ufikie mwisho...!
 
CCM ni waoga wa teknolojia ndio maana October 28 hadi November 3 , 2020 walifungia mitandao yote ili wafanye michezo yao ya wizi wa kizamani.
 
Kuna ndugu yangu alienda kuchukua kadi mpya za kidigital za ccm, aliambiwa aende na kitambulisho cha kupiga kura, sasa cha kujiuliza kwanini kiwe kitambulisho cha kupiga kura?

Hapo wameshahesabu kura kitambo, ndio maana huyo mama anajua atapita tu
Kuna mmoja anasali kwa moja ya manabii wakubwa... Siku karudi kapakwa rangi ya wino ktk kidole kidogo... Tukamuuliza vipi mbona kama umetoka kupiga kura.. Akasema hapana eti hii ni alama ya kuwa umeonanana na nabii... Hivyo appointment yako ushaitimiza...😁 Tukasema usije kuwa ushapigishwa kura... Akakacheka... So who knows.... Jamaa wameshawapigishwa kura... Wa nasubiria kuja kutuhesabia kura hewa! 😁 😁
 
Tunaambiwa eti "Watanzania Milioni 37.6 wamejiandikisha kupiga kura".
Sidhani kama huyu ndugu alitakiwa aoneshe data base ya watu halisi milioni 37.6 waliojiandikisha maana ni uongo

Kuna mambo matatu!

1. Kwa mujibu wa sensa ya mwaka
2022, idadi ya raia wa Tanzania ni milioni ambayo inakadiriwa kufikia milioni 62. Kwa mujibu wa sensa hiyohiyo, Asilimia 42.7 ya watu walikuwa na umri wa miaka chini ya 14 Sio 18), sawa na watu milioni 26.5. Kwahiyo waliobaki ni (62-26.5) = 35.5
Hiyo milioni 35.5 ni kuanzia miaka 15 na kuendelea. Tuseme raia wameongezeka, wale waliokuwa na umri kuanzia 15, sasa wana 18 na wanaweza kujiandikisha wakafikia idadi ya juu zaidi ya milioni 35.5.
Hiyo ni sawa na kusema 'karibu raia wote wenye miaka 18 na zaidi wamejiandikisha'. Je! Hilo linawezekana kwa Tanzania?
Hata hivyo, kuna mambo mengine ya kujiuliza kama ufanisi wa kuandikisha na pili muamko wa raia kujiandikisha.

2. Ufanisi wa kuandikisha.
Ni ukweli usio wa wazi ufanisi wa kuandikisha wapiga kura ni mdogo. Wengi waliojiandikisha ni mashahidi kwamba kwenye vituo vyao watu wengi waliondoka bila kuandikishwa kutokana na muda kuwa mchache na kushindwa kusubiri. Wapo waliosubiri siku ya mwisho na bado hawakutokea.

3. Muamko wa kujiandikisha.
Kuna idadi kubwa ya watu hawakujiandikisha kwa sababu mbalimbali. Wapo ambao hawakupata hata taarifa. Wapo wagonjwa. Wapo wasafiri. Wapo wengi ambao hawana mpango wa kupiga kura kama mimi.
Kusema, wapiga kura 'karibu wote' wamejiandikisha ni taarifa ya kutilia mashaka sana.

Nadhani kama taifa, kuna ugonjwa tunaugua. Ugonjwa wa kujidanganya huku tukijua tunajidanganya na hatupo tayari kupona.

Shetani limeshika hatamu!
Shetani halishibi damu!
View attachment 3419917


Nawasilisha.
Dr. Chris Cyrilo.
Chadema wako mbele ya muda siku zote
 
Hizi takwimu ni zaa uongo kwa namna zote. Muamko wa watu kujiandikisha ulikuwa wa wastani sana, wengi wakiwa wale waliokuwa wanarekebisha taarifa zao. Kwanini tunatoa taarifa za uongo. Mimi napata shida sana kuona ujinga wa namna hii, tuache kutoa takwimu za uongo
Wewe orodha yako Ina watu wangapi kujiandikisha? Tume inapata faida gani kudanganya halafu siku ya siku kura zilizopigwa ziwe pungufu?
 
Back
Top Bottom