GE2025 Hongereni CHADEMA kwa kuukataa huu uhuni wa Tume ya Uchaguzi. Sasa mambo ni hadharani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wanatuona sisi wananchi ni wapumbavu kama walivyo wao sasa tutaona ambao watajitokeza kupiga kura.
Kwenye kaya yangu itakuwa marufuku kwa mtu yeyote kwenda kupiga kura siku hiyo

Watapika tu na matokeo mkuu, hawana haya hawa watu hadi waone aibu! Ni kazi sana kuwa mtanzania kuliko kazi yenyewe
 
CCM ni shida.

But how desperate do you have to be to support an open wanna be western puppet kama Lissu.

It’s beyond me kuona kuna watanzania wanadhani Lissu ni mtu wa maana.

Huko mahakamani anapiga kelele mnaona wazungu hawa wanaoangalia kesi na bado serikali inamrudisha lupango.

Serves him right, as a self serving politician who is willing to do anything to gain power.

Lissu is just useless, sasa mbona hao wazungu hawawezi mtoa lupango pamoja na hii kesi ya kubuma.

Wacha wamtie adabu, akome kuropoka hovyo kutishia serikali nyau.
 
Hivi huko kujiandikisha kwa wale ambao hatukwenda kwenye maboresho ya daftari tunahesabikaje? Tutapiga kura au ndiyo imetoka hiyo? Sasa kama haturuhusiwi wanasemaje watu wengi hivyo?
 
Makamda tuache kulia lia tuingie barabarani no reforms no election tumekuwa tunafuatilia uchaguzi wa CCM na tunataka uendeshwe kama tunavyotaka sisi, tuache kuandamana humu JF tuingie barabarani.
 
kupika data za uongo lazima wajichanganye kimahesabu kuanzia kura za udiwani, ubunge mpaka urais zikijumlishwa kwa pamoja.

hesabu lazima ikatae hapo
 
Poleni wasimamizi wa huu uchaguzi maana mtapiga kura wenyewe mpaka idadi iwiane kwa ukaribu na walio andikisha vituoni kwenu.Mfano kama kituo "x" walijiandikisha watu 1300 then waliofika kupiga kura siku hiyo ni 500 mtaamriwa angalau mtumbukize kura nyingine 500 ili ionekane waliojitokeza ni wengi kuficha aibu . Kazi mnayo na hapo malipo kiduchu. Nakumbuka uchaguzi wa serikali za mitaa uliopita uliofanyika Novemba 27 mwaka 2024 yalifanyika hayo kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa waliosimamia uchaguzi huo. Unaambiwa ilikuwa ni mwendo wa kujaza karatasi kwenye box. Si dereva si askari si mkuu wa msafara si wakala wote siku hiyo mna kuwa wasimamizi. * Democrasia ya uchaguzi haipo tena* Mfumo wa vyama vingi ni kama haupo tena, poleni wapenzi wa siasa maana hamuoni radha ya ile mliyo izoea enzi za awamu ya tatu na ya nne kwa kiasi fulani, ndio maana mmehamia kushabikia mpira na kubeti, potelea mbali. Inasikitisha sana!!!
 
Hizi takwimu ni zaa uongo kwa namna zote. Muamko wa watu kujiandikisha ulikuwa wa wastani sana, wengi wakiwa wale waliokuwa wanarekebisha taarifa zao. Kwanini tunatoa taarifa za uongo. Mimi napata shida sana kuona ujinga wa namna hii, tuache kutoa takwimu za uongo
 
We ulichoandika ni hisia zako tu iliyojaa upotoshaji yaani umejiandikia tu huu uchafu ukiwa umejilaza kitandani. Kwa hiyo unabishana na mwenyekiti mwenye data halisi? We ni taahira kweli. Kwanza ht hukuenda kituoni kujuandikisha, uandikishaji ulikuwa very smart hutumii zaidi ya dk 30, ulikuwa wa kisasa sana, we kibwengo ni wale watu wa hovyo kutokea
 
Bila ht haya unajiita dokta, ndio maana mnatukanwa, huu ni uchafu umeandika.
 
stupid halafu eti hili jitu lilkuwa judge linatoa hukumu!
 
We baki kujijambia, wazalendo tutaenda kupiga kura na vituo vitaoneshwa live. Mambwa koko mtaongozwa tu na tutakaowachagua
 
We ngedere majina yamebandikwa nje ukutani, ******* tu nyie
 
Hawa watu hata
aibu hawana
 
weka za ukweli
 
Hakuna mjinga kama mfuasi wa ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…