😄 🤣Kuna mmoja anasali kwa moja ya manabii wakubwa... Siku karudi kapakwa rangi ya wino ktk kidole kidogo... Tukamuuliza vipi mbona kama umetoka kupiga kura.. Akasema hapana eti hii ni alama ya kuwa umeonanana na nabii... Hivyo appointment yako ushaitimiza...😁 Tukasema usije kuwa ushapigishwa kura... Akakacheka... So who knows.... Jamaa wameshawapigishwa kura... Wa nasubiria kuja kutuhesabia kura hewa! 😁 😁
Kweli aiseeChadema wako mbele ya muda siku zote
Based on the 2022 Population and Housing Census data for Tanzania:Tunaambiwa eti "Watanzania Milioni 37.6 wamejiandikisha kupiga kura".
Sidhani kama huyu ndugu alitakiwa aoneshe data base ya watu halisi milioni 37.6 waliojiandikisha maana ni uongo
Kuna mambo matatu!
1. Kwa mujibu wa sensa ya mwaka
2022, idadi ya raia wa Tanzania ni milioni ambayo inakadiriwa kufikia milioni 62. Kwa mujibu wa sensa hiyohiyo, Asilimia 42.7 ya watu walikuwa na umri wa miaka chini ya 14 Sio 18), sawa na watu milioni 26.5. Kwahiyo waliobaki ni (62-26.5) = 35.5
Hiyo milioni 35.5 ni kuanzia miaka 15 na kuendelea. Tuseme raia wameongezeka, wale waliokuwa na umri kuanzia 15, sasa wana 18 na wanaweza kujiandikisha wakafikia idadi ya juu zaidi ya milioni 35.5.
Hiyo ni sawa na kusema 'karibu raia wote wenye miaka 18 na zaidi wamejiandikisha'. Je! Hilo linawezekana kwa Tanzania?
Hata hivyo, kuna mambo mengine ya kujiuliza kama ufanisi wa kuandikisha na pili muamko wa raia kujiandikisha.
2. Ufanisi wa kuandikisha.
Ni ukweli usio wa wazi ufanisi wa kuandikisha wapiga kura ni mdogo. Wengi waliojiandikisha ni mashahidi kwamba kwenye vituo vyao watu wengi waliondoka bila kuandikishwa kutokana na muda kuwa mchache na kushindwa kusubiri. Wapo waliosubiri siku ya mwisho na bado hawakutokea.
3. Muamko wa kujiandikisha.
Kuna idadi kubwa ya watu hawakujiandikisha kwa sababu mbalimbali. Wapo ambao hawakupata hata taarifa. Wapo wagonjwa. Wapo wasafiri. Wapo wengi ambao hawana mpango wa kupiga kura kama mimi.
Kusema, wapiga kura 'karibu wote' wamejiandikisha ni taarifa ya kutilia mashaka sana.
Nadhani kama taifa, kuna ugonjwa tunaugua. Ugonjwa wa kujidanganya huku tukijua tunajidanganya na hatupo tayari kupona.
Shetani limeshika hatamu!
Shetani halishibi damu!
View attachment 3419917
Nawasilisha.
Dr. Chris Cyrilo.
AiseeBased on the 2022 Population and Housing Census data for Tanzania:
The "Working Age Population (15-64 years)" in Tanzania was 33,000,224 persons, representing 53.4% of the total population.
Additionally, the "Youth Population (15–35 years)" was 21,312,411 persons, representing 34.5% of the total population.
So, if you're looking for everyone 15 years and over, you would add the working age population (15-64) and the elderly population (65+).
The "Elderly Population (65+ years)" was 3,491,983 persons, representing 5.7% of the total population.
Therefore, the total number of people over 15 years (15+) in Tanzania in 2022 was approximately:
33,000,224(15−64 years)+3,491,983(65+ years)=36,492,207 persons
Utajuaje kama wameenda kupiga kura au hawakwenda ?Utajuandikiwha lkn huendi kupiga kura, huoni tofauti hapo?.
Umeandikisha wapiga kura 100, siku ya kzouga kura wakaja 17 utajisifu hapo?
Watu au wewe?.Sema wewe humtaki.Usiweke wingi kwenye hisia binafsi kwenye jambo linalohusu wengi.Kwasababu ata utakayemtaka wewe kuna wengine watakua hawamtaki ila ilo litabaki kua hisia zao binafsi.Ungeonekana kuwa mtu wa maana zaidi kama ungemshawishi rafiki yako huyo Samia asijihangaishe kugombea. Watu hawamtaki; kasoro labda wewe Pekee unaye mhimiza aendelee!
Ipo wazi tu, siku ya kupiga kura utaona watu vituoni wazi kabisa!, siyo lazima upewe data za kituo ndg.Utajuaje kama wameenda kupiga kura au hawakwenda ?
Kwani hata humu huoni wengi zaidi ya mimi; au huo uwingi unahusu hadi wewe uwe ni mmoja wao?Watu au wewe?.Sema wewe humtaki.Usiweke wingi kwenye hisia binafsi kwenye jambo linalohusu wengi.Kwasababu ata utakayemtaka wewe kuna wengine watakua hawamtaki ila ilo litabaki kua hisia zao binafsi.
Mimi hapa sikujisndikishaTunaambiwa eti "Watanzania Milioni 37.6 wamejiandikisha kupiga kura".
Sidhani kama huyu ndugu alitakiwa aoneshe data base ya watu halisi milioni 37.6 waliojiandikisha maana ni uongo
Kuna mambo matatu!
1. Kwa mujibu wa sensa ya mwaka
2022, idadi ya raia wa Tanzania ni milioni ambayo inakadiriwa kufikia milioni 62. Kwa mujibu wa sensa hiyohiyo, Asilimia 42.7 ya watu walikuwa na umri wa miaka chini ya 14 Sio 18), sawa na watu milioni 26.5. Kwahiyo waliobaki ni (62-26.5) = 35.5
Hiyo milioni 35.5 ni kuanzia miaka 15 na kuendelea. Tuseme raia wameongezeka, wale waliokuwa na umri kuanzia 15, sasa wana 18 na wanaweza kujiandikisha wakafikia idadi ya juu zaidi ya milioni 35.5.
Hiyo ni sawa na kusema 'karibu raia wote wenye miaka 18 na zaidi wamejiandikisha'. Je! Hilo linawezekana kwa Tanzania?
Hata hivyo, kuna mambo mengine ya kujiuliza kama ufanisi wa kuandikisha na pili muamko wa raia kujiandikisha.
2. Ufanisi wa kuandikisha.
Ni ukweli usio wa wazi ufanisi wa kuandikisha wapiga kura ni mdogo. Wengi waliojiandikisha ni mashahidi kwamba kwenye vituo vyao watu wengi waliondoka bila kuandikishwa kutokana na muda kuwa mchache na kushindwa kusubiri. Wapo waliosubiri siku ya mwisho na bado hawakutokea.
3. Muamko wa kujiandikisha.
Kuna idadi kubwa ya watu hawakujiandikisha kwa sababu mbalimbali. Wapo ambao hawakupata hata taarifa. Wapo wagonjwa. Wapo wasafiri. Wapo wengi ambao hawana mpango wa kupiga kura kama mimi.
Kusema, wapiga kura 'karibu wote' wamejiandikisha ni taarifa ya kutilia mashaka sana.
Nadhani kama taifa, kuna ugonjwa tunaugua. Ugonjwa wa kujidanganya huku tukijua tunajidanganya na hatupo tayari kupona.
Shetani limeshika hatamu!
Shetani halishibi damu!
View attachment 3419917
Nawasilisha.
Dr. Chris Cyrilo.
Uongo uongo toka lini ccm.wakawa na ukweliTunaambiwa eti "Watanzania Milioni 37.6 wamejiandikisha kupiga kura".

Hamfai na unafki wenuIpo wazi tu, siku ya kupiga kura utaona watu vituoni wazi kabisa!, siyo lazima upewe data za kituo ndg.
Imebidi nikujibu tu, japo swali lingine si la kujibu.